Biashara ya matangazo kwa njia ya mtandao imetoka mbali na mara nyingi imebadilika kutokana na watu kuja na njia bora zaidi za kutangaza , vifaa vya kuangalilia kurasa za mitandao kama simu za...
Wakubwa habari za kazi,
wakubwa internet inamaliza mkwanja wngu,hakuna njia ambayo mtu unaweza kupata line ambazo zimechakachuliwa jamani?
Mimi natumia ya airtel na natumia simu yangu kama...
wanandugu nimesikia kuna hii kitu inaitwa spyware for mobile phones i.e. is software that you install on a cell phone that will give you access to that cell phones data including reading text...
Sam Exclusive utajua ni mtiririko wa post zinazohusu teknolojia hapa bongo.
Sakata la Mvulana wa Apple na baba wa Microsoft, anyway ni somekind of comedy.
Video hii hapa Microsoft man VS Apple...
Habari zenu wana jamii!
Wajameni mie ninatatizo moja kuhusu simu yangu aina ya Nokia N91 4GB, Yenyewe wakati wakuiflash fundi ikamshinda akadai katika IMEI number digit ya mwisho inaweka alama ya...
Juzi Tigo walinitumia message ya jinsi ya kujiunga na package ya intaneti ya STANDARD WEEk kupitia simu yangu yenye uwezo wa kujiunga na mtandao wao wa 3G kwa shilingi 4500 kwa wiki.
Unatakiwa...
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo, nimelazimika kuacha kutumia gari langu binafsi kwasasa natumia daladala tuu. Nasikia kwamba gari usipoitumia mda mrefu injini huaribika sijabahatika kupata...
Naomba kwa yeyote anayejua anisaidie jinsi ya kufichua mafaili yaliyo fichwa katika flash, nina flash yangu ambayo baadhi ya mafaili hasa ya miziki hayaonekani kwenye computer lakini huonekana...
Parts of these pages on USB Networking are a cooperation with
Parallel Technologies, the creator/ inventor/ developer
of the DirectParallel® technology licensed to Microsoft
for the Direct Cable...
Sam Exclusive utajua ni mtiririko wa post zinazohusu teknolojia hapa bongo.
Leo ni IBM
IBM's Corporate Services Corps team in Tanzania visited a local school in Arusha. The school opened in 1934...
Habar zenyu wanathnker hv nini kinachosababisha mashne kuchagua software(window) mfano ulikuwa unaingiza window xp service packes 2 na iliyokuwepo ilikuwa hiyo hyo ila ki kama umebadili cd au...
Msaada please,
Nina laptop Dell inspiron 1720,
kuna wakati computer ina kuwa kama ime crash na message hii inatokea "hardware malfunction, call ur hardware vendor for support, then chini...
Heshima kwenu wakuu.
Nina router ya sasatel ambayo naitumia ku connect computer kadhaa kwa wireless na utp, sasa nimeamua kubadili operator nikanunua ya airtel, but nimegundua kwamba ile router ya...
Picture this scenario, Natumia modem ya kasi ya Airtel (3.6 Mbps) nyumbani (ambayo nimei share nyumba nzima kwa kutumia Internet Connection Sharing) kuperuzi hapa na pale, mtoto wangu wa kiume...
Hivi Jamani Inakuwa vipi hiki chuo kinatoa Advance Diploma ya Miaka miwili wakati Advance Diploma ni Miaka Mitatu? tunapata usumbufu sana kupata kazi serikaini
Getting the Your System is Low on Virtual Memory error is very frustrating. Fortunately, it will not destroy the computer. It merely indicates that the computer no longer has any memory to...