Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu simu hizi aina mbili. Ipi itanifaa zaidi kati ya hizi mbili? Nataka nichukue moja Kati ya hizi. Ubora, kudumu, performance, na vingine vingi. Nan Zaidi?
1 Reactions
36 Replies
5K Views
Niliwahi ku deactivate account ya Facebook permenent ila nikashangaa nikaja ku log baada ya muda ikakubali so nataka nijue ninafanyaje kuifunga kabisa isiwepo Tena katika mtandao. Chief-Mkwawa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
hello za wekend wakuu, Naomba msaada juu ya IDEA YOYOTE INAYOHUSIANA NA (WEB BASED SYSTEM) katika fani ya IT niifanyie kazi naelekea kukwama mwenzenu huku mana nilizonazo zote naambiwa hazina...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Naomba mawazo nataka nitengeneze program ambayo itumike kuzuia watu wanaorudia research. Yaani research ikiingizwa ilete watu ambao wamefanya hiyo research. Ina maana research zote zilizofanywa...
0 Reactions
6 Replies
941 Views
Mbezi, Dar es salaam ---- The capacities of mobile technology include enhanced communication via SMS messaging, as well as more accessible online education. Internet-based services are growing in...
1 Reactions
0 Replies
591 Views
Check this short article! An interviewer asked me to reverse a string without built in functions. What is the point in that if the built in functions are there to help developers? Answer...
3 Reactions
0 Replies
515 Views
Tusaidiane kuzijua top ten apps ambazo ni Tanzanian made Juzi nimeona watu wameitaja Sarafu na siijui ni app inahusu nini? Hebu tuzitaje hapa Apps zote za Tanzania ambazo zina impact
4 Reactions
28 Replies
4K Views
Teknolojia inaonekana kuwa msingi mkubwa wa maendeleo duniani kote watu waliojikita kwenye teknolojia hufanikiwa zaidi na kurahisisha vipato vyao. Matumizi ya simu kwa watu wenye ujuzi wa...
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Msaada ninapoandika tweet maandishi yanaganda mini Tatizo na suluhishi tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
360 Views
Habari wakuu. Naomba kujua kama hii application ya free basics inayowezesha kuperuzi bure mitandao kama Jamii Forum n.k imeondolewa maana nikitaka kuingia haikubali kama zamani.
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Ndugu Mashabiki wa OPPO nipo katika savey ya simu tajwa. Ninalinganisha bei nipate uelewa. Je, kwa sasa simu hizi zikiwa mpyaa, OG zinacheza shilingi ngapi hapo mjini kwenu? Wale mliopo jirani na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau kuna hii kitu nimekuwa nikisikia kwa miaka mingi kuwa unaweza kuzalisha umeme kwa kutumia choo (UMEME WA CHOONI), Naomba mwenye maelezo ya jinsi unavyoweza kutengeneza umeme huu anipatie...
1 Reactions
37 Replies
41K Views
  • Poll Poll
SQL Injection (SQLi) is a type of an injection attack that makes it possible to execute malicious SQL statements. These statements control a database server behind a web application. Attackers can...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
SSD vs HDD Most people now buy laptops for their computing needs and have to make the decision between getting either a Solid State Drive (SSD) or Hard Disk Drive (HDD) as the storage...
2 Reactions
50 Replies
13K Views
Wakuu nina tatizo moja hapa Nilituma email kama siku mbili zilizo pita na email ilikua ya muhimu sana sasa leo ndo napokea taarifa kutoka gmail kuwa email imechelewa kufika kwa mtu husika na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Members msaada, nahitaj kuapdate mannual samsung note 4 ifike android 6, kwenye web ya samsung ukitaka kidownload wanataka uchague nchi ila tanzania haipo, nichague nchi ipo hapo au yoyote tu...
1 Reactions
2 Replies
723 Views
Wadau habari zenu? Nipo Dar kwa sasa, lakini kama mjuavyo kwenye majiji ya watu kuna kununua kitu ukapigwa na kikawa bado hakifai , nimekuja kwenu mnielekeze wapi nitapata betri original kwa...
1 Reactions
2 Replies
995 Views
Naomba kuuliza jinsi ya kuitrack simu nyingine kwa kutumia simu yangu, hii kitu inakuaje unafanyaje na app ip nzuri? Ebu wataalamu tupeni maujanja.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba kufahamishwa hiyo app ni ipi kwenye simu yangu?
1 Reactions
5 Replies
807 Views
Back
Top Bottom