Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu habari bila shaka mu wazima. Wakuu naomba kujuzwa nawezaje kuchora michoro mizuri hasa ya physics na mathematics kwa muda nao andaa mtihani Huwa naona muonekano wa michoro ya kwenye...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Adobe Photoshop Lightroom 5 Multilingual Software informations Publisher (s) : Adobe Systems Incorporated Os Software : Windows Compatibility : Windows 2000/XP/Vista/7/8 Licence ...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
wakuu habari za mda huu, Wakuu leo nimepoteza simu ni samsung galaxy A31 hivi naweza kuipata nna imei namba zake kwa sababu box lake ninalo. Naomba kuwasilisha.
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Naomba msaada kwa wenye kufahamu namba za Wahusika wakuu wa Cyber crimes (TCRA) nimeibiwa simu na IMEI namba ninazo Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Wajasilimali wengi wamekuwa wakiishia katika majonzi mazito na kukata tama baadaya ya kujikuta yale walio tegemea kutoka katika tekinolojia hii ya kutotoa vifaranga kwa kutumia mtambo...
1 Reactions
7 Replies
8K Views
Hello World. Huu uzi ni special kwa Junior front-end developers au experienced back-end developers ambao wanataka kujifunza mawili matatu kuhusu Front-end designs Pia, ni special kwa wale wote...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Kama kichwa kinavyosema, Sijui kampuni ya kimagharibi hata moja, Uchina anajitahidi kuja juu na Hisense lakini bado Japan itadumu na kudumu sana. Kampuni gani ambayo haijaanzia Japan? Na ni...
1 Reactions
62 Replies
7K Views
Toka apple ameachia processors za Silcon M1 based on ARM achirtecture, ambapo zimeishinda processor ya intel yoyote yenye nguvu katika single thread kuanzia kwenye graphics rendering, na kila kitu...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Naombeni msaada wa jinsi ya kuona likes kwenye post za instagram maana nimeuliza instagram centre maelezo wanayotoa na instagram yangu ipo tofauti kabisa kama unajua naombeni msaada wenu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naona sikuhizi ukiwa na bajet yako ya kuanzia laki 4 na kuendelea karibu kila simu ina uwezo wa kutoa picha safi tu, nahisi 2025 kigezo cha kamera kitakuwa sio tatizo kabisa
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Mwaka jana (2020) mwezi wa kwanza TCRA ilitoa wito ya watu wote kutumia .co.tz na ukitumia .com ni kosa ambalo unaweza kulipishwa faili au kifungo. Swali langu ni je, mpaka sasa sheria hiyo ipo...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Natumia modem ya huawei wingle ambayo pia ina wifi, changamoto kubwa inakuja kuwa watu wanaopata wireless kutoka kwangu wanatumia kwa rafu hivyo inaisha mapema, je kuna njia ya ku limit data au...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Habari wana jamvi! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, hizi ni frameworks zinazotumika katika back end web development! Django ni framework for python na laravel ni ya PHP! PHP ina framework...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Application hii ambayo nimeitengeneza ikiwa ni sehemu ya kujifunza Computer programming ,inawezesha kuingiza neno moja halafu,herufi za hilo neno zinaweza kutumiwa kuunda maneno mengine.Mfano...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari ya jioni ndugu zanguni nilikua naomba kuuliza picha ya kuscani inakuaje pindi pale unapochora kwa pencil na kuuscani katika Epson printer au photocopy machine. Kwa maana nilijaribu kuscan...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba Kujua Utaratibu wa Namna ya Kufungua Google akuanti ya Kikundi cha Kijamii (Vicoba) kwa Ajili ya Kuomba Usajili. Msaada Mwenye Kujua naomba ufafanuzi Please.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu nataka kujua hawa wakubwa wanakwendaje na teknolojia ya simu janja Mh Jakaya Kikwete anatumia simu gani hapo na specifications zake ni zipi?
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari za majukumu wana Jamiiforum Nina mpango wa kuanzisha microfinance co. Ndani ya mwaka huu na nilikuwa naomba ushauri juu ya software/accounting package nzuri ambayo naweza kuitumia...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Tecno imetangaza kuwa Chris Evans (captain america) ndie Global ambassador wao ambapo May 6th Ata launch Online event ya Tecno Camon 17 ikiwa hiyo ni moja ya stage ya kupanua soko lao [emoji2369]
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Habar wadau !! Naomben kujua wapi naweza kupata blue ray disk drive au BD -DD cd zake zinaitwa BD -R zina 40GB empty space. NOTE : BD -DD sio DVD disk drive hz zinazokuja na computer hz ni...
1 Reactions
7 Replies
887 Views
Back
Top Bottom