Habari za muda huu ndugu zangu mimi ni mwanafunzi wa chuo na kwasasa chuo tumefunga kwa muda wa miezi kama miwili katika pita zangu nikakutana hizi mambo natamani nijifunze skills kama 3 au 4 kwa...
Habari wanaJF,
Nitangulize shukrani kwenu wana JamiiForums nimekuwa muuliza mkubwa kidogo coz nahitaji ufahamu
Nilikuwa nahitaji kujuzwa ufanyaji wa kazi wa "Proccesor" katika "Computer" haswa...
Wakuu GBWhatsapp baada ya kuiupdate kwenda current version imekuja na matangazo yasiyoeleweka. Msaada wenu wenu njinsi ya kuondoa hivi vimatangazo maana nimejaribu kuondoa kamoja ila kakahamia juu...
Nipo katika safari ndefu ya kujifunza computer programming.Sasa hivi ninajifunza Fortran na c++.Fortran ni kifupi cha Formula Translation. Fortran ni language ambayo ni very powerful na...
Mambo vip wakuu, nimekuwa nikifanya monetization kwa kutumia Facebook Audience Networks for a years baada ya kuwakimbia Google Admob, ila hizi Ishu za bidding zimenirudisha tena kwenye Google...
Niaje wana Tech..
Kama miezi minne iliyopita nilikutana na hii Javascript Library
Inertiajs
Kidogo ni mpya, ila nikajaribu kuitumia kwa sababu kuu zifatazo
Nilikua na upgrade Projects zangu...
Tafadhali Jamani
Simi yangu Ya Infinix smart 5 ukipiga au kupigiwa wakati wa kuongea haitoi sauti mpaka uweke loud speaker
Mwenye kujua jinsi ya kutatua msaada tafadhali
Kwemaa.
Kitambo huku sijafika.
Wengi najua mnatumia Rufus na tools nyingine kuandaa USB bootable kwa ajili ya windows installation na OS nyinginezo.
Kuna wale wanapata usumbufu kutengeneza...
Habari za mida hii wakuu?....
Kama jina la thread linavyojieleza hapo juu, ningependa moja kwa moja niende kwenye mada husika hasa iliyopelekea hadi mimi kuanzisha hii thread.
Nina mdogo wangu...
Mamlaka ya Kudhibiti Michezo ya Video Nchini humo imesema Wachezaji wa Mitandaoni wenye umri chini ya miaka 18 wataruhusiwa kucheza kwa saa moja siku za Ijumaa, Wikiendi na Mapumziko
Kumekuwepo...
Habari za muda huu wana JF, ngoja niende kwenye maada baada ya leo hii kuwa na event ya window 11 nilizania wataachia leo hii official ili tutumie ila niliposikia kuwa. Mpaka mwakani 2022 mwanzoni...
Habarini wapendwa kama kichwa kilivyo jieleza ni mwaka Sasa tangu nitumie playstore Kama ninaishi marekani yaani nilichange location Sasa nashangazwa na Bei za apps katika ya TSH na USD. Tanzania...
Inatokea unakutana na posti ya maana tu tena kwenye page ya Mtu wa heshima, ila unapoenda upande wa comment unakutana na comment isiyohusiana kabisa na kilichopostiwa na mbaya zaidi ni comment ya...
Kampuni ya Vifaa vya Kielektroniki ya Samsung imesema imezifungia runinga za kisasa (Smart TV) ambazo ziliibwa kufuatia ghasia zilizotokea baada ya aliyekuwa Rais wa Nchi hiyo, Jacob Zuma...
Habari wakuu kuna SAA moja nimeitafuta Sana online hasa AliExpress lakini sijaipata.
Je?
Wapi naweza ipata hasa Kwa wauzaji wa maduka dar es salaam?
Kwa wale wenzangu wa online mnaweza nisaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.