Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Biashara ya matangazo kwa njia ya mtandao imetoka mbali na mara nyingi imebadilika kutokana na watu kuja na njia bora zaidi za kutangaza , vifaa vya kuangalilia kurasa za mitandao kama simu za...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakubwa habari za kazi, wakubwa internet inamaliza mkwanja wngu,hakuna njia ambayo mtu unaweza kupata line ambazo zimechakachuliwa jamani? Mimi natumia ya airtel na natumia simu yangu kama...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Jamani naombeni anti virus kwnye simu yangu ambayo ni nokia 6300.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
wanandugu nimesikia kuna hii kitu inaitwa spyware for mobile phones i.e. is software that you install on a cell phone that will give you access to that cell phones data including reading text...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari wana jf Ningependa kufahamishwa nikozi gani nzuri ya computer ambayo ni rahisi kupata ajira
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Sam Exclusive utajua ni mtiririko wa post zinazohusu teknolojia hapa bongo. Sakata la Mvulana wa Apple na baba wa Microsoft, anyway ni somekind of comedy. Video hii hapa Microsoft man VS Apple...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wana jamii! Wajameni mie ninatatizo moja kuhusu simu yangu aina ya Nokia N91 4GB, Yenyewe wakati wakuiflash fundi ikamshinda akadai katika IMEI number digit ya mwisho inaweka alama ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Juzi Tigo walinitumia message ya jinsi ya kujiunga na package ya intaneti ya STANDARD WEEk kupitia simu yangu yenye uwezo wa kujiunga na mtandao wao wa 3G kwa shilingi 4500 kwa wiki. Unatakiwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo, nimelazimika kuacha kutumia gari langu binafsi kwasasa natumia daladala tuu. Nasikia kwamba gari usipoitumia mda mrefu injini huaribika sijabahatika kupata...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Naomba kwa yeyote anayejua anisaidie jinsi ya kufichua mafaili yaliyo fichwa katika flash, nina flash yangu ambayo baadhi ya mafaili hasa ya miziki hayaonekani kwenye computer lakini huonekana...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Parts of these pages on USB Networking are a cooperation with Parallel Technologies, the creator/ inventor/ developer of the DirectParallel® technology licensed to Microsoft for the Direct Cable...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sam Exclusive utajua ni mtiririko wa post zinazohusu teknolojia hapa bongo. Leo ni IBM IBM's Corporate Services Corps team in Tanzania visited a local school in Arusha. The school opened in 1934...
0 Reactions
0 Replies
836 Views
Habar zenyu wanathnker hv nini kinachosababisha mashne kuchagua software(window) mfano ulikuwa unaingiza window xp service packes 2 na iliyokuwepo ilikuwa hiyo hyo ila ki kama umebadili cd au...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Msaada please, Nina laptop Dell inspiron 1720, kuna wakati computer ina kuwa kama ime crash na message hii inatokea "hardware malfunction, call ur hardware vendor for support, then chini...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu. Nina router ya sasatel ambayo naitumia ku connect computer kadhaa kwa wireless na utp, sasa nimeamua kubadili operator nikanunua ya airtel, but nimegundua kwamba ile router ya...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Picture this scenario, Natumia modem ya kasi ya Airtel (3.6 Mbps) nyumbani (ambayo nimei share nyumba nzima kwa kutumia Internet Connection Sharing) kuperuzi hapa na pale, mtoto wangu wa kiume...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wakuu wa tech naomba mnisaidie sehemu za kupata software za mac hapa Dar.
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Hivi Jamani Inakuwa vipi hiki chuo kinatoa Advance Diploma ya Miaka miwili wakati Advance Diploma ni Miaka Mitatu? tunapata usumbufu sana kupata kazi serikaini
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Getting the “Your System is Low on Virtual Memory” error is very frustrating. Fortunately, it will not destroy the computer. It merely indicates that the computer no longer has any memory to...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wazee zile chanel nilizokuwa nazipata kwa kuingiza namba 698 zimefungwa tena. uchakachuaji uko vipi hapo?
0 Reactions
0 Replies
962 Views
Back
Top Bottom