Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hizi redio zimetrend sana nowdays naombeni kufahamishwa kwa wale wazoefu na watumiaji wa redio za JBL Je zina mziki safi Maana unakuta kiredio kidogo bei 400K around Pia kufahamu life span ipoje...
7 Reactions
68 Replies
13K Views
Samahani za muda huu na shida ya kufungua account ya paypel maana kuna vitu ving nataka kufanyia hii account sasa nimeambiwa natakiwa niwe na line ya safaricom hilo nifungue account ya paypel sasa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari za uzima wakurugenzi nafikiri mpo poa na wanaojisikia vibaya na waliopata na majanga Basi mungu awape wepesi. [emoji117]Twende moja kwa moja kwenye maada tajwa hapo juu, nahitaji...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nchi ya Rwanda imefanikiwa kupata chanzo kipya cha umeme kupitia gesi ya methane iliyoko ziwa kivu ziwa lililobatizwa jina la utani la killer lake mpaka sasa inakadiliwa kuwa chanzo hicho kipya...
0 Reactions
3 Replies
528 Views
Waheshimiwa kwema, Nina tatizo la Keyboard na mouse, havifanyi kazi kwenye window 10, ila ukizima ukiwasha pale kwenye F2 inafanya kazi, tatizo ni ikaliza kuwaka ndo hapo haifanyi kazi kabisa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Unapopiga kwenye speakers kubwa kama kanisani au ukumbini bass ni ya mbali sana. Naomba msaada wa settings au drivers
0 Reactions
13 Replies
666 Views
Hello wakuu. Current anafanya migration ya system inatoka language moja inaenda nyingine, tuna shift kwa sababu hii system ina deal sana na APIs tunahamia kwenye language ambayo itatupa ufanisi...
1 Reactions
16 Replies
859 Views
Kampuni nyingi zina jaribu kutoa aina mpya za teknolojia ambazo inabidi kusubiri au kuchukua kila mda lakini zimekuwa zikianguka kutokana na haraka haraka za hapa na pale. Mfano kampuni nyingi...
8 Reactions
71 Replies
6K Views
Amani iwe kwenu ndungu zangu. Naomba msaada kwa mtu mwenye experience namna ya ku-connect kifaa hiki na Power mixer kwa ajili Live-Streaming.
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Ni mashine ipi ni Kali na ipo speed kwenye 3d rendering kwa program Kama blender 3d na wenzake na yenye Bei ya kiTanzania. Maana natumia mashine yenye core i5 gen 3 ipo slow sana ingawa bado...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa anaejua ani saidie Natanguliza shukrani
1 Reactions
34 Replies
20K Views
Jamani habari ndugu? Nimenunua simu Amazon nikakimbilia bei nimekuja kungudua shinda wakati ikiwa imekwisha tumwa kuwa hii simu niyakampuni ya total wireless je, kwa hapa bongo inaweza kusoma...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
ndugu kwa uzoefu wenu twitter na instagram mtandao upi uko vizuri kufuatilia mimi binafsi natumia zaidi hizi blogs kwahiyo nataka kuingia huko kwenye mitandao ya kijamii,asante.
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Samsung’s One UI 3.0/Android 11 update roadmap December 2020 Samsung Galaxy S20 Ultra Samsung Galaxy S20 Plus Samsung Galaxy S20 January 2021 Samsung Galaxy Note 10 Plus Samsung Galaxy Note...
2 Reactions
46 Replies
7K Views
Miaka ya 1990s, TANZANIA ilikuwa inazalisha baiskeli ambazo zilinunuliwa sana na watanzania. baada ya mda zilipotea kwenye soko. mwenye kumbukumbu atujulishe yafuatayo. 1. Kiwanda chake kilikuwa...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Habari Tech Members na Programmers. Kama kichwa kinavyojieleza, natamani kupewa elimu kidogo kuhusu hili swala la open source projects contributions linakuwaje na nawezaje na mimi nika contribute...
0 Reactions
1 Replies
467 Views
Teknolojia inapitia changamoto nyingi pale jambo jipya linakuja na kupokelewa kwa tafisiri mbaya au kuogopa. Miaka ya iliyopita teknolojia ya barua pepe ilivoingia basi mashirika ya barua...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Hello wanajamvi natumaini mko njema tukiendelea kupambana na hali ya Baba Wa Taifa Kwa kifupi ndugu zangu nahitaji kununua simu aina ya Oppo lkn nilipo upatikanaj wake mdogo n kupata ile...
0 Reactions
6 Replies
893 Views
Kuna tofati gani kati ya volt Watt na Ampia? Unakuta Adapter inatoa volt 12 ina Ampia 2. Au unakuta charger ya simu inatoa volt 5 na Ampia ni 1.5 au 2? Au unakuta Tv guard au volt guard...
1 Reactions
14 Replies
8K Views
Habari, Msaada, Nahitaji kampuni nzuri ya kugawa mtandao (ISP) mwenye kifurushi poa na mwenye coverage kubwa (Zuku, Simbqnet na Cats hawana coverage huko). Mteja yuko Chamazi Mbagala
0 Reactions
0 Replies
612 Views
Back
Top Bottom