Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nina laptop ya hp Envy x360, Fan yake ya GPU imekufa, nimejaribu kupiga simu kwenye maduka tofauti hapa Tanzania bila mafanikio. Nimejifunza kuwa maduka yote niliyopiga hayauzi spare za laptop...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari Wana jamvi, Hii simu (nimeichukua kwa mtu hivi karibuni),TECNO POUVilER 3 AIR hai_connect USB port katika PC na Wala HAKUNA notification yoyote; Ina Soma km charger tu na inachaji vyema...
0 Reactions
1 Replies
485 Views
habari wanandugu mimi ni mtumiaji wa samsung s6 edge nimenunua inakama miezi miwili haina mipasuko wala shida yeyote but nimetamani kutumia s9 je naweza kupata wa kubadilishana nae kisha niongeze...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu wale wajuzi wa mambo, toka nirud safari hapa home nilimwacha mtu kwa ajili ya ulinzi. Sasa toka nirud nikiingalia tv inatokea notification kama hio then ukiacha inajizima, before haikuwa...
3 Reactions
23 Replies
5K Views
wakuu habarini za majukumu, Kuna flash yang moja ya kichin ya gb 128, niliibadilisha format kutoka EXFART, kwenda NTFs, baada ya kubadilisha ivo ilikua inasoma baadhi ya divices, nikabadilisha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mnamo tarehe6 February account yangu ya Facebook ilijifunga ghafla ikidai Kuna mtu mwingine alikuwa anaifungua kwenye kifaa kingine, ikataka niingize code namba wanazontumia, nikawa naingiza hizo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimeona kama Gotv ina ufanano sana na Dstv, je ni ipi tofauti ya visimbuzi hivi viwili? Naona sana Gotv ipo kenya, uganda, Nigeria nk Swali la nyongeza, mbona Gotv haipo Tanzania?
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari Wana JF,hivi karibuni Tumefungua Online Media ambayo bado ni changa...inayojihusisha na mambo ya Burudani hivo Tunaitaji Kijana anayeweza kuendesha Akaunti zetu za Online kama 1.Youtube...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari zenu wana Jf, Naomba kujua kwa hapa bongo naweza pata wapi hizi Camera lens za simu. Cc Chief-Mkwawa
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu!!Nina flash ile yenye pande mbili yaani unaweza weka katika simu au hata pc...sasa nikiichomeka katika pc inasoma vizuri ila katika simu haisomi...msaada wa hili plz
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau habari zenu.? Nilikuwa natumia Samsung A30, ambayo nilinunua mwaka juzi ,nilipanga mwaka huu ninadilishe.. bahati mbaya jana nikiwa na mashkaji tunapiga mambo niliidondosha, haifanyi kazi...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Wakuu salaam! Hvi nini tatizo? Natumia vpn ya Orbot, jana ilikubali nashangaa leo inakataa. Nini shida?
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari za siku wanajamii Kama ilivyo kawaida ya jukwaa pendwa la teknolojia ambapo huwa tunaelekezana mambo mbalimbali yanayoendelea katika ulimwengu huu wa sayansi. Katika pitapita zangu kwenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari. Naomba mnisaidie kujua program nzuri ya kuweza kurudisha driver zilizokua missing kwenye computer inayotumia window 10 pro tafadhali. Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kijana Jack Sweeney aliyekuwa akitrack private jet ya tajiri namba moja Duniani Elon Musk amepatiwa ofa ya kazi kwa kampuni moja inayojishughulisha na masuala ya aeronautics kampuni hiyo...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
'Pinter' isomeke 'Printer' Epson l382 Haina tatizo kwenye printing, kazi ni nzuri. Tatizo lipo kwe kutoa copy, copy ina toka na mistari. Wajuzi nipeni ufumbuzi. 1. Printed Sent using Jamii...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Hanari wana JF, ni muda mrefu hatuja jadiliana hapa lakini hii ni kutokana na mambo mengi ambayo tumekuwa tukijaribu kufanya. Mengi yemefanikiwa na machache yamekuwa kama changamoto kwetu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wajanja wa mujini, Kama una simu ya iphone hebu tupia mambo mbali mbali ambayo iPhone inafanya ili tupate maujuzi. Please kama una simu yako ambayo sio IPhone usichangine maana hii Habari...
9 Reactions
217 Replies
28K Views
Nina Idea ya product ya Educational technology. Ila ipo kwenye mahandishi mpaka sasa. Ni wapi naweza pata mfadhili au mtu wa kufanya nae partnership? Naombeni msaada wa mawazo.
1 Reactions
5 Replies
831 Views
Wakuu msaada wa kutatua ttzo la led screen inayoonesha mostari ya white picha kufifia na rangi kubadilika.. Mara inakuwa kama dhambarau mara normal... Picha kuonesha imefifia na hata kuganda au...
0 Reactions
21 Replies
13K Views
Back
Top Bottom