Anayejua jinsi taa ya karabai inavyofanya kazi atupe maujuzi
mafuta ya taa kwenye mtungi yanakuwa na Pressure (Mgandamizo mkubwa sana); pale yanapotoka panakuwa na upenyo mdogo sana , na kabla...
Naomba mwenye android tablet ambayo angalau ina sifa hizi aniuzie;
1. storage angalau 16 gb
2.ram angalau 3 au2 gb
3. processor atleast 2GHz
4. mtandao hata iwe na wifi tu
5. isiwe ya tecno
6.iwe...
Bila shaka mu wazima wa afya njema.kama kichwa kinavojieleza hapo juu.
Nina kama mwezi mmoja hivi nimesajili line ya ttcl lakini cha ajabu, nikiwa nabadikisha line kutoka sim moja kwenda simu...
Wakuu msaada plz
Ktk harakati za maisha nakaona nijiingize kwenye udereva mtandaoni nimefungua akaunti kadhaa za kampuni mbalimbali tatizo lipo kwenye kampuni ya uber nime upload document zote...
Heshima kwenu wakuu.
Nina TV aina ya Boss iliacha kuonesha picha ghafla huku sauti ikiwa inatoka kama kawaida.
Tatizo linaweza kuwa limesababishwa na nini wakuu?
Udukuzi wa fedha za kidigitali watokea nchi Japan.
Kiasi cha Tsh billion 232 zadukuliwa huu ni udukuzi
wa pili mkubwa kutokea ambapo wadukuzi walifanikiwa kuingia kwenye system hio ya kampuni ya...
Nilikuwa nacheki hizi movie zinazohusiana na makanpuni ya tech yalivyoanza
Kuna hii The social network, hii inahusu jinsi facebook ilivyoanza. Inaonekana Mark alipewa hela na jamaa fulani...
Kumekuwa na malalamiko mengi juu ya kukosekana kwa API bora ya malipo Tanzania.
Piga kura yako hapa na uache maelezo ambayo ungependa mamlaka husika zifanyie kazi.
Pamoja nu kuelezea mambo...
Habari ya mchana,
Kwa wana it wote lakini kwa upande wakutengeneza mambo haya
Mobile Application
Desktop Application
Website
Kama umewahi kutana na changamoto ya kazi kushindikana kwa vitu hivyo...
Habari zenu wana Jf, Husika na kichwa cha uzi hapo juu naomba mwenye link ya Game la Euro bus Simulator 2 anisaidie au kunielekeza namna la kulidownload free.
Nawasilisha.
Habari za majukumu? Naomba msaada ili niweze kuendelea kutumia Microsoft Office. Nikifungua office yoyote naambiwa niingize office product key, hizi product key ninazitoa wapi na hili tatizo...
Jamani wadau nisaidie kuchagua ninunue simu ipi yenye camera ilio nzuri na yenye network kubwa 4G. Nisaidie tafadhali mfano kama ni Samsung ni ipi aina gani?
Naombeni msaada
Nimesetup studio ya kurecord voice over nyumbani chumbani.
Nina mic ya behringer b1, audio onterface ya behringer um2.
Shida ninaishi karibu na barabara kuna kelele ya magari na boda boda. Na...
Mnalionaje hili?
kuna mtu alimfata Developer akamwambia kuwa ana idea waitengenezee software, Developer akamwuliza tafiti uliyofanya iko wapi?
MDAU AKABAKI ANANG'AANG'AAA MACHO TU BAADA YA MUDA...
Natumaini siku inaenda sawa kabisa upande wenu.
Ndugu, Wajuzi wa Mambo naombeni utatuzi wa PC yangu aina ya dell.
Ghafla imepata tatizo la kushindwa kudisplay kama ilivyo kawaida na kuanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.