Habari za leo wakuu niko namiliki samsung yangu A02 ilipata ajali kwahiyo kwenye camera kuna ufa inaingiza uchafu mwingi sana kiasi kwamba hata picha haitoi vizuri nataka kubadili Camera
Je...
Souce: AfroIT.com
Katika miaka ya themanini hadi mwanzo wa miaka ya tisini kitu kinachoitwa Kompyuta kilikuwa ni anasa.Hapa usiongelee Internet.Katika miaka hiyo matumizi ya Internet yalikuwa...
Habari ndugu zangu wana JF. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza...mwenye ujuzi huo tuwasiliane kwa no. 0627929637
NB: Ni yale ya kielektroniki yanayokaa juu mbele ya gari kwenye kioo.
'Back up' ni hatua muhimu ya #UlinziWaData kwani humsaidia Mhusika kutunza taarifa zake muhimu ili akipoteza kifaa chake au kikiharibika aweze kuzipata taarifa hizo
Kuna majukwaa mengi yanayotoa...
Nimenunua flash disc 32 gb nimeweka game
Cha ajabu ni kwamba kila nilihitaji kucheza hizo game hazisomi nikienda kwenye zile file nayaona nikiselect inasema "This isn't Efl"
Ni ipi solution ya...
Wazee wenzangu nahitaji msaada wenu kuna kitu naandaa ni kama documentary fulani, ila ili nifanye kitu cha uhakika na niwe na haki nacho itabidi nipate video halisi na si hizi za kupakua YouTube...
Wakuu naomba kujua ni app gani ya kudukua mawasiliano. Kuna mtu nimemwonya aache kumfuatilia huyo mtu wake atazimia bure,hataki nielewa.Anataka jua texts za kawaida, WhatsApp.
Pinephone ni Moja ya simu ambayo hutumia mfumo endeshi wa Linux , simu hii hutengenezwa na kampuni ya pine64 huko Poland
Kwa wale watu ambao wanapenda uhuru katika matumizi ya simu janja, basi...
Natumai wote mko powa.
Hakuna kitu nilikua nasubiri kwa hamu kama maboresho ya toleo la android 9 lililo kwenye simu yangu ya vivo Y11(1906).
Hii simu niliipenda na kila kasoro za kwenye masimu...
Wakuu naomba ushauri ipi simu nzuri zaidi kati ya hizo, kwa kuwa nipo kwenye mpango wa kununua simu yenye specifications nzuri
High processing power
Ram at least 4gb or 6gb
Memory at least...
Habari poleni na majukumu ya kazi katika kutafuta mkate wetu wa kila siku.
Naenda straight to the point nimekuwa nikijifunza mtandaoni hususani education platforms Kama udemy,skillshare na...
Taarifa binafsi ni taarifa zozote zinazohusiana na Mtu na ambazo zinaweza kumtambulisha Mmiliki wa taarifa hizo. Hizi ni taarifa ambazo Mtu anapaswa kuwa makini katika Matumizi yake ili kuepuka...
Mwenye kujua simu ya Oppo f11 nikitaka kurecord call nafanyaje. Kwa simu zingine ukitaka kurecord oncoming na outgoing calls unapaona kwenye keyboard.
Oppo f11 hapaonekani. Help pls
Apple iPhone 12 Pro review (pocket-lint.com)
Quick verdict
The iPhone 12 Pro does all it can to warrant that Pro label. The screen is stunning, the camera capability professional...
Habari za muda huu simu yangu inakataa kubonyezeka hayo maandishi ya kuupdate ili nipate ios ya 14.7.1 nimesha connect na WI-FI. halafu kingine hizo mb 900 naona kama ndogo maana mm naios ya 14.6...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.