Hello Tech members
Moja kati ya maswali yanayojirudia rudia sana kwenye ulimwengu wa Teknolojia ni "Nijifunze kipi Kati ya Language Y na Language X
Au kati ya Framework Y na Framework X?"
Kwa...
Ikiwa umefungua akaunti ya paypal ya kenya kwa kutumia namba ya safaricom, kuna probability tatu.
1. Hutodaiwa kuverify chochote utaitumia kwa muda flani mpaka siku ya siku ndipo wakudai uverify...
Kwa wale ambao mlikuwa mnapata tabu ya makato pale mnapoenda kudraw pesa kwakutumia payoneer mastercard sasa airtel wamesolve hilo shida.
Airtel wana huduma ya kuhamisha pesa kutoka mastercard au...
Mitandao mizito sana na mvua hii basi ndio kabisa inakatakata kama tanesco na umeme na mvua na ukiwa na shida unataka kusolve kitu kwa haraka basi ndio inakuwa balaa tupu..
Wadau hebu tupieni...
Habarini za usiku ndugu,
Naomba kuuliza kwa 500,000 ,nahitaji TV flat screen kuanzia inches 43-45 naweza kupata kampuni gani kati ya aborder, Panasonic, TCV au Samsung.
Naombeni msaada kwa...
Wadau napenda kuwatangazia kuwa Sasa bei zetu ni karibu na bure kabisa, na hii ni kwa ajili ya msimamu huu wa sikuu.Huduma zetu ni kama ifuatavyo
1. Website designing
2.Forums and Ecommerce...
Heshima kwenu wakuu,
Naombeni ushauri, ni simu gani ya Samsung Note series ni nzuri kwa matumizi hasa hasa ukizingatia uwezo wa betri pamoja na RAM. Kuna mtu kaniambia nichukue Samsung Galaxy...
Kati pita pita zangu mikoa tofauti nimeshakutana na magari katha ya mebeba hicho kifaa mfano Arusha, mwanza, Kilimanjaro .
Wakuu kama kuna mtu mwenye uelewa naomba atupe maelezo.
A) jina la hicho...
Tanzania ni nchi moja ya ajabu ambo watu wake wengi ni wabinafsi kupita maelezo, mwanzoni walimbeza sana Fernandez na hii naongea kwa experience Kuna ambao niliwauliza kuhusu Nala na Fernandez...
Habari za leo wadau,
Nombeni msaada kwenye hili, nina invetor watt 150, battery (sundar N18) na panel sundar watt 30 na nimetumia waya wa 1.5mm kutokea kwenye sollar panel kuleta umeme kwenye...
Mtu tajiri zaidi duniani bwana Elon Musk amempatia ofa ya $5000 kijana Jack Sweeney ili aiondoe program inayofuatilia safari zote za ndege yake binafsi na kuziweka hadharani kwenye ukurasa wa...
Yaani nataka kufunga dish langu kwa mfano la Azam au Startimes au Zuku ila naweka ile l.n.b bila lile lisahani lake je nikiunganisha hivyo nikaenda kuwasha TV yangu itaonyesha picha?
Habari ya leo wakuu, samahani
Nahitaji kununua Laptop kwa ajili ya matumizi Katika shughuli zangu
Kazi nnazo hitaji kuzifanya zaidi ni kuandika vitabu, kutengeneza matangazo, posters n.k...
Jaman Naombeni kufahamu ISP gani Hapa Tanzania yupo vizuri kwenye huduma ya Internet services na Emails? Me binafsi Niliwatumia SimbaNet Siwaelewi vizuri Nataka kuwapiga chini na kutafuta wengine...
Wasalaam,
Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Miaka ya nyuma kidogo niliwahi kutumia Nokia Fulani hv siikumbuki ni model gani lakini ilikuwa ni ya button. Simu ile ilikuwa na uwezo katika...
Habari wakuu,
Mwaka juzi nilikuwa nina line ya tigo.
Cha kushangaza ilikuwa inanifanya naperuzi kwa browser ya UC mini na opera bure kabisa pasipo mb.
Yaani nilikuwa nagoogle kisha nadownload...
Elon Musk alimfuata DM dogo wa miaka 19 twitter ambaye ametengeneza bot yenye jina la ElonJet na bots nyingine zinazofuatilia location za matajiri.
Alimuuliza hizo bot zinamwingizia kiasi gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.