Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu, sina mengi ya kuandika, heading inajitosheleza na picha nimeambatanisha. Kuna channel naona wameweka mizigo ya maana ya kivita ila nashindwa kuzidownload
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Nawasalimu wanajukwaa. Simu aina ya Vivo imeingia kwenye Child Mode, nikijaribu kuitoa inataka niweke screen lock password wakati sijawahi kulock kwa password na wala sina hiyo password...
0 Reactions
5 Replies
537 Views
Kwakweli Apple na product yake ya iPhone ni kama vile ni unstoppable, iPhone 13 imefanya vizuri sana na kuirudisha apple kwenye nafasi ya 1 kwa mauzo na mapato nchini China. Kama mnakumbuka kuna...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
wadau kwa yeyote ansyeifahamu Android app ya kuboost caller voice maana saut ya sim yangu infinix ninapoongea na sim napata tabu very low voice, nimejaribu baadhi ya App toka play store hakuna...
0 Reactions
4 Replies
726 Views
Kampuni ya Apple itaachia ios 15.4 itakayokuja na vipengele vingi na kimojawapo ni sauti ambayo huwezi tambua kama ni ya kiume au ya kike kwenye Siri. Msemaji wa Apple amekiri kuwa waliajiri...
6 Reactions
23 Replies
3K Views
Ukiangalia kitu kama Kindle; biashara ya ebook ya amazon, hairuhusu uchapishaji wa vitabu vya kiswahili na hsli inakubali vitabu vya lugha nyingi ambazo ni ndogo kuliko kiswahili. Cheki hawa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu Heshima kwenu.. Kama nilivyoelezea hapo juu nahitaji mtaalamu atayeniongoza kununua bidhaa mtandaoni ambaye nitaonana naye ana kwa ana...na nitalipia gharama za huo mchakato. Natanguliza...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndg zangu ktk jf.najua wengi wetu uwa tunapatwa na matatizo madogo madogo katika simu zetu na pengine kwa kutokufahamu tatizo huwa tunachukua uamuzi wa kwenda kwa fundi simu au kupiga simu...
7 Reactions
87 Replies
43K Views
Kwa wale wote wanaomiliki au ku operate machine tajwa hapo juu, basi karibuni sana nimefungua uzi huu mahsusi kabisa kuwakutanisha watumiaji wa machine hizo, lengo ni kukabiliana na changamoto...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kufahamu namna mtu anaweza kufanya investment ya meseji za USSD codes. Nani service provider hapa bongo? Charges zake zipoje? Wanaofanya wanapataje faida? Opportunities zake zipoje kwa...
1 Reactions
24 Replies
37K Views
Asalaam aleykum, Computer yangu inagoma switch on Japo disc drives inakuwa imewaka shida hapa ni nini? Hilo ndilo tatizo nililonalo wataalamu shida ni nini kwa Hill?
1 Reactions
6 Replies
1K Views
MOBILE PHONE REPAIRING TOOLS AND UNLOCKING MODEMS AVAILABLE : Miracle box Oss Client Pro All Android ADB FRP Remover Tool Z3x Premium Gsm Alladin Infinix Box Octopus Samsung DC Unlocker NCK Box...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu habari ya majukumu,nimejaribu kutafuta mada ya kuhusu freelancing humu jukwaani sipati lakini kumbukumbu zangu zinaniambia hii mada iliwahi zungumziwa humu jukwaani. Kwa sasa ishu na...
0 Reactions
10 Replies
36K Views
Habari Wakuu Natafuta app ya android ninayoweza kutumia kupiga Simu kwenda nje ya Tanzania kwa kutumia VoIP (voice over internet protocol). Nimejaribu VoipStudio haifanyi kazi. Ningependa kupata...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo nilikua napitia baadhi ya website za taasisi zetu hapa nchini moja ya taasisi kubwa tu ya IT juzi juzi hapa walifanya update ya system yao wakaongeza baadhi ya features na function mbalimbali...
7 Reactions
43 Replies
3K Views
Msaada hivi hawa jamaa ni wakweli au wanataka kuni nyoosha
1 Reactions
50 Replies
2K Views
Mimi nikijibana sana hazizidi siku mbili, wewe je huwa unatumia 1GB kwa siku ngapi?
8 Reactions
150 Replies
10K Views
Natafuta smart TV nchi 44, kubwa zaidi au karibia na hiyo. Napata wapi hapa mjini Dar hasa maeneo ya Kariakoo? Je, ni brand ipi bora kwa sasa? Bei yake ikoje?
1 Reactions
52 Replies
11K Views
Salamu wana Jf..natumai wote ni wazima,Kama Kuna mgonjwa Basi Mungu akuponye Simu yangu ni aina ya Infinix Hot 10,hii simu inazima zima Sana na ikizima huwa unachukua muda kuwaka,huwa unachukua...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hello ndugu zangu naomba kuelimishwa namna gani naweza kuunganisha fingerprint kwenye mlango na smartphone. Mwenye uelewa a share na mimi. Nahitaji kuongeza watumiaji wa mlango na kuset password...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom