Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
App gani bora kuangalia movie online? Sent from my ACCESS55 Pro using JamiiForums mobile app
2 Reactions
54 Replies
15K Views
Habari wanajukwaa, Nina mashine yangu ya PS4 FAT, Kuna siku ilizima ghafla, Tangu izime inashindwa kuwaka ukibonyeza inatoa tu mwanga wa blue kwa sekunde kadhaa then inazima haimalizi kuwaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina simu aina ya Samsung Galaxy A30, kila mara inaonesha internal memory full, na inashindwa ku-operate kabisa, hadi ninalazimika kuzima simu na kuiwasha tena ndio kidogo inakuwa na free space...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Mwenye uelewa au msaada anisaidie sehemu ambayo naweza kupata kioo cha hii laptop Ni Lenovo ThinkPad T470s touchscreen
0 Reactions
8 Replies
917 Views
Wadau habari za siku, naimani mko njema na siku zinaenda kwa uwezo wake aliye juu. Kumekuwa na utofauti sana wa kimatumizi ya vifaa vyetu vingi vya mikononi (hasa simu). Imefika kipindi mtu...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Hallo, Najaribu ku update taarifa kwenye database inanikatalia kila nikijaribu code zinagoma sijajua wapi nimekosea wana IT. Ila nimejaribu kuingiza I'd manual inakubali ku update hiyo I'd...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari zenu wana JF. Kama ulishawahi ku download Clubhouse ila hukuweza kutumia kwa sababu hukuwa invited. Nina 10 invites kama utahitaji nijulishe niku invite for free. Kizuri kula la mwenzako.
0 Reactions
1 Replies
760 Views
Wakuu kama inavojulikana kuwa jf ni kisima cha maarifa ...leo nakuja na tatizo nahitaji msaada Ni hivi pc yangu kuanzia Jana inazingua kile kidude cha kuzungushia kassa imean kile kinakua pamoja...
0 Reactions
1 Replies
664 Views
Which is better ...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Ni simu nzuri? Camera yake iko vipi? Or nibaki na a21 yangu tu nisichezee pesa
0 Reactions
64 Replies
9K Views
Wadau ninahitaji msaada, Nina login Twitter, inahitaji ni verify namba. Licha ya kuweka namba, na wao kuniambia kuwa wametuma ujumbe, siupati. Nimesumbuka zaidi ya week sasa. Nimejaribu...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
nna iPhone jaamaa ana Samsung anataka tubadilishane, nataka maoni kama is it a right thing to do! Ipi yenye value nzuri?
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Kampuni ya LG Electronics leo imesema itafunga Biashara yake ya utengenezaji wa simu janja ambayo kwa takriban miaka sita imepata hasara inayofikia Dola za Marekani Bilioni 4.5 Kampuni hiyo ya...
4 Reactions
37 Replies
6K Views
Habari zenu? Hivi hiyo screen shot hapo ina maanisha kitu gani kimetokea kwenye simu yangu?
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wadukuzi walilipwa karibu dola milioni 5 ili kuanzishwa tena kwa shughuli za Colonial Pipeline, moja ya kampuni kubwa zaidi za mafuta nchini Marekani (USA), ambayo ilifungwa kwa muda kutokana na...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ushawahi kujiuliza kwanini ukigoogle kitu inakuwaje kuna tovuti zinatokea juu na nyingine chini. Yani mfano unaweza kugoogle coronavirus, ikakwambia kuna majibu billion tatu sasa inakuaje kuna...
11 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari wakuu. Nina simu ya Tecno POP1 ina Android 7. Naomba muongozo namna ya kwenda Android 8. Natanguliza shukrani za dhati.
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za leo wadau, naomba msaada wa software inayoendana na pc yangu, ninatumia Microsoft surface go yenye RAM ya gb 8 na proccesor ya Intel(R) Pentium(R) CPU 4415Y @ 1.60GHz 1.61 GHz...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mafundi wa mambo kati ya samsung A51 na oppo reno Z ipi ni kali, nimepitia online naona oppo kama vile wanambeba hivi??
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Wakuu mambo vp Ebwana nmekutana juzi na hizi wireless speaker zinapiga hatari... Sasa kwa hapa bongo naomba kujua naweza kupata kweny maduka gani?
0 Reactions
71 Replies
19K Views
Back
Top Bottom