Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

Habari wana JR... Leo nimewasha laptop yangu ila baadhi ya vitufe(keys) vimegoma kutoa majibu kwenye screen.. Naombeni msaada ili niweze kurekebisha
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Habari za asubuhi ,hope mmeamka salama kwa wale wanaokumbwa na changamoto za hapa na pale Mungu ni mwingi wa Rehema hakika atawaponya. Moja kwa moja kwenye mada ,ipo hivi kuna ndugu alinunua simu...
1 Reactions
10 Replies
496 Views
Computer nyingi tunazonunua huwa zinatumia processor za intel au amd, lakini ni intel ambaye ametawala sana kushinda amd kwenye computer zetu. Leo nimeamua niandike uzi huu kuhusu hizi processor...
169 Reactions
3K Replies
242K Views
Kuna App muhimu mahitaji kuinstall ila hila za wazungu wamezibana Kwa device IP za Africa. Nimeingia App store ili NI download VPN Kwa ajili ya kufunguwa zile App lakini kila nikisoma review...
7 Reactions
58 Replies
9K Views
Features of GbWhatsApp: GB Whatsapp APK 2021 is designed with the tons of features, and all those features you can use on a smartphone. Following are the features of GB Whatsapp Auto Reply...
3 Reactions
10 Replies
5K Views
๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜‡๐—ฒ๐˜๐˜‚ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ผ๐—ป๐—ด๐—ผ๐˜‡๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ด๐—ผ๐—ป๐—ท๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ผ ๐—ฐ๐—ต๐—ผ๐—ผ ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ฐ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐—ผ Inawezekana kama ni jambo la kushangaza lakini ndo uwalisia!! Utafiti unaonyesha simu tunazozimiliki ni chafu kuliko hata kile kiti...
2 Reactions
6 Replies
300 Views
Habari wanajamii naombeni mwenye kufahamu jina la vpn nzuri ambayo ni free maana napata taabu sana kule mtandao X(Twitter) kwenye mijadala pale space,ahsante.
4 Reactions
6 Replies
443 Views
Habari wadau niliomba ushauri hapa simu ipi bora kati ya samsung galax a 33 au a345g. Nimenunua a345g nimegundua hizi simu za a series ni infinix iliyochangamka. Sijazoea samsung za hivi jamani...
17 Reactions
72 Replies
8K Views
Kama kuna mtu mwenye ujuzi mzuri wa kutumia accounting package kama Zoho Books naomba aje PM tuongee.
1 Reactions
4 Replies
294 Views
Are you conversant with Zoho Books accounting package? If you are good in Zoho Books accounting platform, lets chat in private message. Thank you!
0 Reactions
2 Replies
128 Views
Mwaka 2013, mwanaume mmoja aliweza kuwashtaki redbull kwa kuweka tangazo la Uongo na kumfanya wamlipe dola milioni $13 kwa kutompa mabawa. Anaitwa Benjamin Careathers aliweza kufungua kesi dhidi...
1 Reactions
0 Replies
222 Views
Habari za muda huu ,hope mko poa wale wenye changamoto za kiafya Mungu awaponye Ipo hivi kuna ndugu yangu amenunua simu mtaani Samsung A05 Ila baada ya kununua ikapita kama siku 10 mbele...
0 Reactions
3 Replies
267 Views
Dunia na maajabu yake wanasema tembea ujione nchini Uswizi (Switzerland) Kuna kanisa Moja hivi Liko kwenye mji wa luceme, wameunda AI yenye nguvu yenye kuzungumza kama Yesu kwenye jumba la...
3 Reactions
8 Replies
618 Views
Kuna mahali nimepita nikakutana na hii "Multifunctional Turntable Bluetooth Record Player with Vinyl to MP3 Converter, CD, Cassette Player, and FM Radio", bei yake 250,000/=, je is it worth it ama...
3 Reactions
25 Replies
693 Views
Inatokea Tanesco wamekata umeme kwa siku 2 Nahitaji vitu gani mfano battery au power bank,n.k. niweze kukidhi mahitaji ya umeme kwa siku 2 kwa vifaa vidogo kama Smart phone 4 zinazochajiwa mara...
0 Reactions
4 Replies
320 Views
Tumezoea katika maisha yetu tukiangalia Tv basi huduma ile tunaipata kupitia madishi, cable au antenna. siku zinavyosogea mbele na technology ndivyo inavyokuwa na ndio jinsi madish na antenna...
117 Reactions
2K Replies
379K Views
๐—”๐—ฃ๐—ฃ ๐—ฌ๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜ ๐—ž๐—จ๐—ž๐—จ๐—ง๐—”๐—•๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—” ๐—ž๐—œ๐—™๐—ข ๐—–๐—›๐—”๐—ž๐—ข Duniani Kuna mambo aisee๐Ÿ˜ณ, wazungu bhana okay kwa kuwa kazi yangu ni kuwajuza nimepita mahali nikakutana na hii app ๐Ÿฅฑ.... Kuna app Moja ambayo imeundwa...
0 Reactions
1 Replies
203 Views
Wengi tumekua tukilalamika kuhusu Vifaa tunavyotumia vingi ni feki ๐Ÿ˜, Tena ile feki pro max yani iliyopitiliza, Sasa utajuaje hii Airpods ni feki au original ? Makala hii ni yako ๐Ÿ‘‹ Ukiangalia...
2 Reactions
5 Replies
362 Views
1. Namba ya Serial na IMEI - Hatua za Kufanya: 1. Nenda kwenye Settings > General > About. 2. Tafuta Serial Number na IMEI. 3. Tembelea tovuti rasmi ya Apple...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari nilizo zipata muda huu ni kwamba. Simu hizi zitakuwa zinakamata internet moja kwa moja kwenye satellite. Hii ni habari njema sana wanasayansi ni wakombozi wa hii dunia. ========= SpaceX...
12 Reactions
37 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ