Tumekuwa na channels nyingi ambazo zinapatikana free ila changamoto ni zimekuwa katika satellite tofauti tofauti mfano clouds TV 3e,clouds international 75e, tve 75e, wasafi tv78e, dira na star TV...
Wakuu habarini za mizunguko ya hapa na pale, ni matumaini yangu ni wazima wa afya.
Ninahitaji kufanya biashara online, kwa kulitambua hilo nahitaji kujitangaza hivyo basi nahitaji kuwa na...
Wakuu naomba msaada simu yangu Huawei Y7 2018 prime imekataa kufungua app zote za Google na ku sync data pia kila nikiingiza email yangu ya account ya Google na password inakubali ila inaleta...
Heshima kwenu wakuu.
Naomba msaada wa hiyo app kama kuna mtu mwenye link ya Poweramp Premium.
Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu wakuu.
Thank you.
Chief-Mkwawa.
Haya wapendwa katika bwana, ndugu yenu mnisaidie sasa, weekend hii tumeongeza tv nyingine kumbe inaking'amuzi kwa ndani!!
Kuna mtu akanambia ukiweka antena zile za ndani utapata free chanels...
Wakuu nawasalimu,
Simu yangu (Samsung A50) ilipasuka camera so inatoa picha zenye ukungu, simu bado ni nzima kwa kila idara ba inakidhi mahitaji yangu isipokuwa huo ubovu wa camera pekee.
Sasa...
I am currently using fmwhatsapp 8.35 and recently I have to receive notifications of new fmwhatsapp 8.40 updates regularly. I went to the vendor that I regularly updated but did not see the 8.40...
Perpetual motion machine; can we create one
Katika pitapita zangu kwenye vitabu namekutana na hiki kitu perpetual motion, ambacho wanadai mpaka saiv ni theoritical Yan haiwezekan practically coz...
Kutokana na hofu ya Usalama, India imezuia upatikanaji wa 'App' 54 kutokea China. Tangu mvutano wa kisiasa kuibuka kwa mara ya kwanza na China Mwaka 2020, India imepiga marufuku jumla ya 'App' 321...
Habarini bandugu! Hivi ni kwenye simu yangu tuu au ni ukweli kwamba kwamba Tweeter ipo chini?
Kama ipo chini naamini kwa asilimia 100 kuwa kuna uhusiano na kile kinachoripotiwa na Martin kutoka...
Mtandao wa Facebook ulio chini ya Meta umeboresha katika sehemu ya mazungumzo yake ya messenger. Ikumbuwe Messenger pia imeunganishwa na Facebook hivyo Mtu anaweza kuchati Messenger kwa kutumia...
Fahamu hili
➡ kuna website inaitwa WWW.RAINYMOOD.COM
Hiii ni website ambayo inakupa uhalisia wa mvua yaani kama upo ndani itakufanya uhisi njee kuna mvua 💦💦💦hata kama kuna jua Kali kiasi gan...
Wakuu nina m1 cash now nichukue laptop gani nzuri si lazma iwe mpya hata refurb sio mbaya nisaidien wadau iwe na spec gani?
Kama kuna mdau anauza anicheki inbox au hapa hapa deal lazma owe leo...
SALUTE
Inafahamika kua Tanzania ni moja kati ya nchi zenye amani na uhuru duniani, hii inatufanya
Kujitamba na kutembea kifua mbele ya mataifa mengi hasa ya Afrika kua tuna amani na furaha
zaidi...
Wakuu,
Nimekuwa nikitafiti kujua simu gani ya Samsung naweza kuipata kwa bajeti ya sh 500,000/- nikaona kwa kiasi hicho naweza kupata Samsung Galaxy A22 au Samsung Galaxy S8+ ya mwaka 2017...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.