Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hi kwa wanateknolojia wa Jf.Niende moja kwa moja kwenge tatizo lililonikumba. Betri (CMOS Battery) ndogo ya CPU ya Hp iliisha nikafanya mkakati wa kuisaka lakini nikiwa kwenye mchakato nikasema...
2 Reactions
9 Replies
712 Views
Ni muda sasa kila nikitaka kudownload file nashindwa. Nikigusa kwny pdf hakuna action yoyote. Naombeni msaada
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kipindi cha nyuma nilikuwa naweza kupokea pesa western union lakini sasa hivi nikitumiwa pesa zinagoma kuja shida ni nini?
1 Reactions
8 Replies
930 Views
Habar wana jamv naitaj kujua sabufa aina ya pineetech pt v3 zinamfumo wa remot na bluetooth kwa waliotumia aina hvyo ya bufa msaada
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina MACBOOK PRO Nahitaji kuiwekea 1. HIGH SIERRA 2. FINAL CUT PRO X 3. LOGIC PRO X 4. REASON 5. GARAGE B 6. EXCELL-WORD-PWPOINT 7. PREMIER PRO 8. PHOTOSHOP 9. ILLUSTRATOR 10...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Urusi imekuwa ikishutumiwa kwa kupanga kutumia silaha za aina ya thermobaric - zinazofahamika pia kama mabomu ya vacuum -katika uvamizi wake wa Ukraine. Silaha hizi ni tata kwasababu husababisha...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Hello mates kwenye jukwaa hili la Tech, Kwa wale wenye uhitaji wa kujua au kushea ideas Juu ya Google Google Adsence Tukutane hapa. Je, unamiliki Blogu, tovuti au Channel ya YouTube ungependa...
6 Reactions
40 Replies
3K Views
Wadau nimepata mteja wa kuchukua techno pop 4.Nashindwa kujua simu Kali ni ipi kati ya Samsung na Redmi,Bajeji yangu ni 400,000 Tzs.
6 Reactions
251 Replies
34K Views
Toleo letu jipya la simu za CAMON 18 Series ndio simu janja kwa sasahivi yenye sifa kabambe. Sifa kubwa zinazopatikana katika simu za CAMON 18 Series ya kwanza ni GIMBAL CAMERA hii ni feature...
8 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu nilikuja humu kuomba ushauri kuhusu box gani nzuri ya kununua sikupata majibu katika kuulizia kwa mafundi wenzangu wakanishauri UFI box itnaweza nifaa kwa bajeti yangu na nikiangalia youtube...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Nilikuwa napata shida sana napotumia simu za android kabla ya android 10. Ilikuwa kila ikipita miez kama 4 lazima ni restore simu maana inaanza kuwa slow na apps zinaclash clash. Hii ilikuwa...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
Ni matumaini hatujambo sote, kama heading ilivyo nimefunga single phase 2kva Automatic Voltage Stabilizer ili ku protect submersible water pump 1hp (750w) lakini imeshindwa kubeba ku trip...
1 Reactions
6 Replies
986 Views
heri nikose apps zote kwenye simu ila sio hizi mbili 🤣 🤣 🤣 🤣 apple music kwa ajili ya kusikiliza miziki amazon kindle kwa ajili ya vitabu labda naweza pata ya ziada apa
3 Reactions
222 Replies
26K Views
Hivi polisi wanawezaje kupata Simu iliyoibiwa Nazani kichwa Cha habari kinaeleweka [emoji849] ? Au basi ngoja nikuulize tena Umeshawahi kujiuliza ni vipi polisi wanaweza kupata taarifa ya...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Wakuu naomba kuuliza ni photocopy machine gani nzuri aina ya canon inayotumia wino wa poda na bei yake possibly na duka linalouza.
1 Reactions
7 Replies
3K Views
mimi binafsi nazipenda na niinayo ila ndo ivyoo hazina ishu kwasasa nimenunua android tu ila daaah microsoft watufikirie tu
5 Reactions
52 Replies
3K Views
Habari wadau nataka ninunue simu mojawapo kati ya izi samsung a32 au redmi note 10 naomba ushauri nichukue ipi cc Chief-Mkwawa
3 Reactions
83 Replies
14K Views
Ni kwamba zinawekwa ferry tatu (3) tu ndefu na zenye milango mirefu ya kufunguka ambapo zinagusana mwanzo hadi mwisho na hivyo kutengeneza barabara inayoelea baharini. Na ikitokea meli inataka...
5 Reactions
53 Replies
8K Views
Roketi iliyorushwa na kampuni ya uvumbuzi wa anga za juu ya bilionea Elon Musk inakaribia kugonga ndani ya mwezi na kulipuka. Chombo kinachosaidia roketi kulipuka kwa Falcon 9 kilikwenda katika...
9 Reactions
69 Replies
5K Views
Mwaka jana mwezi wa 9 nilinunua simu ya Samsung S9+, niliachana na matumizi ya Tecno na Infinix. Baada ya muda kwa bahati mbaya simu ilianguka, na kupasuka kioo. Ilianza kunisumbua sana, hatimaye...
42 Reactions
268 Replies
38K Views
Back
Top Bottom