Wataalam habari zenu. Naomba msaada wenu kama itawapendeza.
Bila kufahamu nilifanya updates ya window 10 na kujikuta tayari imekuwa window 10 pro na sasa inaomba nifanye change of key.
All...
Iko hivi wadau niliweka oda alie wiki ilopita ni oda ya simu ya simu toka kwa seller MI POCO, akaship mzigo kesho yake ila cha ajabu jana tar 11 na angalia nakuta mzigo umearrive destination...
Naombeni ushauri wataalamu... nina machaguo mawili nataka kununua Lg x boom sound system ya watts 950 au Lg home theatre ya watts 1000 kati ya option hizo mbili mnanishauri nichukuwe ipi kwa...
Wakuu naomba Kujuzwa namna ya kuifanya Video isio na muonekano mzurii basi nikaweza kuiongezea muonekano ukawa poaa.
I mean kuongeza Pixel pasi na shakaa
Sent from my SM-A125F using JamiiForums...
Heshima kwenu wakuu,
Nimejaribu kutafuta post ya kuelezea hii kitubila kwa bahati mbaya sijaipata, kwahiyo nami kwa kutumia kile nilichopata nimeona si mbaya nikashare nanyi jinsi gani unaweza...
Habari wakuu,
Mimi ni fundi ninayeanza(beginner) wa vifaa mbalmbal vya umeme hususa Ni cm sasa nimekutana na changamoto wakat nafungua monitor iliyoingiliwa maji ghafla ile mikanda inayoshika...
Inductor ni kifaa cha umeme ambacho kinahusisha mikunjo ya waya ambayo inajaribu kutumia faida iliyopo ya uhusiano uliyopo kati ya sumaku na umeme
Hii hutokana na matokeo yanayosababishwa kupita...
Habari za muda jamani,
Samahani kwa usumbufu. kuna email imeingia kwenye simu yangu, ni mtu amenitumia file limeandikwa contact.vcf, nimejaribu kulifungua hilo file naambiwa finished importing...
Wakuu nahitaji pc ila mm sio mzoefu sana wa pc naomba kwa wajuvi mpite hapa mnipe ushauri aina gani nzuri.
Bajeti: 500k
Ram: 8Gb
Core: i5
Iwe na graphic card
Hivo tu ndo navofahamu kwenye pc...
Natumia. Samsung Galaxy Tab P1000 kwa muda sasa,mara nyingi na line ya airtel. Leo nilitoa line mara moja na kuweka si
mu chaji. Niliporudishia line ndo msala ukaanza. Ikaandika ENTER SIM NETWORK...
Mbabe kaingia Tanzania #mi11ulra mwenye zooming 120X ni hatari balaaa anaweza kukaa ndani ya majai dakika zaidi ya 20.Leteni simu zenu kina naniii tupambanishe
Sifa zake
𝙿𝚁𝙾𝙲𝙴𝚂𝚂𝙾𝚁 :
𝚂𝚗𝚊𝚙𝚍𝚛𝚊𝚐𝚘𝚗...
Habari zenu wakuu hii pc yangu kuna inaingiza chaji inaenza kaa hata muda mrefu alfu badae ikaandika not charging Kama leo ni siku ya pili inanigomea kuingiza chaji wakuu msaada tafadhari.
Napia...
Heshima kwenu wadau.
Naomba kueleweshwa hiko kitu hapo juu je, kuna app inayoweza kutumika kwenye simu ikawa kama projector kwa kuangalia picha kwenye ukuta wakuu?
Kama kuna anayefahamu naomba...
Naombeni msaada ndugu zangu,natumia samsung s6 edge plus,tatizo nililo nalo ni wakati wa kirekodi video huwa natamani audio iwe ina play lakini matokeo yake nikiplay audio Nikigusa video record...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.