Nawasalimu nyote kwenye ukumbi huu kuhimu sana wa kupashana habari,matukio na ujuzi kutoka kwa wadau waliomo humu ndani.
Mimi ni mwanachama mwenzenu japo si wa muda mrefu sana.
Mimi ni mwajiriwa...
Habari Wakubwa,
Hongera kwa kazi kubwa ya ujenzi wa Taifa. Wakubwa niende kwenye Mada moja kwa moja wakubwa nina Laptop mbili Zote ni Hp Ellite book.
1:Hp ellitebooka 2760p Hii ipo kwenye hali...
#TatuZaJumatatu AI | Robotics | Machine
AI ‘Artificial Intelligence’
AI ‘Artificial Intelligence’ ni sehemu ya computer science inayohusika na utengenezaji wa machines zenye kufanya jambo kwa...
WanaJF nisaidieni kwa hili, nilikua natafuta hii laptop HP SPECTRE 360X yenye specifications hizi:
na nmejaribu kuangalia wauzaji nmekutana na mkanganyiko mana Bei yake inakua 1.8 M wengine 2 M ...
Habari wakuu tafadhali naomba msaada nina modem 2 nilikuwa nazi flash moja imeishia njiani yaani hakumaliza ku sahisha faili lake ambayo ni huawei e3531
nyingine ilimaliza lakini nikiweka laini...
Hello guys.
Nahitaji Yoyote anayeweka game kwa PC au anayeweza kunisaidia Game la FIFA 19.
Nipo Dar es Salaam
Ubungo Chuo kikuu.
Nina shida na hilo game.
Naombeni mnisaidie mkiweza.
Wakuu nime download Photoshop zaidi ya mara tano kila nikifungua inaniletea huu ujumbe
Na nikiifungua manually inaniletea option ya kulipia ingawa niliyodaownload ni cracks
Nisaidieni namna ya kutengeneza wifi network yangu mwenyewe bure high speed nimejaribu kusearch YouTube (experiment army) lakini sijafanikiwa. Kama kuna aliye na concept anisaidie pls[emoji120]
Kama title inavojieleza, nahitaji kuinstall custom rom kwenye kimeo changu sony xperia z3 compact, specifically rom yenyewe ni Lineage Os.
Changamoto ni moja hii simu bootloader yake ni...
Katika dunia ya sasa ambapo kwa sehemu kubwa tunahitaji simplicity nawapongeza Vodacom M-Pesa kwa kuachia API zao za M-Pesa ili developers mbalimbali kuweza kutengeneza products ambazo zitakuwa na...
Habari za humu wadau,
Ninatafuta ISP ambaye anaweza kutoa huduma ya internet kwa njia ya satellite.
Tafadhali kama kuna mtu anaweza nisaidia humu itakuwa vizuri pia maswali yafuatayo:
1. Je...
Natumia sana halotel kwenye kivurushi vya internet sasa nataka kupata smartphone ya bei rahisi ili niwe naunganisha kwenye PC maana moderm zinazingua.
Au hata kama kuna simu tu isiyo ya halotel...
Wakuu habari za weekend.
Nina ZTE router ya vodacom model R207-Z. Nataka ni unlock ili nitumie SIM card za mitandao yote
Pls. Kwe yeyote mwenye idea au experience kwenye hii kitu anisaidie
Tanx in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.