Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kuna siku nlipost jambo la siri huku nashangaa rafiki zangu wanaonifahamu wakaanza kunishangaa na kunipigia simu ebu nisaidieni nlikosea wapi na huku najua ni siri?
1 Reactions
9 Replies
832 Views
naomba kujua kuna utofauti gani kati ya couse ya IT na ICT? msaada tafadhali.
1 Reactions
1 Replies
986 Views
Eeh! Ndo hivyo kwa mwenye uelewa wa hii kitu Well, nmefanikiwa kufanya mtu asiweze ni add kwenye grp bila mimi kutaka Sasa nataka niweze kutoka kwenye group bila kuonyesha kuwa this guy "left"...
6 Reactions
65 Replies
7K Views
Kama title inavyojieleza hapo juu. Channel yangu ina subscribers wachache mno, viewrs nao hawajawahi kufika hata 100, jambo linalopelekea nishindwe ku manetize channel yangu kwasababu sijakidhi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani habarini za jumapili nashukuru mungu mm kwangu imeenda poa. Poleni waliokutana na matatizo ya hapa na pale. Ni hivi kipindi hicho 2018 nilijiingiza katika kujifunza computer programming...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Naomba kuuliza hivi Ni App gani ambayo nitadaunlowd movie au tamthilia yoyote ambazo zote zitakuwa na English subtitles?!
0 Reactions
2 Replies
996 Views
Nilikuwa napenda kuwauliza Kama kompyuta za Fujitsu ziko bora kwa matumizi ya video library kabla sijaichukua
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadau kuna kitu nakihisi kama kipo kwenye simu za Samsung S series. Kila ikifika muda fulani kuanzia jioni mara nyingi nashindwa kufungua videos kwa whatsapp au haga instagram au twitter au hata...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Nadhani niliwasikia vizuri Yanga wakisema app yao iliwaingizia 100m. App hiyo waliiweka January 2020 na inaonyesha install 100k ambayo inweza kuwa hadi karibia na 500k. Waliwezajekuingiza pesa hizo?
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu, Nimeletewa INFINIX hot 9 play x680 tatizo Ni frp Nimejaribu kuflash kwa Sp flash tool ujumbe unaokuja ni huu kwenye picha hivyo naomba MSAADA wenu tutagawana hii pesa ya bando.
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Wakuu mwanangu kapasua simu yangu samsung note 9 iko chakachaka. Nilikua nauliza msaada naweza pata housing yake na gharama inaweza ikawa shingap? Natanguliza shukrani
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Kiongozi wa Hong Kong amepuuza onyo na Kampuni kubwa za Teknolojia zikiwemo Google, Facebook na Twitter zilizosema zinaweza kuacha kutoa huduma katika Jiji hilo ikiwa Mamlaka zitaendelea na Sheria...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za muda huu, Nauliza kama inawezekana kutrack simu iliyoibiwa kwa kutumia Serial Number pekee maana simu ni network lock, iphone 11 Kibaya zaidi ilikua haina icloud ndani, nauliza kwa...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Nina sumsung galaxy s7 ila betry inazingua ikifika hata 64%inazima nakuwaka yenyewe,hapo nikuanza kuwaka na kuzima tu mpaka uichaji tena ijae yaani mtihani kweli kweli. Je, yaweza kuwa tatizo nini?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau naomba msaada wa kujuzwa namna ya kubaini mahali ilipo simu kwa kutumia aidha serial number au imei number Naomba kwa anayefahamu wapi kwa Dar es Salaam au Arusha naweza kupata msaada wa...
2 Reactions
124 Replies
62K Views
Kampuni ya infinix wamemtumia Concept phone 2021 unbox therapy na kuizungumzia pia kushangazwa kwa kujaa chaji kutoka 0 hadi 100 ndani ya dakika 10 tu.
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Mambo vipi? Kama kijana mpambanaji nimejikuta naingia kwenye issues za facebook pages kwa lengo la kutangaza business zangu za hapa na pale... The only issue nilonayo ni kuifanya page yangu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Baada ya miaka kama 7 hivi kuwa mtumiaji mzuri wa ios phone (iPhone) hatimae huu mwaka nahitaji kujiondoa rasmi. Sababu ya kujiondoa ni kutokana na kupangiwa baadhi ya mambo ikiwemo kunyimwa...
8 Reactions
305 Replies
20K Views
Natafuta mtandao naoweza download font za bure. Nahitaji sana font ya eurostile extended, gill sans std na chica gogo nf bold.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Simu infinix ina line ya tigo. Ikiwa kwenye 4G au 3G ukiipigia haipatikani. Hata kama umezima data. Ila ikiwa kwenye 2G simu ukiipigia inapatikana hata kama umezima data. Sasa nimeshindwa kuelewa...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom