Wakuu Kwema?
Kuna TV funa nakaribia kuipata, mazingira yenyewe ni kua naipata TV tupu, sasa nimeicheki nimeiona kwenye Pots zake kuna One Connect, USB na Internet tu. Huu wa ONE CONNECT ndi...
Wakuu kuna jamaa yangu Iphone 7 yake ameiflash sababu alikua amesahau apple ID after flashing imeanza kumsumbua akienda kwenye baadhi ya apps mfano WhatsApp,sms akitaka kutype kitu ina restart...
Ninataka kufungu satellite dish mwenyewe. Ni la kampuni ya Zuku. Ninaomba muongozo nilielekezee upande gani ili nipate signal na pia step by step jinsi ya kusearch chaneli
Habari ya siku wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza, natafuta high quality DAC (Digital to Analog Converter) kwa hapa Tz mkoa wowote. Yaweza kuwa mpya au used.
Kimsingi iwe na output...
Samahani kama kichwa cha habari hakijatulia.Naomba mwongozo wa nini kifanyike au nimshauri rafiki yangu whatspp namba yake ime be hacked na aliyemhak sasa ana access magroup yote ambayo jamaa yupo...
Jamani habarini wapendwa ni hivi juzi Kati hapo nilinunua multimeter aina ya siltron DT 9205A Sasa ninapashida wakati wakupima kiasi cha umeme kutokana na kwamba inaleta short pindi nianzapo...
Naomba kuuliza, huwa kuna Application za ki office ambazo huwa kama unafanya kazi hiz marketing
Kama ukifika kwa client unatakiwa upige picha mara nyingi hua haikubali ku upload picha kwenye...
nipo mkoa wa Mara, nina shida moja, natumia sunder solar watt 100, bettry ya sunder N 100, INVETER ya Solar Max watt 150, pia nina flt tv inch 32 yenye watt 50, 110-240v,, nina blender watt 350...
Juzi nilienda madukani kuulizia tablet nikaambiwa hazipo mkoani ila nikitaka naagiziwa toka dar. pia nikaambiwa zipo brands za tecno Samsung.
Sasa nikawa nauliza Sana kuhusu tecno wakiniambia...
Pegasus ni jina linalomaanisha Farasi Mwenye mbawa. Ambalo ni namna ya kuonesha kuwa software hiyo inafanya kazi kama Farasi wa Matrojan(Trojan Horse) lakini yeye anaweza kupaa.
Software ya...
wakuu babari, nikipita kwenye maduka ya bongo ya electronics naona zimejaa subwoofer za mchina tu na hometheter za mchina na sio malysia wala japan.
kwa sisi wanazi wa.mziki ningependa nipate...
Nimetumiwa update ya android version.yani nitoke 10 mpk 11.simu yangu ni samsung galaxy A20.naomba ushaur wadau ni update au niachane nayo kwanza?ina almost MB1728 hvi.
Habari zenu wanajamvi, nina desktop aina ya dell nlipewa na mtu ila cha ajabu nimeiconnect na tower lakini nikiiwasha inaandika "no signal" afu inajizima yenyewe. Tatizo linaeza kua lipi, msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.