Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habarini wana familia........nimekuja kwenu ili muweze kunisaidia mawili matatu kuhusu mifumo amabayo inakua na sehem ya malipo mfano system za chuo ukishafanya malipo system inaonyesha kua tayar...
0 Reactions
4 Replies
669 Views
Calculator ya iOS nilikuwa nalaumu sana kuwa ina functionalities ndogo kama za primary haionyeshi equation. Nilikuwa silizishwi nayo iko kubwa na haina hata sehem za marekebisho yaani namaanisha...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Je umekuwa ukihangaika ulinde vipi simu yako kuepuka wezi wanaokata madirisha usiku wakati umelala. Pengine hukujua tu lakini play store zipo apps nyingi za anti theft. App hizi zinatofautiana...
6 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wadau, nadhani mtakua poa mkiendelea na majukumu ya kulijenga taifa. Kama kicha cha mada kinavyosema nahitaji kununua akaunti ya play store console ila tatizo ni master card...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Mwenye anajua website ambayo nitaweza kujifunza na kuielewa hii software naomba anisaidie nataka sana niijue kiundani
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu habari leo nimekatwa pesa AppStore pasipo kutaka ,wataalam wa iPhone nawezaje kuirudisha pesa hii 33 USD app yenyewe niliyolipia pasipo kutaka hiyo hapo
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hello waungwana kama kichwa cha uzi kisemavyo msaada tafadhari ningependa kujua ni njia zipi naweza kuzitumia ili niweze kujilinda na udukuzi. Iwe kwa njia iliyobora zaidi,iwe online au offline na...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Kama nilivyoeleza hapo juu simu yangu Aina ya Tecno park 5 Ina tatizo la kutopokea chaji ikiwa imewashwa takriban wiki Sasa. Njia pekee ninayotumia kwa Sasa Ni kuizima tu kila ninapohitaji...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hadi muda huu sijajua ni sababu gani hasa kwa hawa watengeneza simu kushindwa kutuwekea sehemu ya kuweka line nzima ya simu hadi tuikate. Yaani pamoja na kututengenezea simu kubwa,Tablet nk...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Hello Wana GT. Naombeni ushauri wenu , Nahitaji kununua smart TV ,4k Ni ipi kati ya hizi mbili nichukue ipi please. TLC NA EVVOLI ,55"ASANTENI MUWE NA SIKU NJEMA. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
20 Replies
8K Views
Wakuu Salam, Leo rafiki yangu alikosea wakati ananua salio kutoka Tigo Pesa badala ya kuandika 10,000/= akaandika 100,000/= Bila shaka jambo hili linatokea wengi. Hivi kwanini inawezekana kutoa...
1 Reactions
30 Replies
10K Views
Nimebonyeza *35*0000# nikipigiwa simu anayenipigia anajibiwa simu yangu imezuiliwa kwa mda, ila mimi nikipiga simu ninaowapigia nawapata Nifanyaje ili tatizo hili la kutopatikana kwa wanaonipigia...
0 Reactions
44 Replies
33K Views
Kampuni ya Apple imesema mipango ya Teknolojia yake ya kukagua picha zenye maudhui ya unyanyasaji wa kingono kwa Watoto kwa Watumiaji wa simu za iPhone imesogezwa mbele Hatua hiyo imekuja...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu wana Jf Nahitaji msaada wenu jinsi ya kuunganisha Smart tv na Simu, yaani ninachokifanya au ninachoangalia kwenye simu kionekane kwenye Tv (Mirrow view). Simu yangu haina Screen cast or...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Tatizo li wapi maana taaluma ni ile ile lakini miaka yote hii hatuna watu kama kina gates & steven jobs
4 Reactions
66 Replies
5K Views
Kujua coding
0 Reactions
0 Replies
645 Views
Habari za muda huu wapendwa ? King'amuzi cha canal + ni moja ya king'amuzi kinachopendwa sana na wafanyabiashara wanaoonesha mpira kwa kuwa gharama zake ni nafuu na pia njia ya malipo ni ya...
2 Reactions
9 Replies
4K Views
Samsung sijui wanakwama wap. Mi huwa natumia hii brand tu. Lakin kwanini upande wa internet huwa hairespond haraka had kuzidiwa na tecno wakat ina ram kubwa? Browser natumia samsung. Kwa sasa...
5 Reactions
131 Replies
12K Views
Mtandao wa WhatsApp umetakiwa kulipa Euro Milioni 225 kwa kuvunja Sheria ya Ulinzi wa Data Binafsi ya Umoja wa Ulaya (EU) kwa kutowaambia Watumiaji wake jinsi inavyotumia Taarifa zao Tume ya...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu nilikua naombeni ushauri nina PC nilitaka ku update kwenda window 11 tatizo ni storage ina ssd gb 30 na HDDgb 500 je naweza ifanya HDD kuwa ya window na vip faida zake na hasara za kuachana...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom