Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kwa chereko nyingi tu niwapongeze wasimba au kwa kiswanglish wanaitwa madevelopa wa Bongo kwa mambo makubwa yaliyofanyika nchi hii. Kwa kweli tunahitaji pongezi sana. Kwa wale wasiojua mafanikio...
2 Reactions
40 Replies
5K Views
Sequence and structure comparison of protein and RNA molecular ni muhimu kwenye kujua tofauti za microorganisms kama cells, bacteria, fungi na virus Mfano kujua tofauti ya normal cells na...
0 Reactions
0 Replies
376 Views
UBUNIFU WA INVETER Jambo la msingi katika uundaji wa inveter ni kubadili voltage kidogo ya umeme wa battery (Umeme wa battery ni umeme mnyoofu Direct Current”DC”) na kuupeleka katika umeme...
5 Reactions
9 Replies
12K Views
Habari wakuu, nilijaribu kuingia YouTube ili niweze ku download movies tajwa hapo juu,nimeshindwa Kutokana na ninazozipata kuwa katika lugha ambayo ni tofaut na kiingereza. Kwa aliye na link...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Habarini wakuu Mimi ni mjuzi mzuri wa masuala ya digital marketing haswaa. Ila nimekua nikijikita kwenye ishu nyingine kwa muda mrefu sasa ukiachana na hizi mambo za marketing. Sasa nimeona ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Dunia kila siku inabadilika kulingana na teknolojia inataka nini! Wale walio jikita na sarafu kama bitcoin mtakuwa mnafahamu kuwa bitcoin thamani yake ni kubwa na si rahisi kuinunua kama mgeni au...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Wenzetu wameendelea bwana. Huwezi kuja kusikia eti wamekufa kisa kukosa maji labda kama Hewa nayo imeondoka [emoji28][emoji28]which is almost impossible. KaraPure ndicho kisambaza maji cha kwanza...
6 Reactions
8 Replies
808 Views
Ndugu zangu watz wenzangu nadhan mtakuwa nami juu ya kinachoendelea kwa sasa katika nchi yetu Wafanyabiashara saiz wanajiamulia bei gan watupige na kila siku wanapandisha bei hasa wakijisikia...
24 Reactions
151 Replies
8K Views
Habarini wakuu mimi najifunza javascript japo kuna baadhi ya vitu sivielewi ningependa mnieleweshe muundo wa js kanuni muhimu za js na neno return linatumika vp kufunction code nanjia bora za...
4 Reactions
57 Replies
6K Views
Kwa heshima wanajf naomba ushauri wenu wa kitaalam kwa hii PC ,Mimi sijui chochote kuhusu PC nisije nikaibiwa.
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu naomba msaada wenu ps2 yangu inashindwa ku load game kwa Flash Inaleta black screen. Naomba Msaada [emoji1317]
0 Reactions
0 Replies
516 Views
Nadhani karibu Kila mtu ana/ anatamani kuwa na channel ya YouTube kwa ajili ya kuweka maudhui mbalimbali. Na katika safari hiyo bila shaka kila mtu anatamani kuwa maarufu na kufuatiliwa na watu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Je, Laptop yoyote inafaa kwa video editing?
0 Reactions
9 Replies
558 Views
Hellow Guys Nilikuwa nafanya utafiti kuhusu bei ya Photocopy machine aina ya canon ir 2425i Nimebaini maduka ya wahindi mfano maisha,omni na masumini bei zao zipo juu kidogo ukilinganisha na...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Salam, kwa wale Watu wa IT,Computer science,Telecommunication na any related field...CCNA sio kitu kigeni sana kwao.Ni Course inayohusu Networking(Routing and Switching) na demand ya hii course...
0 Reactions
0 Replies
495 Views
Salaam wana JF. Naombeni uzoefu kwa mliowahi kutumia au mnaotumia CCTV camera iwe nyumbani, sehemu ya biashara au ofisini. Ni camera ipi inafaa kwa sehemu kama bar ambapo usiku kuna mwanga hafifu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hello wataalamu wa IT, Nashindwa ku-run utilities/command prompt baada ya ku-install xampp kwa macbook pro 2011, msaada tafadhali. MK254 CHIEF MKWAWA Stefano Mtangoo et all.
1 Reactions
7 Replies
873 Views
Opibus, kampuni ya teknolojia ya Uswidi na Kenya ambayo inaunda, kuendeleza na kusambaza magari ya umeme yaliyoundwa kwa ajili ya Mwafrika imezindua basi la kwanza la umeme nchini Kenya na vile...
1 Reactions
2 Replies
740 Views
Wanatech habari ya January, Nina shida kama kichwa kinavyoeleza hapo. Naomba kufahamu namna ya kuunganisha .rar part files nyingi kuwa iso moja. Mfano mara nyingi kule telegram kwenye magroup ya...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
habari wakuu naomba mwenye link ya whatsapp for pc ambayo tatumia bila kulink na mobile phone
0 Reactions
1 Replies
603 Views
Back
Top Bottom