Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habali za mda huu wapendwa, nina desktop computer na Jana nlijalibu kuirestart. Baada ya kuzima na kuwaka Tena haikuleta chochote Ila ujumbe uliojiandikisha juu ukisomeka "BOOTMGR missing, press...
0 Reactions
7 Replies
785 Views
Wakuu nisaidieni kuelewa kuhusu hili Kuna emergency hela inatakiwa haraka sana, Natuma Halo Pesa kiusahihi kabisa bila kukosea halafu hela haifiki ilikotumwa na kwenye acc hela imetoka Unapiga...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamani habari Naomba kusaidiwa nin infinix hot 8, nikipigiwa haiiti, caller anaambiwa simu iko busy, Mimi nakuta missed call you. Naombeni msaada. Asanteni.
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Mimi natumia mtandao wa voda lakin tatizo linalonisibu no kwamba napowasha data ili niingie mtandaon MB zinaenda fasta sana hata Kama niko wasap kuangalia comment za wadau MB zinaenda sana please...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Nimesikia kutoka kwa mdau mmoja nimefurahi sana, kwa kuwa C++ imeliwa kichwa yafaa kwa mwaka wa kwanza na course zingine sio AI. HONGERENI WALIMU WOTE MLIO SHIFT TO PY...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu msaada wenu hapa. Nina laptop yangu niliiacha kama miezi nane bila kuitumia baada ya kununua nyingine, sasa leo nimeiwasha ikawa ianawasha tuu taa zake na kuzima, pia haileti hata mwanga...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakuu yoyote mwenye review ya sumsung series 5 n5000 anijuze, ningependa kujua kuhusu ubora wa picha, durability!
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Salamu sana kwenu JF experts na sisi wengine ma newbies. Najichanga bajeti alau niwe na around 350k hivi. Kwa sasa imebakia kidogo tu ili itimie hiyo bajeti. UHITAJI ni kwamba napenda kujifunza...
5 Reactions
30 Replies
6K Views
Kuna jamaa yangu ananishawishi namu ninunue anadai zinakaa sana na charge na best Camera. 48 mega pixers 4GB Ram Memory 64 GB Battery yake 5000 Mah Bei tsh 380,000 wadau wa simu tushauriane...
9 Reactions
94 Replies
9K Views
Habari wana JF, Naombeni ushauri nataka kununua laptop kwa ajili ya graphic designing. Je, ninunue laptop ipi? Naomba ushauri wa brand na aina. Mkifanya description kubwa mtanichanganya. Mfano...
2 Reactions
31 Replies
9K Views
Hizi simu ni nzuri lakini cha kushangaza hazipatikani Tanzania kwa urahisi, tofauti na majirani zetu Kenya. Tatizo ni nini? Maana kwa jinsi zilizvyo adimu ukizikuta kwenye maduka machache ya...
6 Reactions
139 Replies
14K Views
Habari za muda wakuu, Nina Xiaomi redmi a8 imeanza kuniletea shida toka jana. Kuna muda inakuwa ina staki kama sec 5 hivi au inakuwa nzito ku touch. Haina shida yoyote kwenye kioo. Naomba...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuchagua simu haswa hizi za smartphone ambazo zinakaa na chaji muda mrefu yaweza kua mtihani mkubwa kwa watumiaji wa simu, wengi wamekua wakilalamika sana chaji lakini ujio wa power banks...
9 Reactions
281 Replies
58K Views
Samahani, mwenye uelewa na hii feature anisaidie jinsi ya kuset data plan
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba mrejesho kwa ambaye ameshatumia decoder mpya za antenna za azam. Nahitaji mrejesho hasa upande wa muonekano wa picha,radio stations, kukwama kwa picha wkt wa mvua na upepo. NB. Ni kwa...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Nina Mkanda wa video ile mikubwa ya kizaman VHD kama sijakosea sasa nataka kuhamisha kilichomo ktk Cd au FLASH...Wapi wana utaalam huo?
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Msaada jamvini wakuu. Nimenunua simu second hand ya korea ni nzuri sana, ila kasoro yake nikiweka line ya halotel au ttcl haiungi internet, vodacom ndio imekubali. Nifanyeje ili ikubali zote?
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Natafuta king'amuzi cha Startimes cha zamani, kisichotumika ili nipate spare! Hapa Dar, Angalia picha
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wataalam wa it naomba msaada. Nimetumiwa simu mpya (Samsung)na rafiki yangu aliyeko Pretoria. Huyu bidada kanunua hizi simu mbili kwa mtu tu mtaani. Ila katika maelezo yake nikagundua jambo...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari wakuu napenda mnijuze kuhusu hili Natumia laini yangu ya voda ****377457 Nataka nipate laini ya halotel ****377457 Namaanisha special number. ningependa kufahamu huduma hii ipo kwa...
5 Reactions
14 Replies
4K Views
Back
Top Bottom