Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habarini wakuu, Nisiwachoshe sana,natumia simu aina ya iphone ambavyo kama mnafahamu application nyingne ni za kununua. Kuna app niliyokuwa naitumia kumbe iliisha muda wa trela na kurenew na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau naamini nimefikisha issue yangu mahali husika, ingawa nilipata tabu kidogo niipost katika jukwaa lipi kati ya hili, sayansi na teknolojia au jf store. Nina mradi wangu wa duka la bidhaa...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habarini Wakuu.Nina King'amuzi changu cha azam sikukitumia yapata 4 months,leo nakiwasha hakiwaki..nikajua tatizo ni adapter,nikakijaribisha kwa jirani yangu kupitia adapter yake..lakini bado...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Wakuu nina swali kidogo. Niliagiza display ya laptop kutoka eBay trh 23 mwezi wa 6 na imeonesha kua tarehe 6 (Jumatatu) mzigo umeshapita customs na status imeandika Hold item at Point of...
0 Reactions
58 Replies
9K Views
imejiunga na mtandao wa Go Fund Me katika harakati za kujaribu kutafuta fund ya wazo langu la kijamii. Ishu nimekwama nikianza kufanya process ya fundraising nakosa option ya kuweka nchi ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nataka nibadili PDF Document kuwa katika Word Document/format bila kuharibu mpangilio. Nifanyeje au kama kuna mtu anaweza anibadilishie.
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Rejea mada tajwa hapo juu... Desktop yangu imekua haitoi sauti pale napochomeka waya kupitia kwenye sehemu ya headphones, ila yenyewe kama yenyewe inatoa sauti ya ndani. Nimejaribu ku-update...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ilizinduliwa mnamo mwaka 1998 na wanaanga wamekuwa wakiishi humo tangu wakati huo. Ni mahali muhimu kufanya majaribio na utafiti wa anga ambao utasaidia tafiti za baadaye kuhusu maeneo kama Mwezi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
jana nimeifungua pc(laptop aina ya lenovo) nakuremove cooling system kwenye processor na kuifuta vumbi,baada ya kuirudisha ikawa nikiiwasha inawaka baada ya muda inajizima yenyewe til nw cjapata...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Waungwana, nahitaji msaada wa ku-unlock modem/router mbili ambazo nimenunua toka kwenye mitandao ya simu Tigo na TTCL hivi karibuni. ya TTCL ni: 4G USB Wingle Model: W02 ya Tigo ni: Mobile WiFi...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Habari wana JF na Techs, naomba msaada Kompyuta yangu nikiplay video yenye resolution hubwa kama 1900*1080 inaganda sana Taarifa za kompyuta: Dell Win 10 1.5Ghz atom 2gb RAM Player VLC Nifanye...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Siku njema, fursa ya uwekezaji ya maisha ya maisha iko hapa kwa ajili yako kama unavyoweza kuwekeza kwa urahisi bitcoins yako na kupata faida zako kwa usalama na kwa urahisi kwa mkoba wako wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu nimkuwa nikitumia application ya videoder kupakua vitu mtandaoni,lakini siku hizi naona kama inaniletea mauzauza mengi na hata nikitaka kudownload kitu inagoma. Nimejaribu kufanya...
2 Reactions
23 Replies
8K Views
wadau kwa wanaotumia modemu za 4g naomba kuuliza hapo kwenye speed huwa inasoma ngap? natanguliza shukran
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Waungwana habari zenu....Nina hii Modem ya Huawei E303 ya Vodacom... Tatizo ni kutumia line yao tuu...Naombeni mautundu nii-unlock ili ma-line mengine yahusike.Natangulizamo shukrani za...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini wana JF. Kwa leo ningependa kuja kutoa huduma ya bure kwa wale wanaotumia modem za mtandao mmoja (SIM Locked) na wanataka kuzifanya ziwe universal. Comment hapa ntakua online kuwasaidia...
1 Reactions
41 Replies
6K Views
Habari wadau wa JF naomba kuuliza smartphone za siku hizi zina canera nyingi kuna macho ma 3-4 na kuendelea, swali linakuja hizo camera zote hizo zinafanya kaz gani? ..maana mimi sjawahi kuona...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu naomba kujua kama kuna fiber internet provider yeyote ambae huduma zake zinafika mpaka Maeneo ya Tabata. Naomba Contact au Website name..
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wakuu. Natumia app ya writer plus kuandika kazi zangu. Sasa kuna kazi nimeandika haionekani lakini inasoma kama ipo vile. Ili kuwa jazi ya maneno 5,000. Na characters kama 35000. Inasoma...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni katika wakati ambao nilikuwa nawaza ni kwa namna gani nitaweza kukusanya michango ya ahadi kutoka kwa marafiki zangu walio mbali au nje ya nchi kwa njia rahisi kwa shughuli hiyo na ndipo...
8 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom