Wandugu habari za mchana hivi kuna benki yeyote inayokubali kufungua akaunti kwa namba ya nida maana mimi nina namba ya nida tu sina kitambulisho chochote wala leseni
Msaada hapo wakuu
Nina computer huwa inafanya kazi Ila Kama baada ya masaa hata saba inazima yenyewe, halafu baada ya muda inawaka tena ,tatizo linaweza kuwa ni nini? Inatumika kwenye video library.
Kile chombo kinapitaga angani kinaacha moshi flan kama mstari hivi mrefu kinaitwaje? Wengi tulikuaga tuna amini kwamba ni rocket lakini kuna jamaa hapa anasema sio rocket ila ye mwenyewe hajui...
Habari wadau wa Jf
Wakuu nahitaji msaada wa Application ya kutumia kurekodia video na clips kwenye simu
Nahitaji App ambayo kutakua na uwezekano wa kurekodi video ya dakika mbili ila ujazo wa mb...
Wadau nina Mtu nimemwajiri na nimempa Simu kwa Matumizi ya Ofisi.Naomba Kufahamisha App gani itanisaidia kujua anachopata kwenye Simu kuhusu Biashara yangu nina Hofu ya kudanganywa
zingatia haya unapokuwa kuwa kwenye intaneti
Ni kweli kwamba mitandao ya simu kwenye intaneti ni ulimwengu mpya ambao una kila kitu endapo unajua mahali pa kuangalia na kutumia vizuri.
lakini...
Naombeni msaada wenu wakuu,namna ya kuondoa hawa virus.Ni takribani wiki moja sasa tangu nivamiwe na hawa viruse,niliwapata baada ya kuingia website kadhaa.
Wamefunga files zangu zote za kwenye...
Nina nokia lumia 520 ila kila nikidownload apps kutoka kwenye store yao inaandika error code 80070490 nimeifanyia hard reset nikaingiza tena google account ila bado tu, nifanyaje ili niweze...
Hello World
Nipo katika hatua za mwisho za kukamilisha project yangu ya Blogging Platform ambayo itakuwa open source. Na haitakuwa kwa ajili ya blogs tu, bali inaweza kuwa Personal website...
Habar ndugu zangu wa JamiiForums
Naomba kuulizia hivi hzi game Za kisasa ambazo Mtu anavaa kichwan VR halafu anapewa controller mikononi kisha aanza kucheza hapa mjin Dar es Salaam znapatikana...
Ninafikiria nitakapokuwa na makazi yangu ya kudumu niwe na chanzo cha nishati ya kupikia ya biogass (nimeshindwa kupata kiswahili chake), ila sina maarifa ya kutosha kuhusiana na chanzo hiki dhidi...
Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nataka kununua simu moja wapo kati ya Samsung galaxy a72 na Iphone 11 so nahitaji mnipe ushauri kati ya hizo mbili nichukuwe ipi ambayo...
Leo nimepokea Ujumbe wa hii challenge. Binafsi sitapata nafasi ya kushiriki, nikaona ni vyema niwashirikishe wengine watakaokuwa na muda na wangependa kushiri.
Naona kuna zawadi ya mpaka 3.5mil...
Akaunt yngu ni mda sasa inagoma ku apply, nikijaribu inaandika Failed na nina sifa zakutosha kuomba kaz za udereva. Kama kuna mwenye solution, naweza ata kuja ulipo kama ni Dar.
Thanks.
Habari ya uzima wakuu katika jukwaa la technolojia.
Naomba mwenye ujuzi wa kwenye ms. excel anisaidie jinsi ya kuprint data zote kwenye “drop down menu” automatically kwa kutumia button moja.
Au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.