Uamuzi wa kampuni ya simu ya Samsung kushusha bei ya simu zake aina ya Galaxy S21 unaonekana kuipa faida kampuni hiyo baada ya kumpiku mpinzani wake wa karibu, Apple katika mauzo ya simu duniani...
Naipenda sana hii gari, muonekano wake tuu.
sina uzoefu na magari maana ndo hii ya kwanza nataka ninunue
mazingira yangu ni barabara vumbi na mashimo ya hapa na pale
naombeni mnipe uzuri wake...
Unaweza kuwa umetengeneza Application ya Mjziki, Michoro, Ramani za Nyumba, Vitabu, Video au chochote kile.
Ku access hivyo vitu mtu inabidi alipie. Unatumia njia gani watu wafanye malipo...
Kila mara simu yangu inaleta notification ya kuonesha haina free space na ikizingatiwa ina sijaweka vitu vya kuielemea, na ina internal ya 64GB.
Tatizo ni nini?
Habari
Nina Simu aina ya Sumsung J2 iliokotwa week iliyopita, nimeweka laini ikawa inafanya kazi vizuri kilakitu leo asubui kuifanya imeandika EMERGENCE CALL maana yake haisomi mnara...kingine...
Habari wanajukwaa,
naamini kwenye jukwaa hili kuna wataalamu wa kada mbali mbali na ndio sababu ya jf kuheshimika na kuzidi kuwa na wanachama wengi tujipongeze kwa hilo. Bila kupoteza muda niende...
Habari wadau..nipo Mkoani na hapa kwenye kamji ketu Airtel walifunga 4G kwa hyo nikaenda ku swap line na mimi ni enjoy 4G,ajabu imekuwa mateso internet napata kasi nzuri ila nikipigiwa sipatikani...
Hii imekaaje wadau , Simu unakuta ipo Current updated na iOS inayooaswa kabisa mfano 12.5 lakini kuna watu wanafanya maujanja wanapandisha hadi kwnye 14.5 ambapo hii ninuodate ya simu kubwa na za...
Msaada Wakuu kama ilivyo JF ni home of intellectuals naomba mnisaidie jinsi ya kupata program za ADOBE PHOTOSOP na ndugu zake wote kama ADOBE LIGHT ROOM na zingine.
But zisiwe ni za kununua. Hata...
Naanza mimi, Mimi PC yangu ni kwajili ya matumizi ya kawaida na kitaftia pesa mtabdaoni kuanzia blogging, freelance , n.k
Mozilaa firefox kwajili ya kuperuzi internet.
Google chrome kwajili ya...
Wadau wa drafti natafuta app ya drafti ambalo litakua gumu kushinda ambalo ni offline.
Kila ninalo jaribu kudownload ama nakuta jepesi kweli hata kwenye difficulty level au nakuta halina settings...
Hi,
Habari zenu ndugu zangu.
Hivi karibuni nimepokea toleo jipya la android (android 11), baada ya kufanya update, nimekumbana na tatizo kwamba simu inafuta miziki yenyewe kila ninapoipakua...
Nataka kufanya in app purchases kwenye game moja. Lakini nikitaka kufanya manunuzi naletewa sanduku nitype namba ya credit au debit card. Hakuna njia mbadala ya kununua app au features fulani...
Kama title inavyojieleza, Mara nyingi nmekua nikitumia internet kwenye PC kwa kutumia tethering hasa hii ya WiFi hotsport,
Sasa majuzi nmebadirisha simu na hapo ndipo tatizo lilipoanzia, kila...
Habari wanJF,
Nimekuwa nikishagazwa sana na bei ya SSD na ukubwa wake maana nyingi ninazoziona ni GB150 mpaka GB25.
Ila bei yake imechangamka sana je! matumizi yake yapoje au hazijai mapema...
Habari zenu wakuu.
Naomba kujua sehemu gani hapa Dar es salaam naweza kupata ribbon za kwenye typewriter maana nimezunguka katika stationary kadhaa sijapata hizi vitu.
Miaka fulani hivi huko nyuma kulikuwa na toleo fulani hivi zilikuwa zinakuja na inbuild projector baadae sikuziona tena sikoni. Vipi ziliacha kutengenezwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.