Wakuu!
Samsung Galaxy A series ni smartphone kutoka Samsung ambazo zipo za aina mbalimbali kuanzia low end (izi ni za bei ndogo na specifications za chini) hadi za mid rangers ambazo zina...
Nimesikia mara nyingi watu wakisema kwamba Smart TV zinatumia umeme mwingi, na kama ni kweli, why zitumie umeme mwingi, naomba kupewa elimu, asanten[emoji120]
Tajiri zaidi duniani, Elon Musk, ametangaza kuwa kupitia roketi za SpaceX, abiria wataweza kuruka kutoka Dar es Salaam hadi New York katika muda wa dakika 5 pekee.
Kwa sasa, inachukua masaa 16...
Habari za mchana wana jf poleni na majukumu ya hapa na pale mimi nahitaji msaada kwa mtu mwenye uwezo wa kuremove zile color huwa wanaweka hawa ndugu zetu wauza mikeka wanaosema wana fixed game...
Habarini Wadau Kati ya TV hizi ipi ni Bora Kwa matumizi na haitaleta changamoto mbeleni huko.
1.Hometech (32 inches)
2.TCL (32 inches)
3.Alitop( 32 inches)
4.Aborder(32 inches)
Budget...
Hapo pichani ni Submeter ya Umeme niliyoikuta kwenye nyumba ya kupanga
Ina namba ya mita yenye tarakimu sawa na ya TaNeSCo.
Naomba kufahamu Inafanyaje kazi
Nilikuwa ninacheki Tv ya kununua, nikashangaa Mewe ni Tv cheap sana.
Yani Hisense,LG, TCL inch 55' kariakoo wanauza around 1.2M halafu Mewe yenye sifa hizo hizo wanauza laki 8.
Sasa nikajaribu...
Hello guys,
Leo nimepita pita kwenye YouTube nikajaribu ku-download video kutumia third-party apps bila mafanikio nimekua nikitumia app kama vmate, freemaker nk ila kwa Leo zimenigomea. Kama Kuna...
Meta wameamua kuacha kussuport simu zenye Android KitKat (4.4) kwenda chini kuanzia Jan 1 2025. Baadhi ya simu maarufu ambazo zitaacha kufanya kazi ni
Samsung: Galaxy S3, Galaxy Note 2, Galaxy...
Umeshindwa kupakua video na audio toka YouTube?
Moja Kati ya mambo yanayowasumbua sana watu ni kuweza kupakua video pamoja na audio kutoka kwenye YouTube na kuweka kwenye simu yake?
Kama...
Habari za Asubuhi wataalamu. Kuna mahali nilinunua simu used Sasa kwenda home nika reset Kila kitu gafla ikaniletea huu ujumbe
(33333) Unauthorized actions are detected on the device Accessing...
๐จ๐ป๐ฎ๐ท๐๐ฎ ๐บ๐ถ๐ธ๐ฎ๐ป๐ฑ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ฆ๐ฎ๐ฎ ๐๐ฎ ๐๐บ๐ฎ๐ฟ๐๐๐ฎ๐๐ฐ๐ต ๐ถ๐ป๐ฎ๐๐๐บ๐ ๐๐ฎ๐น๐ถ ??
Utafiti mpya umebaini kuwa mikanda ya saa za kisasa (smartwatch) zimejaa kemikali zenye sumu isiyoondoka kwenye mwili wako(forever...
ZIJUE MAANA ZA ALAMA TOFAUTI TOFAUTI ZA MITANDAO YA SIMU
(G, E, 3G, H/H+, 4G, 5G, VoLTE)
Hizi alama najua umewahi kuziona sana kwenye simu unapokua maeneo tofauti tofauti ya dunia na una uzoefu...
Kama Kichwa kinavyojieleza hapo nataka kuagiza laptop Zanzibar au naweza kwenda mwenyewe nikabeba kwenye begi
Je Bei ya ushuru ipoje na kama mzigo nimeweka kwenye begi bado nitatozwa ushuru...
Habari za asibuhi wakuu,
Natamani kujua utofauti uliopo kwenye TV ya Hisense ya boksi jeupe na ile ya boksi ya kaki, na between the two ipi ni bora kuliko mwenzake?
Waatalamu wa electronics na...