Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habarini wapendwa wa jf natumai mko poa kama mada isemavyo hapo juu mimi nahitaji kueleweshwa ni wapi napatA hiyo mashine ya mkononi ya kufyeka mpunga au yule atakae kuwa nayo anahitaji kuiuza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu hii inatosha na inakera sana. Sasa ni muda muafaka Serikali iruhusu transactions za mtandaoni kwanjia ya paypal maana tunapoteza na tunapitwa na vitu vingi na paypal ndo njia rahisi salama...
8 Reactions
72 Replies
5K Views
Ukienda kununua simu utasikia simu hii feature kadhaa wa kadhaa ikiwa na display aina ya AMOLED !! Sasa iyo AMOLED display ni NINI ? [emoji3] amoled ni moja wapo ya teknolojia ya kioo ambayo...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu. Naulizia sehemu yenye "steering racing wheel games" kwa Dodoma mjini. Sina gari,nataka niwe napunguza machungu kwenye hizo games.
1 Reactions
15 Replies
925 Views
Tunatumia tu emoji kwenye simu zetu au kompyuta lakini nadhani wengi wetu hatujui Historia ya emoji Tunashangaa tu ziko kwenye simu zetu ? Kuna bwana mmoja anaitwa Shigetaka Kulita huyu ndo mtu...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari za weekend wakuu. Naomba maelekezo toka kwenu wana-JF. Natumia mobile phone, Nokia 2730, ambayo ina built-in browser; Opera Mini. In addition ninayo version nyingine inayoitwa Opera Mini...
1 Reactions
98 Replies
10K Views
Napenda kujua, matumizi ya simu yanayoharibu touch ya simu kwa haraka
1 Reactions
3 Replies
869 Views
Facebook bhana Ina mambo mengi sana ya kushangaza ambayo watu wengi walikua hawajui kha wanaweza kuyafanya kwenye Simu zao. Wageuze marafiki kuwa followers hivi unafahamu Facebook wameweza kuweka...
7 Reactions
18 Replies
3K Views
Nawezaje kuirudisha akaunt yangu ya fb? Imefungiwa na namba ambayo niliregister lain hiyo sinayo,wananitumia code za kuifungulia kwenye hiyo laini.
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wadau kama Kuna mtu anaweza kuwa na tutorials za kujifunza UX/UI kwa FIGMA naomba anieekeze alipo nizipate kwenye Flash yangu
1 Reactions
20 Replies
2K Views
utalaamu na uzoefu niliokuwa nao kwa kweli hali ya samsung sasa ni mbaya. hata ukiweka simu yako ulinzi vipi kuanzia nywila na vengine kama kufunga simu kwa KG,FRP na n.k simu itafunguliwa kama...
0 Reactions
4 Replies
830 Views
Msaada kwa wataalamu wa electronics juu ya TV Flat Screen inbuilt decorder iliyo crack hiyo decorder inaweza kutumika kwenye Screen nyingine?
0 Reactions
0 Replies
538 Views
Habarii wana familia mimi ni kijana niliemaliza chuo course ya Bachelor of science in information systems mwakaa jana. Nimekuja kwenu kutela ombi langu kwa yoyote anaefahamu kama kuna sehem...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wadau, nahitaji muongozo wa kutengeneza desktop application yenye sifa zifuatazo. Iwe networked . Aina ya database nayoweza kutumia. Na vitu vingine muhimu katika flow nzima. Nafanya...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Kama una modem au wifi router ya alcatel ni muda wako sasa. Vigezo na masharti kuzingatiwa. FREE PRICE
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Ndugu zangu mwaka Jana tuliona full release ya iPhone13 je kuna map ya yeyote yalionekana binafsi naona ni sawa na iPhone 12pro max maoni yenu jamani! Je wamekuwa na ubunifu wa camera tu au??
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu poleni kwa mihangaiko kama heading inavyo someka naomba kufahamu namna ya kutumia satellite finder!
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakubwa Habari... Naomba msaada kwenye hili, Sim yangu SAMSUNG GALAXY NOTE 10 PLUS imekuwa inanisumbua kila nikichomeka charge inaandika Battery temperature is too low na haipeleki charge Nifanye...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
MSAADA TUTANI Nimeletewa na kijana wangu desk top computer sasa mzee mie ninachemka product key ya window 10 pro [emoji1319] mnanisaidiaje jamani Maana inaonyesha window iliyomo siyo GENUINE
2 Reactions
3 Replies
820 Views
Mimi na jamaa zangu tumekuwa tukitaka kujua juu ya bio gesi. Kuna uhitaji wa kujua juu ya: miundo, gharama, uwezo wa nishati katika matumizi ya nyumbani na viwanda vidogo vidogo. Kuna haja ya...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Back
Top Bottom