Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari ya majukumu wadau. Kama ambavyo title inajieleza, Laptop yangu imegoma kuwaka na taa ya charge ina blink throughout. Nimejaribu kutoa battery na kuunganisha charge moja kwa moja lakini...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwema wakuu. Naombeni msaada computer yangu ,Ilizima ghafla Jana wakati ninaangalia movie . Nikichomeka Kwenye socket plug ..inawaka button ya Turn on/off Ila system haipokei power ...fan...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Poleni na majukumu Nimeiwasha tv wakati naamka nikaona inaonesha mwanga kwa mbali sana kwenye kioo na maneno ya kampuni ya tv yanasomeka kwa mbali tatizo ni nini? Tv aina ya Homebase ina miaka...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari wanajamii forums wenzangu hususani wa jukwaa hili la technologia!! Shida niloyonayo ni kushindwa kupata drivers za laptop aina ya Dell vostro 14 3000. Nimejaribu kuangalia ktk driver pack...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana JF... nina simu smart Nokia 1 nikiweka mfuko wa suruali inajibonyeza yenyewe muda mwingine inampigia mtu au inaandika matusi. Tatizo nini, msaada tafadhli nokia made in china
5 Reactions
18 Replies
5K Views
Kingamuzi kimeisha leo nimewasha TV imeniandikia hivi kila nikiselect hainiletei matokeo naombeni msaada wakuu Ni dstv Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
4 Replies
905 Views
Waungwana naombeni msaada tutani. Nilikuwa natumia Torch broswer kushusha nyimbo na movies, sasa naona kwenye local internet yangu imepigwa burn. Naombeni mwenye kujua altenative ya hii kitu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tv yangu inaweka rangi nyeusi kwa pembeni kama inavyooneka kwenye picha itakuwa na tatizo gani? Mwenye kujua naomba anisaidie
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Wadau kwema, naombeni kujuzwa ni App gani nzuri unaweza download movies/Videos YouTube?
0 Reactions
21 Replies
7K Views
NISAIDIENI JINSI YA KUZIPATA TENA NIFANYANYAJE.DRIVERS ZENYEWE ZIMEANDIKWA 1.Mass Storage Controlers 2.Network Controller 3.SM Bus Controller 4.Unkown Device
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu habar za weekend.Naomba kujua ni aina gani ya APP itanisaidia kucheza games.Maana nikidowload Game haionekan hata kwenye sim ila inaonekana nmeinstall tu ila sioni ilipo. Pia naomba kujua...
0 Reactions
6 Replies
977 Views
Habari zenu wadau, Nina tatizo katika vifaa vyangu vya umeme (woofer na desktop), vifaa hivi vikiguswa vinachapa mtu shoti pale vinapofanya kazi. Mwenye ujuzi wa umeme anisaidie tatizo linaweza...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Wakuu msaada kwa anaeweza kunisaidia maujanja ya ya ku unlock router hii ili niweze kutumia line zote, msaada wana teknolojia tafadhali
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za muda huu leo nilikuwa najiuliza kwanini pc yangu haipate update ya window 11 ingali vigezo vyote vinavyo kama TPM 2 generation ya 8 RAM 8 na kila kitu sasa ikanibidi nichunguze zaidi...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Habari wakuu Nimefungua goli fulani, frame ina ukubwa wa 3.5m kwa 4m (ukubwa wa fremu za maduka zilizopo mtaani). Sasa nakata kuweka CCTV Camera kwa ajili ya kufuatilia kinachondelea maana...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Yaani namna kuweka bidhaa mfano umeingiza chupa za maji 20 zikitoka chupa mbili iwe ina onyesha automatiki bei ya mebaki mangapi jumla ya pesa ya kuuzia na kujumlishia atakama mtu akiwa ana kuuzia...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za majukumu wadau. Ndgu yenu simu yangu hii napata mkanganyiko kutumia wi-fi. Naomba mnijuze nifanye utundu gani niwe najiunga aisee, sometimes hata mtu akiniwashia hotspot basi mpaka...
2 Reactions
3 Replies
899 Views
Ni kama vile kampuni ya Samsung inaenda kushindwa kwenye upande WA high end phones. Toleo la galax S21 limefanya vibaya sana kipindi kwani simu milioni 54 walizouza Kwa mwaka huu nyingi ni zile...
1 Reactions
38 Replies
7K Views
Wadau wengi wamekua wakizipondea chipset tajwa hapo juu, sasa mi ni mgeni wa haya mambo ningeomba wadau wanisaidie kubainisha matatizo ya hiz chip.
0 Reactions
51 Replies
7K Views
Back
Top Bottom