Wakuu kwa anaejua maujanja maana nimeingiza email yangu kama mara nyingi inavyofanyika lakini nikifika mwisho inaandika try again hivyo naomba nipewe njia nyingine ili niweze kutoa flp kwenye hii...
Habari wakuu
Hivi ukichukua Microsoft office ukaiweka kwenye flash then ukataka kuiweka kwenye PC nyingine unafuata hatua zipi?
Kwa wataalumu ndugu zangu, wengine haya mambo tumepitwa!
Habar zenu
Ndugu zangu naomba kama kuna yeyote ana ujuzi wa kuniwezesha kulog in nimesahau pasword na pia kuna secrete questions pia zisikumbuki nimejaribu nimeshindwa
Nahitaji sana hiyo email...
Wakuu naomba mnisaidie code za kulock simu au laini, ili isiweze patikana hewani, Lakini niweze kufanya access za internet na kutuma msg kama kawaida.
Pia mnisaidie na code za kufungua hiyo laini...
Habari zenu wakuuu, hope ni wazima wa afya !!
Kama kichwa cha habari kinavyosema, nina Samsung Galaxy A71 ambayo nilinunua mwaka Jana Nilivyojiunga na Chuo Hapa Dar mwezi wa Kumi na moja ...
Hello wajuzi.
Ulimwengu wa Technology unamkimbia kwa kasi sana. Kwa kuanzia sekta za kibiashara, Siasa, hadi Technology. Kwa sasa utendaji unafanywa sana na Artificial Intelligence, hardware na...
Habari naomba msaha wa app gani ambayo itakua mzuri kwonye shughuri za graphic design amba nitaweza kutumia kwenye simu ya android bira pc msahada wenu jamani
Jamani naomba mnielekeze ni namna gani, naweza kutoa Viruses kwenye simu yangu.
Nilidownload app kutoka "unknown sources" sasa naona simu yangu inakua ina operate bila mpangilio na ads nyingi tu...
Habar wadau !!
Nina mtoto nyendo zake sizielewielewi sasa nataka ni hack SMS za kawaida ili niweze kuzisoma bila kushika simu
Nataka nimtumie link either whatsapp au gmail kisha nimpigie...
Jamani habarini humu naombeni kuuliza Kuna kipindi nilikua naona kwenye mtandao wa Alibaba pc flani ndogo zilikua zinaendeshwa kwa Android. Sasa ningependa kujua je zinapatikana madukani na bei...
Wakuu poleni na majukumu ya kila siku,
Binafsi nimeshindwa kutatua hii issue ya kisimbuzi kipya cha azam antena kinaleta no siginal kama zikija huwa ni kukata kata na ku scratch, awali nilikuwa...
Mi ni mgeni wa haya mambo ni muda mrefu nimekuwa nikisikiliza mziki bila mdundo nimejichanga changa nahitaji kununua Home Theater nzuri na ya kisasa pakuanzia ndo sijui wenye kujua ni vitu gani...
Natanguliza shukrani.
Naomba kufahamu ni aina gani ya programu ya video editing ambayo inaweza operate kwenye laptop ya kawaida aina ya Dell Inspiron yenye properties hizihapa
RAM 4GB
Processor...
Wakuu habari zeno,
Ninashida na jinsi yakuwasiliana na Google support service nimepoteza keys za Google authenticator nimejalibu kutafuta mawasiliano nao nimeshindw najua umu siatakosa mwanga...
Habari,
Naomba kujua kama kuna mdau/wadau waoweza kufanya physical damage data recover, HITACHI Deskstar 250GB haispin ila nimejaribu kubadilisha circuit nyingine ya Hitachi 250GB version &...
Msaada wakuu,
Kwa wenye uzoefu zaidi na mpesa mastercard, nilifanya manunuzi aliexpress kwa kutumia mpesa mastercard, mzigo haujafika kwa zile siku zilizopangwa nikasililizia mpaka buyer...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.