Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

JF Prefixes:

1. Dell-Marekani 2. Compaq-Marekani 3. Apple-Marekani 4. IBM-Marekani 5. HP-Marekani 6. Acer-Taiwan 7. Asus-Taiwan 8. Toshiba-Japan 9. Lenovo-China 10. Packard Bell-Netherlands 11. Samsung-Korea...
5 Reactions
56 Replies
15K Views
Tusanue apps zipi unatumia kwenye simu, Android OS au iOS Ambazo zinakurahishia kwenye nyanja tofauti. Tuambie na namna ya kuzipata. Mfano: Hii unaweza kuipata kwa kuidownload kutumia browser...
10 Reactions
36 Replies
3K Views
Wakuu habari za majukumu, ni matumaini yangu kuwa wote mu wazima wa afya. Lengo la huu uzi ni kukusanya mawazo ya mobile app ya kutengeneza. Nilikuwa naomba Kwa aliye na wazo au anaona changamoto...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamani nimeipenda hii whatsapp kuna mtu nilimuona anayo nikashindwa kumuuliza kapata vipi kama kuna mtu amewahii install hii whatsapp Gold version naomba atuwekee Link hapaa yuishushe kirahisi...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Teknolojia inakwenda Kasi sana hivi unajua unaweza chaji simu yako kwa kutumia Kadi 😂 !!! Najua una shangaa sana lakini ndo uwalisia. Kuna kitu kinaitwa chaji Kadi (chargeCard) ni chaji...
2 Reactions
6 Replies
558 Views
wakuu kwema nataka ninunue simu hizi used sasa naomba kujua maana ya maneno haya nayokuw nasikia . FULL DISPLAY SMALL DISPLAY
1 Reactions
4 Replies
215 Views
Unlimited internet ni ni internet unatumia bila kikomo, inapimwa kwa speed sio gb, speed yangu naweza kudownload file la GB 1 ndani ya dakika 6.
8 Reactions
31 Replies
2K Views
Hello JF members! Kutokana na kuwa saivi soko kuu la ajira lipo kwenye teknolojia Basi ni vizuri vijana tukachangamkia fursa ambapo sehemu pekee na yenye uhakika ambayo mtu anaweza kujiajiri na...
5 Reactions
58 Replies
5K Views
Wasalaam wakuu, Uzi huu utumike kupashana habari kuhusu epson printers, iwe ushauri, au kutatua matatizo mbalimbali ya hizi printer, basi taarifa zake zikusanyike hapa kuwasaidia watumiaji wengi...
4 Reactions
228 Replies
33K Views
Wanajamvi salaams Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza naomba kujua ubora na udhaifu wa TV za Hisense ninawaza nikanunue. Nawakaribisha pia kwa ushauri wa TV bora Natanguliza shukrani
1 Reactions
5 Replies
499 Views
Bitsoup Bitsoup is a growing favorite amongst P2P downloaders. As the trend towards private torrent sharing continues, you will need to signup and join as a member to participate in the Bitsoup...
1 Reactions
1K Replies
455K Views
Jinsi ya kufungua akaunti ya Youtube, 1. Anza kwa Jisajili kwenye akaunti ya Google (Kama hauna) Ili kuweza kuangalia maudhui ya video kwenye YouTube, kutenegeneza akaunti ya YouTube, kushare...
8 Reactions
42 Replies
5K Views
Habari, natafuta sehemu hapa Dar wanapofanya Ditect-to-Garment Printing. Nina designs zangu natamani sana ningeziprint kwenye tees (merch). Natanguliza shukrani.
1 Reactions
13 Replies
670 Views
I have viewed a certain article from a certain website in Tanzania , and I was very interested with the piece of content , unfortunately the piece of content was very short. And I would like to...
0 Reactions
0 Replies
107 Views
Wakuu humu ndani kwema. Naomba kuuliza kwa yeyote ambaye anafahamu simu nzuri ya kiswaswadu yenye uwezo wa kukaa laini tatu.
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Jinsi TikTok Inavyolipa na Kuajiri Watu TikTok imekuwa jukwaa maarufu duniani kote, sio tu kwa burudani bali pia kama chanzo cha mapato kwa watu wengi. Kwa vijana na wakubwa, TikTok inatoa fursa...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Natafuta mahali wanapo print DTG
0 Reactions
0 Replies
84 Views
Kim Kyung-Ah Kampuni ya Samsung inayojihusisha kutengeneza vifaa mbalimbali vya kieletroniki, kwa mara ya kwanza toka kuanzishwa miaka 86 iliyopita Wamemuweka mkurugenzi mtendaji mwanamke kutoka...
1 Reactions
1 Replies
289 Views
Shikamoo fundi. Kama wewe ni fundi simu utakuwa unaelewa nini nahitaji. Hapa nahitaji msaada wa kuwrite data (PAC system file (firmware. Na sio kutoa password wala ku Format. Je ni programu gani...
2 Reactions
10 Replies
837 Views
Habari wanaJukwaa! Nawapa salamu za Jumapili hii ya tarehe 20/10/2024 ambayo nayo inaanza kuyoyoma taratibu. Shida iliyonileta ni kupata website nzuri ambayo ina series na movies za Hollywood...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…