Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Naitaji mother board Dell optiplex mwenye nayo anicheki
2 Reactions
3 Replies
670 Views
Simu zake mbona kama bei rahisi sana? Yani note 20 utra eti kwa laki 6 Note 10+ laki 5?
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Kama heading inavyojieleza: Nahitaji stylus pen inayoweza tumika kwenye any touch screen device; both Android, iOS devices or 2 in 1 laptops. Nipo Dar. Natanguliza shukrani.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kampuni ya Samsung wameachia updates ya os ya Android 12 ama UI 4 kuanzia tarehe 15 mwezi huu kwa simu za Samsung Galaxy S21 Ultra. Ila hii updates ilianzia huko Marekani, Ulaya na Korea Kusini...
2 Reactions
63 Replies
6K Views
Habari za asubuhi wakuu?? Samahani kwa usumbufu: Moja kwa moja kwenye maada! Wakuu, nimekutana na hii "surveyj.co" huko google. Inadaiwa unaweza kujipatia hela kupitia hii Surveyj.co Sasa...
1 Reactions
8 Replies
932 Views
Habari, Hivi karibuni kampuni linalohusika na utengenezaji wa vyombo vya anga na unajimu limetoa ripoti ya mipango yao ndani ya mwaka 2022 ya kurusha rockets 52. Elon Musk ambaye ni mkurungezi wa...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Uzi maalumu kufahamishana games nzuri kwa watumiaji wa android na iOS naanza mm 1.dream league soccer2019 2.PUBG MOBILE GAMES 3.
3 Reactions
42 Replies
6K Views
Habarini wakuu! Niki mpigia mtu, au nikipiga screen ina kuwa nyeusi, haoleti mwanga, HIVYO NASHINDWA HATA KUKATA SIMU, N.K Msaada tafadhari. [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
1 Reactions
13 Replies
679 Views
Hey habari za muda huu wakuu kuna PC hapa inanisumbua yan imekua nzito hata apps azifanyi kazi ipasavyo alikua anatumia dada angu sasa nimekuja kugundua ni muda mrwfu window haijafanyiwa updation...
1 Reactions
4 Replies
557 Views
Nchini Norway sasa yaja na basi lisilo na Dereva urefu hivyo litajiendesha lenyewe kwa kutumia technology na hakutakuwa pia na hata makondakta hivyo basi litakuwa linasima kwa kila kituo na...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu habari za saa hizi natumaini wote ni wazima Nimepatwa na tatizo kidogo kwenye pc yangu ni kwamba nilichomoa harddisk nikaitumia kama external sasa wakati wa kuirudisha na kuwasha Pc...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ndo kusema haya mambo hamyawezi au? Toka nimetembelea kule sijawahi ona hata chat room ya kiswahili au hata forum ya kiswahili!,mnakwama wapi au mnaogopa kuonyesha ufundi wenu. Ni mbaya sana...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Je, video editor gani inafaa kwa hii laptop yagu aina ya HP intel,6GB RAM,32-bit processor
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Natumaini nyote mmekuwa na siku njema. Niende moja kwa moja kwenye mada husika Nimeuliza swali kama kweli zipo mfano wake ni zipi?
0 Reactions
25 Replies
8K Views
Sipo hapa kutangaza biashara. Nina TV yangu flat ya Samsung 32" nilinunua mwaka 2013 na naitumia tu chumbani. Sasa kutokana na athari za mvua hapa Dar iliingia maji mengi sana kwakuwa niliiweka...
9 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za muda huu wakuu, mimi nina group la facebook lenye wanachama 200K ambalo hapo awali kwa siku walikuwa wakijiunga watu 1k lakini siku hizi wamekuwa wakijiunga watu 20 au 30 tu! Je, ni...
0 Reactions
5 Replies
761 Views
LinkedIn imeaanza kusambaza kipengele cha sauti / #SocialAudio kwa wabaadhi ya watumiaji wa mtandao huo – hasa ikilenga waandaji maudhui kwa hatua ya kwanza. Mojawapo ya sifa kuu za...
2 Reactions
2 Replies
571 Views
Kwa anayejua step za kufikia kwenye ku-verify account ya Facebook anielekeze free
0 Reactions
4 Replies
3K Views
1) Kuwaeleza Watoto umuhimu wa kuweka nywila (Password) kwenye vifaa vyao, na kutompa mtu mwingine hata kama wana ukaribu 2) Kuzungumza na Watoto, na kuwaonesha wanaweza kuwafuata pale wanapopata...
1 Reactions
2 Replies
757 Views
Bongo movie inakufa, sababu si quality (japo kweli quality ni chini) kama wengi wanavyodhani bali ni hawana namna ya kuuza movie zao. Ilianza kwa kuuza VHS za kina Majuto. Ikaja CD na DVD. Kipindi...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom