Kwa sasa hivi katika jiji la dar es salaam huwezi kupita kilomita 2 bila kukuta mnara wa mawasiliano labda juu ya nyumba za watu haswa magorofa kati kati ya jiji na pembeni kidogo au barabari...
Hello wakuu..natafuta motherbord ya laptop aina ya dell latitude D430, ni notebook.. Kuna circuit imengua ikazima machine na haijawaka tena..msaada plz
URGENT!!! PLEASE CIRCULATE to your friends, family and contacts.
In the coming days, DO NOT open any message with an attachment called: BLACK MUSLIM IN THE WHITE HOUSE, regardless of who sent it...
Hivi ninavyoandika sasa hivi watumiaji wa Mtandao nchini Tanzania ni 676,000 hiyo ni asilimia 1.6 ya idadi ya Raia wote wa Tanzania wakati huo huo watumiaji wa Mtandao jamii maarufu kuliyo yote...
Wapendwa
Computer yangu imefanyiwa Instlation hivyo imefutwa kila klitu na sasa nataka kuprint lakini sina CD ya printer ni HP naweza kufanyaje ili niconect computer to printer bila CD ya printer...
Hello wana JF, nina shida kidogo na simu yangu BB Curve 8520, ninatumia browser ambayo ipo kwenye simu yangu inafanya kazi vizuri tu... lakini siwezi ku log in kwenye jamii forums inakuwa inakataa...
kuna blog nimefungua , iko fresh, jana ktk kucheza cheza kwny web zingine nikakuta 100% Free Hit Counters for Your Website. 100's of Styles to fit your Site. Keep track of your sites page hits...
Habari zenu?
Naomba mwenye kufahamu site yenye material mazuri zaidi ya J2ME, Java Swing Package, Android technology and Ruby on Rails..
Material hayo: Yawe ya aina yoyote video, audio...
Africa ready for new Internet address regime
Scrolling through functions of a smart phone. Photo/REUTERS
By MICHAEL OUMA Posted Monday, March 14 2011 at 00:00
THE EAST AFRICAN
The...
Wakuu naomba kwa yeyote aliyewahi kutumia professional antivirus software na free antivirus software (mfano avast) kwa nyakati tofauti, je kuna utofauti mkubwa sana kati ya hizo mbili kwenye...
Wakuu naomba msaada wenu.Mi na2mia dell d620 yenye windows 7prof.niliyonunua kupitia humo ndani.Lap hiyo ina tatizo upande wa administrator desktop icons zote zimekuwa overshadowed by window...
Ninahitaji TV aina ya Sony Bravia LED TV 32" new model ambayo unaweza watch events mbili kwa wakati mmoja make ya Malyasia kwa NRB ni Ks.32,000.00 eqt to Tsh.600,000.00, nikifatilia bei za Dar ni...
Waungwana salam! Mimi ni kijana mwenye elimu ya darasa la saba nipo Dar. Napenda TEKNOHAMA (Teknolojia ya habari na mawasiliano) kiasi nimeweza kujifundisha kutumia kompyuta si haba! kwa msaada wa...
Habari zenu wanajamii forum. Nina tatizo la sauti katika dell Inspiron 6000 hili limekuja baada ya kuachana na Window XP na kuanza kutumia Window 7. Nimejaribu kadri ya uwezo wangu imeshindikana...
Habari wadau
natumia startimes tv ya flat, sasa kwa upande wa kulia juu, kwa siku hizi kunajitokeza
kisanduku cha barua ambacho kuna ujumbe nimetumiwa natakiwa kuusoma, nimejaribu kukifungua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.