Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nimechoshwa na Startimes nataka ninunue zuku je wapo vizuri? Local channel kubaki baada ya kifurushi jee Ubora wa picha jee wana HD?
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa! Kwa wenye uzoefu Na vifaa vya solar naomba mnijulishe kampuni zinazotoa bidhaa nzuri za solar kama vile panel, battery, inverter Na controller. Je kuna mtu ameshawahi kutumia...
1 Reactions
12 Replies
13K Views
Kisimu changu Itel It6910 kuna uwezekano nikatumia Facebook Lite au WhatsApp? Je, kuna uwezekano wa ku-update Java Version? Je, kwanini Apps nyingi zinagoma ila kwenye simu za batani zinakubali...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Aseeh lain yangu ya Halotel imegoma ghafla kusoma kwenye simu both smartphone na kitochi Je, hili tatizo ni kwangu tu au kuna aliepata shida kama yangu?
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habarini wakuu! Nahitahi kununua laptop kwa ajili ya matumizi mbali mbali ,Mimi ni mgeni kwenye masuala ya PC. Nahitaji kujua niangalie vigezo gani? Brand ipi ni nzuri katika matumizi ya hapa na...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Voda wameleta option ya kuset speed ya internet, kuchagua low ama high. Hii inamaanisha nini, na kabla ya hapo tulikuwa tunatumia speed gani? Nanusa harufu ya kuibiwa hapa.
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Simu yangu Canon 15 Air..Tecno.. Nimeitumia miezi miwili..tatizo lake.. Ikifika saa sita kamili usiku inakaa flight mode yenyewe.. Sasa hivi siwezi kuongea na wala kutumia video call kwenye...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
WhatsApp wameweka kiwangao cha washiriki (Group member) kuwa ni 256. Ni nini siri ya hii number 256 kwa WhatsApp. Yaani kwa nini 256 na sio 255,254 nk. Najua wangeweka number yoyote pia ningehoji...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Heading imemaliza swali langu. Ni laptop aina ya HP Envy x360 15-aq005na
0 Reactions
12 Replies
981 Views
FILE LA SMART KITOCHI FP 789L-T V02., FILE LINA GB 2 NJOO UCHANGIE BANDO TU NIKUTUMIE #0625796805
1 Reactions
2 Replies
3K Views
habari zenu wakuu naomba kuuliza kwa wajuzi wa online martkets ninataka kuagiza xiaomi mi 11 ultra (133$) kupitia AliExpress hivo unaomba kufahamishwa ubora wa bidhaa zao pamoja na uaminifu na...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mfumo huu unaitwa kids mode,hii ni kwa ajili ya watoto kwanzia wadogo mpaka wakubwa. Njia hii kwa sasa inapatikana kwenye simu karibu zote,na haitakuhitaji kuanza kuficha files zako kwa apps...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wazee wenzangu wa kufunga madishi mnapataje michongo hapa mjini dar es salam. Njaa imekuwa kali kwangu tangu nimefika mjini hii fani sijafanikiwa kuifanyia kazi.
3 Reactions
8 Replies
872 Views
Hii meseji imekuwa ina pop up kwenye iphone yangu mara kwa mara. Hata sasa hivi nilipokuwa ninaandika hii thread ime pop up tena. Msaada: -Madhara yake yapi ikiwa “Trusted” au “Not Trusted”...
0 Reactions
0 Replies
787 Views
Habarini wadau napenda kujua njia youote ile nayoweza kuifungua simu ya android without loosing data yaani ikifunguka isifute chochote msaada tafadhaali ni muhimu[emoji120]simu ilikuwa ya mzee...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Imejilock. Na password yake ni 2000. Siwezi kufanya chochote napokea simu tu. Ikitaka passwaord nikiweka inaniambia nijaribu baada ya sec 30. Kila nikijaribu inarudia tena hivyo hivyo. Kama kuna...
1 Reactions
2 Replies
921 Views
JINSI YA KUWA MILIONEA KTK DUNIA YA TEKINOLOJIA: Wakuu habarini za Leo. Napenda kuwapongeza wadau wote waliomo humu ndani ya group Hili, mimi binafsi natambua michango yenu ktk kusaidia na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hivi wadau ili kujua kama namba yako imedukuliwa ama la unaangaliaje kwa menu za simu pasipo kwenda kwenye mtandao husika? Asante.
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Msaada wakuu, mara nyingi huwa nakutana na huu ujumbe ila ukweli huwa sielewi maana yake.
4 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari wakuu, Straight to the point, tangu majuzi simu yangu imeanza tatizo ambalo linanikera mno na kuninyima raha. Unaweza ukadownloadf app vizuri, issue inakuja kwenye ku-allow app...
1 Reactions
6 Replies
868 Views
Back
Top Bottom