Niko na bluestacks emulator kwenye pc yangu mwanzo ilikuwa ina download playstore apps vzr tu, lakini sasa kila app ninayodownload inawaiting sana wala haidownload na hakuna app nyingine yoyote...
Wandugu kama tufahamuvyo windows 11 imeanza ku roll leo na wale wenye pc za maana wataanza kupata upgrade hii. Naona kizingiti kikubwa cha windows hii mpya kipo kwenye requirement ya TPM module...
Nimekaa na kujiuliza sana juu ya hii ishu. Maana hata kama watu huwa wanajisahau na kuacha hotspot on ndio kusema watu wote wanajisahau? Au ndio kusema simu zote huwa zina app zinazofanya kazi...
Kampuni ya Alphabet ambayo inaimiliki Google na YouTube imetoa ripoti ya mauzo yake na faida ambayo imeingiza katika Q4 2021 (October, November na December).
Alphabet imepata faida ya Dola...
Mwaka huu, mfumo mpya wa Wireless wa Wi-Fi 7 utaanza kuchukua nafasi na wiki hii kampuni nyingi zimetangaza zitaanza kutengeneza vifaa na chip ambazo zitakuwa zinakubali mfumo mpya wa Wi-Fi 7...
Habari,
Hivi karibuni kulisambaa habari za roketi inayotarajiwa kugongana na Mwezi/Moon mwezi ujao march ambazo kulikuwa na makosa ya kutambua roketi hiyo kwa kusema ni aina ya Falcon 9...
Habari wakuu, ni matumaini yangu mu wazima wa afya. Kwa wale ambao Kwa namna moja ama nyingine hawapo sawa kiafya nawaombea Kwa Mungu awajalie afya tele.
Sasa moja Kwa moja niende kwenye mada...
Mtandao wa Maga Hub-Truth social Trump ambao unamilikiwa na aliyekuwa Rais wa Marekani Bwana Donald Trump umeweka njia ya malipo kwa watumiaji wake wanao taka kuwa verified na blue tick.
Katika...
Habari wana JamiiForums,
Matumaini yangu mnaendelea vizuri na majukumu ya kulijenga Taifa. Nami namshukuru aliyetuumba kwa uzima wake.
Nimekuja kwenu kuomba ushauri wa kununua simu.
Ndugu zangu...
App ya Snapchat, mwezi huu itaanza kuweka sehemu ya kubadili username. Kampuni hiyo imetangaza leo kuwa watumiaji wake watakuwa na uhuru wa kubadili username kama ilivyo katika Instagram na...
iPhone SE toleo la 3 inategemewa itatoka mwaka 2022 mwanzoni na itakuwa na chip mpya ya iPhone.
Apple imeamua kuchukua hatua ya kusitisha design ya iPhone mimi na kuweka focus katika iPhone SE...
Habari za muda huu ndugu zangu nilikuwa na shida moja ya kufahamu je kunatofauti gani kati ya iphone zinazo toka USA na hizi iphone kutoka nchi zingine?? Mfano mm nilikuwa nataka iphone ya XS MAX...
Aliyekuwa Rais wa Marekani, mtangulizi wa Joe Biden ndugu Donald Trump sasa na yeye aachia Mtandao wake kwa jina la Maga Hub Truth social Trump. Mtandao huo ulizinduliwa jana Tarehe 16/02/2022...
Natumia pc ya lenovo thinkpad ram4 hard disk gb500 gafla window imezngua na nikitak kupig window inaishia kweny kulistarte window ina search mda wote tatizo nini?
Habari wana-JF, hapa nilipo sielewi nifanyaje maana nimepoteza data za 8 GB humo kulikuwa na files nyingi sana za muhimu ninachoshukuru documents nilizifanyia backup kivyake.
Laptop yangu...
Nimekasirika sana na haya ma radio ya mchina, nataka sound ya nzuri ya kijanja yenye kutoka mziki halisi kuanzia vyombo mpaka mkitobwa haja sio wa pwaaa pwaa pwaa
Naombeni mawazo yenu tafadhali...
Habari,
Naomba kufahamishwa mahali naweza mafundi bora na wa uhakika kwa hapa Dar es salaam wa computer ukiacha hawa wa machinga complex ambao baadhi yao wamekua sio waaminifu.
Wakuu habari zenu.
Ninatumia Epson L386 yenye wino YMCB kwa matumizi yangu binafsi, wiki iliyopita nilikuwa naitumia kuprint coloured documents, ghafla ikaacha kuprint colour zote YMC ikabaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.