Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari za usiku huu ndugu wanatech ,gadgets mimi naomba eneo liwe chuo au mahali ambapo nitasoma kozi fupi ya computer kwa muda wa miezi mitatu ,miezi sita au mwaka kwa Sasa naishi Tabata Asanteni
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana JF, Natumaini mu wazima wa afya tele. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, nawaombeni wanye kujua hatua zipi natakiwa kuzifuata ili kuweza kuunganisha ofisi zaidi ya moja kwa...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Nilokuwa na pitia YouTube kuna channel kadhaa raia wa nchi zingine wanalalamika kuhusiana na kodi ambayo Marekani imepitisha ya 30% kwakuwa YouTube ni kampuni ya "kimarekani". hivyo basi kuqnzia...
4 Reactions
47 Replies
5K Views
Nilitumia adobe acrobat reader kwa muda siku walizonipa baada ya installation, sasa siwezi kuitumia tena kwakuwa muda wake umeisha, je kuna namna yeyote naweza kutumia ili niactivate niweze kutumia?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naamini kuwa hizi ni ngumu kudadavua pia kwani lazima niwe na sim card ya local provider? Ninavyofaham ni kuwa lazima u register na TCRA ukinunua na kuwa nayo Je zipi mzuri kati ya Iradium...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Naombnifahamu bei halisi ya camera hii
3 Reactions
19 Replies
6K Views
Nina TV yangu Hisence LED. Nataka niipe uwezo wa kuwa smart TV. Interest yangu ni kuwa niweze 1. Kuaccess Netflix 2. Kuaccess youtube na kustream huko 3. Kuaccess football streaming applications...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa wale wataalamu wa masuala ya computer networking. Swala langu liko hivi, natumia wireless router inayotumia line ya simu kuunganisha na simu yangu kwa ajili ya kupata mtandao lakini kitu...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
https://www.bbc.com/news/science-environment-55564448
0 Reactions
3 Replies
723 Views
Habari zenu wakuu wa mambo! Ninahitaji kumiliki tovuti kwa ajili ya biashara, Naomba mnisaidie ni tovuti zipi za Ulaya na America zenye muonekano mzuri lakini hata Languages zilizotumiwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwanini bado mnatumia C++ kwenye hii course? Naona bado na ninyi mnakuwa wazembe au labda vyuo husika vinawaforce kufanya hivyo, labda nipate maelekezo kidogo hapa. Maana naona PYTHON ndo imejaa...
4 Reactions
57 Replies
7K Views
Nahitaji mtu wa kunisaidia kupata unlock code za vodafone r207-z (ZTE MF65).
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa kifupi ndo kama hivo. Kifuatacho ni US kuwapiga ban Xiaomi maana ndio kitu pekee wanakiweza...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Hakuna anayependa mawasiliano yake yaingiliwe au kutumiwa mtu mwingine bila ridhaa. piga *#61# kisha ok , kwa mtandao wako wasimu kuhakikiki. ukiona call au text fowarding iondoe kwa kupiga...
4 Reactions
0 Replies
5K Views
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza naomba mnipe muongozo mzuri. Natarajia kununua simu kwa mtu kwa shilingi 280000 ni nzuri ila wasiwasi wangu ni ku risk pesa afu mwisho wa siku ikaniletea...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wajuzi naomba kufahamu tatizo na gharama ya matengenezo. Simu ya wife sumsang galaxy J4 jana mtoto ameaiangusha wakati anampelekea wakati inaita, sasa ninajukumu la kwenda kuirekebisha kama...
0 Reactions
6 Replies
833 Views
Duuh Njmesikia mpango wa serikali sins uhakika ila nimesikia tu! Eti bloggers na youtubers watalipa million1 kama ada ya miaka 3 baada ya hapo watalipia tena Kwahiyo kila baada ya miaka 3 tutakua...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nina project yangu ambayo natarajia kuianza January 2021. Katika project hiyo nitataka wateja waweze kunilipa kupitia TIGOPESA, MPESA NA AIRTELMONEY online. Yaani anaweka namba yake na password...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Simu yangu ni Infinix Hot9 Play X680. Line ni Voda 4G. Inasoma mwisho 3G tu hata nikiwa mazingira yenye network yenye uwezo wa H+. Nimepitia settings zote muhimu sijagundua tatizo. Naombeni msaada...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wanaJF. kwa yeyote mwenye uelewa ukisahau password ya CCTV anisaidie.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom