Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wakuu Nina dokumenti za vitabu vya zamani kutoka maktaba ya mzee nahitaji kuvibadilisha kuwa katika microsoft word ili niweze kuhariri. mfano wa maandishi. Natambua teknolojia imekuwa kwa...
0 Reactions
1 Replies
624 Views
Anaejua Aniandikie code ambayo ina connect html form na mysql. Kila nikijaza form in display error tu
0 Reactions
1 Replies
479 Views
Wadau kwema, naomba kujua hivi kwenye kupakua movie kuna Apk ninayo ya kudownload movie ila sasa kuna kitu huwa nakiona, Chini kwenye movie yenyewe huwa kuna kialama cha nyota ya cha njano harafu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau habari naomba kwa wale wazoefu wa telegram wanisaidie link nzuri za habari na matukio za ndani ya nchi hata za nje ya nchi na ya michezo hasa ligi ya hapa kwetu. Asanteni.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama ume unda group la what's up uka add member halafu ghafla uka left group Nani anakuwa anakaimu nafasi yako au linabaki vipi je watakuwa wanatuma meseji Kama kawaida .nataka kujua linabakiaje
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari wana jamvi..... Nina Pc yangu aina ya dell ilipatwa na tatizo gafla ambalo imekuwa changamoto kutatuka. Siku moja niliiwasha Pc yangu lakin cha kushangaza ukaja mwanga mweupe tuu. Nikazima...
0 Reactions
3 Replies
666 Views
Nahitaji kununua Laptop sehemu, tangazo linaonesha Laptop ni Core i5 lakini processor speed ni 1 GHZ, nawauliza why processor Ipo chini sana wanajibu hizo ni processor mpya na anzia hapo hawajibu...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari za usiku ndugu zangu? Nahitaji msaada namana ya ku apply nacte vyuo vya afya. Nimejaza taarifa zote lakini hakuna kinachoendelea. Hatua ya kwanza nimefungua ukurasa wa kujisajili na...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi ni mgeni kwenye matumizi ya PS na hii mission ya kwanza kwenye PS3 nataka niskip lakini sifahamu yeyote anayejua msaada tafadhali.
0 Reactions
5 Replies
969 Views
Naombeni tofauti ya MP3 na MP4 unapotaka kudownload nyimbo kwenye simu ipi ni bora? Na kwanini?
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Call me dumb! This is just magic. Ukiniuliza mimi nitakuambia Mungu amewafungulia binadamu muongozo tu wa kufanya ili wapate computer. Lakini hata wanaozitengeneza hawajui zinafanyaje kazi.
6 Reactions
85 Replies
11K Views
Ndugu msaada, nina Epson 850 nataka kuprint PVC card na tray ninayo. Je ile program nitaipataje maana hata jina siijui. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za mchana wana Jamii naomba kufahamu jinsi au ni app gani inayo weza nikipiga video call watsap nimeze kumrecod au nikipigiwa. Asanteni nategemea kupata ushirikiano wa kutosha
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Msaada account ya yangu ya Instagram imekua restricted kufanya promotion Je? Ni vipi naweza kutatua ili tatizo?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Take the following IPv4 address: 128.32.10.1 This address has 4 octets where each octet is a single byte (or 8 bits). 1st octet 128 has the binary representation: 10000000 2nd octet 32 has the...
0 Reactions
4 Replies
721 Views
Looking for a technical SEO expert with experience. Awe na uwezo wa kutatua matatizo yote yanayohusu site SEO ikiwemo Speed as per Google page speed.
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Nahitaji kutengeneza program ambayo itakuwa inaruhusu watu kuchati online na message kila mtu aione. Kwa anaejua nitumie language ipi?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini, naomba kujuzwa katika hizi flat screen za wananchi wa kipato cha kawaida, ni ipi bora kuliko zingine? -Star-X tv -Aborder tv -Sundar tv Hapa siongelei zile za kibosile kama Sony, LG na...
3 Reactions
105 Replies
27K Views
Leo wakati naangalia mechi kati ya Aston villa na Chelsea, nikapata mihemko ya mpira nikadunda ngumi kitandani pembeni yangu, kumbe! nilikuwa nimeweka pc sikuiona, matokeo yake imevunjika screen...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom