Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Jamani wandugu tufunguane akili na hii technologia ya kuingilia mazungumzo ya simu za kiganjani. kwa nilichoweza kujua kwa wale wenye simu zenye bluetooth, gps na wireless internet ni rahisi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kabla ya yote, kuna hii website ya 000webhost ambao wanatoa hii sevice lakini wako makini na uchafu utakao upload. Haya tuje masomoni This HTML Beginner Tutorial assumes that you have no...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani naomba mnipe tofauti za kiutendaji na ufanisi wa hizi simu mbili, je ipi ni bora zaidi na kwanini?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Ndugu wapendwa, mimi nina stationery na mara kwa mara napata kazi za kuprint colored documents. Printer yangu ni HP color laserjet 1250, yaani toner zake ni expensive mno [ around 150,000tsh kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hi JF members, I am a second year student at the university of Dar es salaam taking bachelor of science in computer science. I would like to ask for your help,if any of you has a company...
0 Reactions
0 Replies
754 Views
:A S clock:Kabla ya yote, kuna hii website ya 000webhost ambao wanatoa hii sevice lakini wako makini na uchafu utakao upload. Haya tuje masomoni:teeth: This HTML Beginner Tutorial assumes that...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za shughuli wadau! Ninahitaji kujua procedure ninazoweka kufuata ili kuweza kutumia modem moja kwa line tofauti. Mfano kwa sasa ninatumia modem ya vodafone yenye line ya voda, sasa nahitaji...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Poleni kwa kazi nzito wana jf,ni software naweza tumia kufrush au kusikani simu?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nataka ninunue music system kwa ajili ya kuniliwa kidogo. Naombeni ushauri juu ya Watt na ukubwa wa sauti maana naona zinaandikwa 250W, 300W, nk. Ikiwa na 600W itakuwa na mdundo?Maana nataka...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Bongo-IT Community | Facebook Habari wana JF, Napenda kuwafahamisha kuwa, kuna page ya Bongo-IT community, imeanzishwa facebook kwa ajili ya kuwaunganisha wana IT wote wa kitanzania duniani...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Not getting enough sleep? Turn off the technology By Patricia Reaney Dependence on televisions, cellphones and laptops may be costing Americans dearly -- in lack of sleep. The national...
0 Reactions
1 Replies
858 Views
TBC nitelevisheni yetu ya taifa lakini kuipata kwa kutumia dish siku hizi inasumbua sana kwa haya madish yetu ya kichina yani kupata signal ni ngumu sana tofauti tv zingine za hapa TZ imekuwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu Ninatumia blackberry curve, kuna mafile nataka kufungua yanahitahi pdf reader, nimejaribu ku search Nimepata za kulipia na taratibu za kulipa sizijui kabisa, sasa naomba msaada...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Technolojia sasa imeshika kasi duniani kwani kila hatua ya maendeleo the technology must get involved kwahiyo ni kitu serious na lazima isimamiwe vyema. Bali cha ajabu hapa kwetu Tanzania failure...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mu hali gani wataalamu? Naomba mnijuze kisayansi ndg zangu iwapo kuna madhara yoyote kiafya kwa kutumia laptop ukiwa umeiweka mapajani huku uki-internate kwa muda mrefu, hasa kwa "IKULU" Hakuna...
0 Reactions
2 Replies
985 Views
Wana jf naomba msaada wa duka gani nitapata satelite reciever ya aina yeyote ambayo ni MPEG 4 kwa hapa Dsm.
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Mambo vp wakuu? ni matumaini yangu kuwa mko na afya njema. Namshukuru sana ndg yangu Zasasule na wengine wameniwezesha kudownload windows 7 Ultimate lakini ina download slow mno hadi inakera...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
1. Jamani naomba msaada kufungua kompyuta yangu inayonidai password wakati wa kufungua. Kompyuta haikuwa na password.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
iDeneb v1.4 10.5.6 Walkthrough Installation This tutorial will give you a walkthrough on an iDeneb v1.4 10.5.6 installation. Older versions of iDeneb are basically exactly the same. Before we...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Jamani wakuu please ninahitaji hii software na pia kama kuna mtu anweza kunifundisha nimlipe au kama kuna chuo kinafundisha please naomba mnisaidie wakuu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom