Jamani kwa heshima na unyenyekevu mwingi, nimetengeneza application ya kutazama live Tv online lakini bado sijaiweka Play store kwa hiyo unaweza ukaidownload kwa kubonyeza link hiyo chini, Kuna...
Chinese Giant Company ya Mobile phones na electronics imekamatwa na twitter police baada ya kupost tweet Ya kuisifia simu yao Mpya Mi 11 kwenye post ambayo ilikuwa inatania kuhusu Kuvunjika kwa...
Wadau kama kuna mtu mwenye APP ya easy worship yenye Biblia ya Kiswahili naomba anisaidie ni kwa ajili ya pc. Natanguliza shukrani
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Wakuu,
Nimechoka kununua protector za simu.
Ndani ya miezi miwili nimebadilisha protector kama mara tano.
Protector za siku hizi wanauza mpaka tsh 2000, ukiweka kwenye simu halichukui muda...
Kwanza kabisa nikiri hii ndio simu yangu ya kwanza yenye 4G internet yenye kasi sana.
Inakaa na chaji siku 2 with data on.
Inatoa picha nzuri sana usiku.
Ina camera 4.
features zake ndio hizi.
Whether you've been using Windows 10 for years or have only recently upgraded, there are plenty of new and old tips, tricks and hidden features to learn that will make using your laptop every day...
Kampuni ya Teknolojia ya Huawei inatarajiwa kurusha satelaiti mbili angani mwezi Julai, 2021 ikilenga kuingia katika teknolojia ya intaneti ya 6G.
Kampuni hiyo ya China imekuwa mstari wa mbele...
Katika nakala nyingi ambazo nimezipitia na kuzifanyia utafiti kwa kiasi fulani zinaelezea kuwa katika muziki drums ni kitu muhimu sana ambapo huweza kuleta radha nzuri na kumfanya mtu atikise...
Wadau mnaotumia sana talakirishi (computer) nimekuwa nikiona watu wengi wakitumia anti virus kwenye window computer zao ikiwa window inakuja na sucurity yake (window defender). Kipi bora kutumia...
Habarini,
Nimeona nilete hili swala kwenu maana limenipa utata sana ili nipate mawazo yenu.
Nmepoteza simu yangu iphone 12 pro, sasa katika kuitafuta kwa kushirikiana na polisi(cyber unit)...
habari za leo. Nawataarifu kuwa kuna wezi wanazunguka kwenye vituo mbalimbali wakidanganya watu kuwa wanawarekebishia vifurushi vilivyotajwa na Mh Raisi. Wana swap simcars kuchykua taarifa za...
Habari wakuu?
Msaada kwa watu waliopo kinondoni ambao wanafaham SP ambae anatumia fibre. Nimejaribu Zuku ila wanaishia Ada estate, kama kuna anaefaham nyingine iliyo vizuri msaada tafadhari...
Salam wakuu
Nilikuwa natafuta game la PES 19 offline kwa simu za Android nimejaribu Kusearch Google lakini ninayokutana nayo ni ya online, kwa ambae analo la offline naomba.
Sent using Jamii...
Wakuu salama?
Nimejaribu kufanya malipo kwa Netflix kupitia Visacard lakini haikubali. Nilisajili kupitia App yao ila ukifika pale kuweka namba za kadi ya benki inakatalia hapo.
Nahitaji...
Jeshi la Maji la Uingereza limefanya majaribio ya kutumia mavazi maalum yanayomwezesha mtu kupaa kwa lengo la kuboresha operesheni za kuzuia uharamia baharini.
Kampuni ya utafiti wa teknolojia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.