Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Aisee wakuu kuna aliyebahatika kupata nafasi kwenye hii kitu hapa chini? === Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe (MB), amefungua mafunzo kwa mafundi simu za mkononi...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Iko hivi Kuna pc ni DELL nilikua naitumia kwa shughuli za apa na pale sema, Kuna Toto moja Cha utundu kweli cjui alikkua ata ana taka agundue Nini kaibandua key board, almost kaivunja flani hivi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu, Mimi natumia internet ya Ofsini kwetu Ethernet/WiFi iliyowekwa na Internet Providers....tatizo ni kwamba huwezi kutumia mtandao wa Instagram na Twitter mpaka uwashe VPN...
0 Reactions
2 Replies
852 Views
Kwa wale wanaotaka kubadili brand na kwenda brand maaarufu kama Samsung kuweni makini hasa kwenye Samsung A series". Ukifuatilia kwa makini utagundua kampuni ya Samsung wametoa A series kwa ajili...
3 Reactions
80 Replies
13K Views
Wadau naomba mnijuze, Je, ni simu gani hapo ina ubora zaidi kati ya simu tajwa hapo juu.
7 Reactions
305 Replies
41K Views
Katika maisha yangu simu ya kwanza kununua ni Siemens kidole mwaka 2007 mkononi. Sikuwa na matumizi sana wala maana yeyote kwangu. Miaka kabla ya android kuwa maarufu na kuenea TZ ulikuwa...
19 Reactions
115 Replies
13K Views
Although Einstein's theories suggest nothing can move faster than the speed of light, two scientists have extended his equations to show what would happen if faster-than-light travel were...
2 Reactions
57 Replies
5K Views
Habari zenu wakuu. Laptop yangu nikiiwasha inaniletea maandishi yafuatayo: BOOMGR is missing... Press ctr+alt+delete to restart Tatizo ni nini hapo wakuuu
1 Reactions
3 Replies
742 Views
Habarini ndugu zangu. Mwenye ujuzi naomba anisaidie, account yangu ya biashara ambayo nilikua na promote products zangu ghafla inakataa inanipa ujumbe huu.
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari wana jamvi! Naomba niende moja kwa moja kwenye hitaji la uandishi huu wa uzi. Naomba kuuliza wapi hasa kwa Dar es Salaam (panaweza kuwa Kariakoo) au sehemu nyingine naweza kupata betri...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nadhani wakuu swali langu limeeleweka maana nimepitia YouTube naona wakifanya test ya kuzitia kwenye maji na wala hazionyeshi kuharibika nakua sawa kabisa na wengine hufikia kuzigandisha kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
baada ya premise kuanza kuzingua hv. karibuni ktk utowaji w task zao ,imefka hatua kW cku unaweza ambulua task 1 au ucpte kbsa ssa naomb kujua km kun app nyengne nzur y inayo fnya vizur km premise?
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Wakuu kuna alama inatokea kwa juu kwenye notification pale, nimejaribu kufactory reset ila bado ipo, ukiwasha data au ukizima bado ipo tu, ila ukitoa lain ndo inapotea. Ukiweka tu lain inakuja...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mama yangu ana nokia C7 sijui hata alichokifanya ila inaitaji password ili simu iwake naombeni msaada wenu wa jinsi ya kuitoa hii password hapa maana nimejaribu kubonyeza cha kuwashia + home...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Baada ya kutaabika na TV la chogo takribani miaka 10 mfululizo nimeamua kubadilisha nami nihamie kwenye udigitali kama wenzangu. Nimepanga ninunue TV ya inch 32 ila sijajua ninunue aina ipi nzuri...
5 Reactions
415 Replies
114K Views
Habari, Msaada kwa anayeelewa namna ya kujiunga na Twitter account. Najaribu nashindwa nikifika mwisho inakata..
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Najaribu kuiconnect simu na pc inaniandikia kama inavyoonyesha kwenye picha
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za jumapili wana Jamiiforums, Nina simu ya TECNO CAMON nime RESET lakini kila nikiweka google account ili iweze ku finalize inakataa inaandika THIS DEVICE WAS RESET.TO CONTINUE,SIGN IN...
0 Reactions
3 Replies
946 Views
Habari za muda huu, hii ni mara yangu ya kwanza kuagiza mzigo na nimekumbana na tatizo hilo baada ya mzigo kufika nchini. Mzigo wenyewe sio mkubwa sana nilinunua kwa Ali Express. Carrier ni...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Mpaka Sasa sijapata jibu kuhusu wajamaa kuwa ni kiki wanatafuta, Wamepigwa ama Kuna ubunifu gani umetumika hapa. Kwa taarifa walizotoa ni kuwa imechukua Miaka mitatu kukamilisha hii design Mpya...
5 Reactions
73 Replies
7K Views
Back
Top Bottom