Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Samahani naombeni msaada Kwa wataalam kuna Samsung note 4 Haina network inaandika network not registered je naweza tatua hili tatizo Kwa njia zip
0 Reactions
0 Replies
806 Views
kampuni ya apple ina kawaida kutoa matoleo yake kulingana na wakati. ila mpaka sasa wavujishaji habari kusema baada iphone 11 kwenda 12 harakana.wanaona kuwa kutakuja na iphone 13 ila mambo...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuna ndg anaomba msaada anasema simu yake usiku kuamkia asubuhi haionyeshi kitu kioo kipo black ila txt na phone calls anaziskia lakin simu ndio haidisplay kitu chochote. Warranty haipo anahitaji...
1 Reactions
20 Replies
5K Views
Simu yangu Infinix smart 5 ukipiga au kupigiwa wakati wa kuongea haitoi sauti mpaka uweke loud speaker Mwenye kujua jinsi ya kutatua msaada tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari wakuu, nimejaza online loss report kwa ajili ya laini ya simu nimefanya malipo baada ya kutumiwa control number kila nikiingia sehemu ya kuangalia taarifa yako ili nipate kupakua ile loss...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habarini wana jukwaa, ni matumaini yangu kuwa wengi wetu tu wazima wa afya. Na ni wape pole wale wote walio wagonjwa pengine wapo kitandani au mahala pengine, basi Mungu awaponye na warudi katika...
5 Reactions
26 Replies
5K Views
Binafsi huwa natumia RescueTime: Fully Automated Time Tracking Software Inanisaidia sana kuhakikisha sipotezi masaa kwa siku, maana mara nyingi nafanyia kazi nyumbani, na vishawishi huwa vipo...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau habari,nina wazo la kupiga mihela lakini sijui kutengeneza application pia kama ni kushirikiana na wataalamu wa IT sawa tu. Nataka kujua nianzeje,gharama zake,hatua mbalimbali nk...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Watalaam wangu wa jf nawakubali Sana msingi wa mambo yote huwa napenda kujua hapa ndani.In short me Kuna kazi ya kuajiriwa nimepata allhamdullah Ni kutoka Serikali kuu.kwa kuwa nina vitu vyote...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Salaam wakuu. Kama kuna web developer mwenye experience na blockchain technology naomba tuwasiliane. Nina project naianza kwenye Ethereum blockchain nahitaji partne atakayetengeneza website. We...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wanabodi habari, naomba kufahamishwa namna ya kuset blog ads banner katika mfumo wa responsive maana Kila nikiweka kwenye simu muonekano wake unakuwa mbaya ..ni code Gani nafaa kuweka..!? Pia...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Hawa jamaa nasikiaga vingamuzi vyao haulipi na wana free channel karibia 20 hivi Watumiaji wa hivi vitu mtupe muongozo wasaalam
0 Reactions
14 Replies
938 Views
Habari wana JamiiForums, Bila ya kupoteza muda niende kwenye mada husika napenda tubadilishane mawazo kuhusu dubwasha hili kubwa ambalo linasemekana ni 90% ya internet duniani DARK WEB. Je...
10 Reactions
101 Replies
22K Views
Nina sacket zangu za kutoka kwenye fuso super great ambazo zimeungua na kusababisha gari kukosa nguvu Naitaji msaada kama mtu anaweza kuzifix au kuzifanyia utundu wowote mpaka ziwe okay
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nina simu ndogo (batani) aina ya ITEL inaonyesha chaji inaingia wakata haijawa connected. Nawezaje tatua tatizo hilo? Msaada tafadhali!
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Naomba kujuzwa bei za simu zifuatazo madukani: Samsung j7pro, samsung c9pro, samsung a9pro, samsung s8plus.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nina simu ndogo (batani) aina ya ITEL inaonyesha chaji inaingia wakata haijawa connected. Nawezaje tatua tatizo hilo? Msaada tafadhali!
0 Reactions
1 Replies
936 Views
Habari, Nina mwanangu ana mwaka na miezi kadhaa huwa anslilia simu yangu naombeni elimu ya kutanya ili asifute vitu vyangu mule maana ye anagusa popote tu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jaman mwenye ufahamu anisaidie. Pc yangu Dell inspiration inatatizo la kufungua kitu ambacho haujafungua. Yaani ukiwa unafungua hiki kinafunguka kingine out of my intention. Nimejaribu kupiga...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naombeni msaada wenu laptop yangu ni Lenovo X240 ilikuwa nzima tu sasa nimeenda kuichaji baada ya muda nikajaribu kuiwasha ikagoma kuwaka Unfortunately sina uzoefu nayo sana so nashindwa kujua la...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom