Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari, Kuna hili swali, la kama kuna uwezekano wa mtu kusikiliza simu zako, je, utajuaje kama zinasikilzwa au meseji zinasomwa...na ukijua unawezaje itoa? Kwanza, issue nzima inaitwa, "Call...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Nina mpango wa kuanzisha app and website ya online learning kutoa course mbalimbali. Nimetafuta developer hapa bongo kwa kweli bei zao zipo juu sana. Wenye uwezo mzuri wamenipa bei ya mpaka...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
With iOS 15, your iPhone is still traceable through the Find My network even when the device is powered off. It seems that with iOS 15, the phone is not really fully ‘powered off’, it stays in a...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Nimefanya Jaribio la Kuunda Forum Ya Ujuzishare BONYEZA HII LINK HAPA UjuziShare Ni Forum ya kushare ujuzi alionao mtu katika vipengele mbalimbali na naomba muijaribu katika mambo yafuatayo...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamani mwenye kujua namna kuweka GBwhatsap au FM Whatsap kwwnye simu ya oppo tafadhali anisaidie. Kila niki install inakataa.
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari Wana JF, Siyo Kila anayehitaji Android App Kama ya News, Chating,Live Tv ana Haja ya yeye Kujua Programing au Coding. Inabidi Totofautishe Kati ya Kazi na Mahitaji, Programing au Coding ni...
4 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari wakuu, Kama kichwa cha habari kinachojieleza huu Uzi maalum kwa wale wote wenye maswali kuhusu jinsi ya kumiliki website au app kwa ajiri ya biashara yako Vitu unavyopaswa kuvifahamu...
5 Reactions
39 Replies
7K Views
Wale wanaowekeza kwenye mashine za kusaga nafaka. Matumizi yatakua ni kusaga unga mwingi labda kwaajili ya taasisi au mikusanyiko ya watu. Kwa matumizi ya kawaida ya nyumbani unaweza kusaga unga...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu habari za muda. Naomba kujuzwa,ni application gani mzuri kwa ajili ya ku design jezi za vilabu vya mpira wa.miguu??
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Walimu wenye fani mbalimbali kuweza kufundisha hata private na kusolve changamoto mbali mbali basi ni vyema kujulikana kwa uzi huu. Hasa walimu wa: 1.Data base 2.Software engineering...
1 Reactions
14 Replies
926 Views
MacBook pro 16 M1X tutegemee Nini zaidi ya MacBook pro 16 2021?
0 Reactions
1 Replies
735 Views
Jamani wataalamu wa data base nikikuwa na submit data kwenye data base kwa kutumia html form Kila niki submit inaleta fetal error Kam hivo mimi bado najifunza ko nambie tatizo nifahamu
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau, hapa kwenye Samsung Galaxy A02 tulipigwa hapa au nyinyi mnasemaje?
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Kati ya ufundi simu na ufundi wa umeme wa magari upi una lipa
2 Reactions
14 Replies
5K Views
Fahamu mambo muhimu kuzingatia kujua kama simu yako ni Fake au original sio rahisi mtu kujua kama simu uliyonunua ni fake kwa mara ya kwanza ukiona maana inaonekana kama original. ila leo...
1 Reactions
3 Replies
15K Views
Habari waungwana! Kuna muda nilikuwa nafanya kazi then umeme ukakatika. Baada ya umeme kurudi nilipojaribu kuwasha, monitor ikawa haioneshi chochote. Baada ya ya karibu dakika moja hivi, feni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana jf. Nilikuwa naomba nlmnisaidie kitu hiki. Mfano nina matokeo nimeinguza kwenye exel labda A C B B B C C B C B sasa nataka nijumlishe points za hayo matokeo kwenye exel kwa kutumia kanuni...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Naomba msaada wa kujua aina gani ya Iphone ni nzuri ambayo bei yake ni kati ya laki 5 mpka laki 6? Simu ambayo ina storage kubwa (64GB above) na camera yake ni nzuri...
1 Reactions
104 Replies
18K Views
Mwanzo lilikuwa linatumia umeme wa kawaida tu ila baadae likaharibika likawa halileti ubaridi ikanibidi nimuite fundi ambaye baada ya kulitengeneza yaani ukiliwasha nusu SAA tu umeme unit 8...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Leo nmetoka sehemu A to B. Njia za shotcut sizijui fresh so nkaandika kwenye google map. Imenionesha njia kibao na ni za uchochoro mno.. najiuliza hii inawezekanaje??
2 Reactions
48 Replies
5K Views
Back
Top Bottom