Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
MaxMalipo ilikuwa moja ya kampuni zinazofanya vizuri kwenye tech space in Tanzania. Ila kwa sasa ni kama inaelekea kufa hivi. The payment industry ni moja ya industry inayokua kwa kasi, hasa hasa...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa Sasa nakutaka na hii shida nikidownload app hizo napotaka kuzifungua ili ni install inagoma,shida nini?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nahitaji king'amuzi ambacho naweza kupata channel za hapa nyumbani na zile za movies za kizungu sio za kihindi nahitaji HBO na zingine nyingi za miziki ya kizungu, je nifanyeje? Naomba maoni yenu...
5 Reactions
21 Replies
6K Views
Hii Simu nilinunua mwezi wa 9 mwaka jana, mpaka inafika mwezi wa 12, nilikua nshaweka screen protector 3 (ya elfu 5, elfu 7 na elfu 10). Ukisahau 100 mfukoni, au ukaichanganya na funguo, unakuta...
10 Reactions
31 Replies
6K Views
Wakuu simu yangu ina niletea huu ujumbe , Enter Network Unlock Code Naomba msada pls wazee nimekwama
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Salam ndugu zanguni. Naomba kufahamu ni desktop computer yenye sifa zipi inauwezo wa kufanya kazi za kuzalisha na kuhariri picha za video, naomba kusaidiwa hili kwa wataalamu wa humu jukwaani...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Msaada wako! Na ushauri pia ni muhimu mimi nashindwa kabisa ku download series kwa ktumia simu nikitumia chrome,opera min, phoenix. Nikiweka series nyingi kuanzia EP sod 4 na kuendlea ina download...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Simu yangu mtoto kai-format yote, je in njia gan au app gani nayoweza kuitumia kurudisha vyote alivyovifuta?
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna ambaye ameweza kulihack shadow fight 3 licheze offline anayeweza atuoe msaada wadau tuenjoy Game nzuri sana hii tatizo ni online simnajua hatuwezi eka bando kila siku
0 Reactions
0 Replies
504 Views
NEIL POSTMAN SPEECH TO THE GERMAN INFORMATICS SOCIETY OCTOBER 11, 1990 STUTTGART The great English playwright and social philosopher George Bernard Shaw once remarked that all professions are...
1 Reactions
1 Replies
565 Views
Ukiachana na matoleo mengine hii simu ya samsung A02 ipo vyema Chaji inakaa sana na chaji betri 5000mah Upande wa kamera ni ni kawaida iko quality Peformance yake ni nzuri ipo fasta mpaka...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Wakuu msaada wa App inayoweza kufanya jambo hili -: App inayoweza ku translate "voice " Kuwa "text " Please hata kama ni program ya PC. asante sana karibuni.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naomba maelekezo namna ya kurudisha mfumo wa vibration kwenye simu yangu(Infinix Hot 8). Tatizo hili limeanza siku za karibuni, nimeingia kwenye "settings" nimeset on for incoming calls lakini...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari za muda huu na tumia netflix cracked mod premium 7.1 nilichukuaga online ila kwasasa imekuwa nzito sana hasa wakati wa kuchagua link ya kudownload inaweza chukua hadi dak 6 huku mnara ni 4G...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wakuu. Nina Camera aina ya Canon EOS T4i 650D. Mimi si mtaalamu wa Kamera. Tatizo langu ni pale ninapochukua Video kila inapofika Dakika 30 inajizima automatic na nikitaka kuendelea...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nimejaribu kufikiria wapi ntapata gaming pc case kwa hapa bongo nikipengele kidogo kupata pia nimeajibu kuangalia mtandaoni...zipo hata bei yake si yakutisha sana ila mpka ifike hapa naona ni...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu nahitaji hicho kifaa kwa ajili ya kuboost Mtandao wa simu eneo nililopo kwani mitandao yote ipo chini sana. Nikipata kichosave angalau Kipenyo cha mita 500 itakuwa poa sana. Kwa yeyote...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari, ukitumia mfumo wa gesi kwenye magari unapunguza gharama kwa 60%, yaan ni 150-200km kwa 15500/- na gari inakuwa na nguvu ile ile.
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Msaada wa kurestore simu imejiweka pin Mara nyingi sasa inanipa 24 hours ndio niweze weka pin na mi nahitaji kutumia muda huu nisema ni flash kila kitu kitajifuta msaada wenu nitumie njia gani...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, Ndugu zangu leo nimekuja mbele yenu kuomba msaada wa kupata elimu ya ya kuflash na ku unlock simu ikiwezekana hata kupata na software za kufanyia hiyo kazi nimeanza kujifunza...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom