Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu za kushinda, natumaini ni wazima wa afya, moja kwa moja nishukuru wadau wote pamoja na kuwa hatufahamiani ila laweza kuwa wazo zuri na jema, mtapendekeza wenyewe. Nilikaa chini na...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Habari za mida wadau. Nimewahi kuleta uzi hapa nikiomba ushauri aina gani ya simu nzuri,Nashukuru nilipata mwanga wa kuelewa mambo mengi. Baada ya kuzurula mikoani sasa nipo Dar na kesho mapema...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Jamani nauliza hivi zile Epson printer ambazo dukani huwa zinauzwa laki nne mtumba wake naweza pata kwa tsha ngapi na je ubora,sifa na efficiency inakuaje.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hello, habari zenu? Mwenzenu naomba anayejua app ya survey inayolipa for real kama Premise app nchini Tanzania anijuze. Nimetafuta nyingi Sana km Afrisight, Geopoll n.k sijapata jamani...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Naomba kujua bei ya hiyo camera pia bei ya photo drop na stand yake
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jaman wadau nauliza Kama inaezekana kurudisha line iliyofungiwa toka mwaka Jana to be specific ni line yangu ya tigo ilifungiwa sababu ya kutokusajili kwa kitambulisho cha taifa ila sasa nna...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mtandao wa Kijamii wa TikTok umesema umeondoa Akaunti zipatazo Milioni 7.3 zinazoshukiwa kuwa za Watoto walio chini ya umri wa miaka 13 katika robo ya kwanza ya 2021 Hii ni mara ya kwanza kwa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kampuni ya microsoft ambayo inatengeneza mifumo windows imeamua kuboresha mfumo mpya windows 11. Windows 11 iliachiwa tarehe 24 june 2021. Mabadiliko haya inaonyesha kuwa imekubali kuendana na...
5 Reactions
22 Replies
4K Views
Habarini wana JamiiForums, Naombeni kujua ni mtandao gani unatoa ofa za night bundle zenye gb kubwa maana sisi wengine tunatumia sana video sasa inakuwa ngumu kutumia bando la kawaida maana...
3 Reactions
138 Replies
25K Views
Wakuu habari zenu? Nilinunua tv ya mtumba aina ya sharp 32 inches , TV naipenda na sina mpango wa kuipiga chini hivi karibuni ila changamoto ya hii tv ilikuja bila rimoti na nimetafuta bila...
0 Reactions
38 Replies
6K Views
Computer yangu imeanza kutofanya kazi kwa baadhi ya keypad! Ikitokea sijaitumia siku mbili nakuta zinaendelea kuongezeka! Ni laptop ya ya Dell latitude E 5440. Je tatizo nini hapo? Nifanyeje ili...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za muda huu wana JF. Nina External Hard drive ya 2TB, niliifanyia partion katika sehemu 3, 500GB, 500GB na 1000GB. Sasa hii partion ya 1TB ghafla tu imegoma kuvunguka ukiifungua...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari, Naombeni msaada wa wapi naweza kupata keypads za HP SPECTRE kama mnavyoona kwenye picha hapa chini, kama kuna mtu unazo naomba tuwasiliane tufanye biashara, Namba yangu ni 0687855558. Hp...
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Habari za uzima wakuu katika jukwaa la teknolojia...Awali ya yote mimi ni kijana wa kitanzania mwenye mapenzi makubw sana ya teknolojia japokuwa sio kitu ninachosomea katika elimu yangu ya juu...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Hello wakuu, Kama kuna Kiongozi ana namna ya kutuma fedha Ghana, na receiver akapokea kwa mobile money, naomba tujulishane
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Katika thread hii tutajifunza namna ya kutengeneza application za android "from the scratch", Japokuwa kuna "platforms" mbalimbali mtandaoni ambazo zinaweza kumsaidia mtu yoyote kuunda apps hata...
5 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wanajamvi, nilikuwa naomba mwenye kujua program nzuri ambayo ni free inayotumika kufanya screen recording. Nyingi nilizokutana nazo ni za kulipia ila ukitumia free unarecord mwisho dakika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Given a rectangular grid of characters, print the longest string that forms a lexicographically ordered path through the grid. Characters are between " (ascii 32) and " (ascii 126) inclusively...
1 Reactions
3 Replies
463 Views
Habari wakuu leo katika utundu wangu nimegundua kwamba meter box ina matumizi mengi sana zaidi ya kutumika katika ulipaji wa umeme. Naam, Nitawadokeza jinsi ya kutumia meter box kuangalia vitu...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
wakuu habari za jioni, rejea mada taja hapo juu naomba mwenye link ya ashampoo burning studio kuanzia Ashampoo burning 6 32bit nakuendelea anisaidie ikiwa na serial / activation key zake...
0 Reactions
1 Replies
759 Views
Back
Top Bottom