Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hili ni moja Kati ya mijadala ambayo imeibuka sana Tanzania [emoji4] haswa siku hizi za karibu kuhusu mtu anaweza kununua viewers. jibu ni rahisi NDIYO...!!!! ni salama kabisa mtu kununua viewers...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Nimesikia kuwa kuna watu wanaweza ku hack acount yako na kujifanya yeye ndio wewe,kwa mwenye kujua hii inakuwaje?anaweza kutumia hadi avatar na user name?
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Wadau wa Tech kwemaa!! Nauliza je kuna technique ya kurejesha messages za mtandao wa kijamii wa what's app tofauti na ule tuliozoea unapo install what's app ipya ktk simu yako. Anaye fahamu...
0 Reactions
0 Replies
833 Views
Wakuu nataka kuagiza simu kupitia mtandao wa eBay.. Vipi kuna yeyote aliwahi kuagiza bidhaa kwa hawa jamaa ikamfikia?
0 Reactions
2 Replies
763 Views
Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) imesema shambulizi la udukuzi kwenye 'Server' zake za Data limeathiri Taarifa Binafsi za Watu zaidi ya 500,000 waishio katika mazingira hatarishi...
1 Reactions
2 Replies
673 Views
Mashirika makubwa ya ndege Emirates, Air India, Air Nippon na Japan Airlines yamesitisha safari zake za kwenda Marekani kutokana na huduma ya mtandao wa 5G. Jana asubuhi huduma ya mtandao wa 5G...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Binafsi nina gari sometime napigia mishe za bolt/uber. Ila hela tunayowalipa hawa jamaa ni kubwa sana. SWALI: Hakuna watundu wa TZ wazawa wakaanzisha app zinazofanya kazi sawa na hizo? Na kama...
2 Reactions
35 Replies
4K Views
Nataka kuwa na file la kuficha photo na SMS za kawaida na WhatsApp, what can I do Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari Kwenye iphone kuna kitu kinaitwa switch control sasa kimetokea na sasa simu imeshaji lock nahitaji kuingia kwa passcode ila nashindwa ukitaka kuanza kuandika passcode tu inatokea mistari...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wapendwa?, poleni na majukumu. Nina shida na program ya tally erp iwe release ya latest kidogo maana niliyo nayo ni erp 9 release 1.1. Napatikana Mwanza kwa mwenye nayo anichek tuyajenge...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wadau wa jf Naomba ushauri ni TV gani inaubora wajuu zaidi kati ya zifwatazo; Homebase Hisence Star X Hometake Karibuni kwa ushauri.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu habari,, Baada ya JF kurejea kutokana na kutokuwepo hewani kwa takribani wiki 3 mwezi June 2018, uongozi wa JF ulikuja na pendekezo lifuatalo ili kulinda usalama wa watumiaji.kwakua wakati...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimepitapita zangu Aliexpress nikakutana na hii simu. Kwa Around laki 4 hivi unajipatia, Realme 9i ambayo ina FHD+ Display with 90Hz refresh rate 4GB of RAM 128GB of storage(zenye 64GB naona...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari Wakuu. Nina laptop aina ya Toshiba ila tatizo niiiunga na WiFi hotspot ya Simu yangu ya Tecno inakula data so mchezo. Juzi tu niliiunga ili kuperuzi website kadhaa lakini ndani ya dakika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wah. Nimatumaini yangu mko salama, poleni na ramadhan pia. Nahitaji kununua PC je? ni vitu gani vitakavyo ni hakikishia kwamba pc ninunuayo ni bora kwa matumizi?
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Unapoenda kununua mfumo wa muziki au system ya mziki dukani au unapoangalia kwenye Internet kuhusu audio system utakuta kwenye specifications upande wa power output ya spika wamekuwekea 1000w RMS...
3 Reactions
5 Replies
4K Views
Wakuu, Kuna yeyote anayejua App ya simu ambao mtu anaweza kuweka 'Caller tune' ambapo mpigaji ataburudishwa na wimbo uliouweka mara tu atakapokupigia simu? Najua huduma hii inatolewa na baadhi ya...
3 Reactions
7 Replies
694 Views
Binafsi sio mtaalam wa hayo mambo ila nasikia ni biashara ya mtandaoni inayolipa, mwenye ujuzi kidogo kuhusu nàmna ha kutengeneza pesa kwa adsense, revenuehits, propeller ads tunaomba atuelimishe...
1 Reactions
52 Replies
9K Views
ni mashine ya kukata lami ,naomba either engine ya robin EY 28 au honda 390 au engine yoyote ya diesel ya kufanya kazi hapa vyema
1 Reactions
6 Replies
734 Views
Habari wadau naomba msaada wa namna gani naweza kuzuia namba fulani kunipigia bila ya kuizima simu yangu. Kwa anayejua code za kusett simu anisaidie please.
3 Reactions
43 Replies
17K Views
Back
Top Bottom