Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habarini bandugu Ni hii simu yangu aina ya samsung galaxy A02s leo imeniponyoka kutoka mkononi urefu ni saizi ya kiuno imefikia kwenye malumalu imepata nyufa za kutosha kwenye kioo kubwa kuliko...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Haya wale bloggers wenzangu siku zote nasema kizuri share na wenzio usikae nacho ukafa nacho watu wakabaki masikini. Kama umefungua blog na unapost mambo za kiswahili nakushauri acha maramoja njoo...
6 Reactions
45 Replies
5K Views
habari ndugu zangu kwenye jukwaa hili, ninaomba mwenye kufahamu vitu muhimu vya kuseti kwenye developer options kwa simu inayotumia mfumo wa android na kazi yake,shukrani. Sent from my TECNO K7...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wakuu, ninahitaji direction kidogo kwa Dar es salaam; ni wapi naweza pata huduma ya kuaminika (fundi) ya kufungua router tajwa kutoka kampuni ya Tigo, ili niweze kuitumia na line nyingine...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Programu maarufu ya GIMP inayotumika katika sanaa za ubunifu na uchoraji muda mfupi uliopita imezindua toleo la GIMP 2.99.2, toleo hili jipya linakuja na mambo muhimu mfano wa refactoring...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Kwanza poleni kwa majukumu ya kusaka chochote kitu ili maradi mkono uende kinywani. Nina tatizo pc yang aina ya Hp inanisumbua sana upande wa wi-fi kila napo jaribu kufungua wi-fi inagoma kama...
0 Reactions
2 Replies
920 Views
Kuna mwama falsafa aliwahi kusema "Wazo bora ni lile unaloshindwa kulisema hadharani/wazi" Naomba na mie niseme kwamba Technology si taaluma yangu ingawa kwa siku kadhaa nimekuwa nawaza juu ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wataalam kuna hii simu tajwa hapo juu inatumia line mbili ila iko locked kwenye vodacom. Nimejaribu kuunlock kwa kutumia NCK Android MTK ile cracked nimeshindwa. Nakutana na error 36 phone not...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Mtoto kabadili password kwenye simu yangu sumsang s8 plan Naomba msaada jinsi ya ku unlock bila kufuta taarifa zangu zozote yaani bila ku restart simu sababu ni za mhimu sana Nakumbuka Email...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwa anaejua jinsi ya kukifanya king'amuzi cha startime kionyeshe channel zote free atupe maujuzi maana huku mtaani kwetu kuna majamaa wanapita nyumba hadi nyumba kufanya iyo kitu kwa buku teni
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Poleni na majukumu ya kila siku, jamani naombeni kupatiwa hiyo program "Microsoft Office 2007 with product key". PC yangu haina hii program inanikosesha raha ya kuitumia. Mwenye nayo msaada tafadhali!
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wadau naomba msaada, hii TV yangu LG flat screen, ilidondoka kutoka juu ya kiti, sasa imefanya kama wino umevujia na karibu robo tatu ya screen haioneshi picha. Ni kaupande kadogo pembeni ndio...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hello wana JF! Leo nimetoka zangu kazini kufika home nikakuta mtoto amepasua kioo cha TV flat screen nchi 42 ni Samsung na inaonyesha mistari tu yaani haionyeshi kitu. Naombeni msaada wakuu...
2 Reactions
61 Replies
12K Views
Habari zenu wakuu, baada ya kusoma threads mbalimbali humu jf zinazohusu website na blog hatimaye nika gain kitu nami nikatengeneza blog yangu kwa kupitia muongozo wa humu jf na sites...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Kwa wale ambao wana tatizo la kuchomewa account zao za fb pale wanapojaribu ku share posti zao tumieni hii njia. 1. Login fb account yako. 2. Tafuta caption zile zenye picha za "type amen", "yes...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za muda huu ndugu zangu? Ngoja niende kwenye point huwa na tumiaka Fzmovie kushusha movie nazozitaka ila siku hizi naona mambo yamebadilika yaan nikibonyeza movie mfano Iron man...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada kuna tatizo kwa hiyo PC ghafla imeleta hiyo shida uki connect adopter inakuwa inaonyesha iko connected lakini haiichajishi battery.
1 Reactions
6 Replies
860 Views
Habari za wakati huu wandugu, sina shaka mko poa kabisaa eebana leo naomba tusaidiane na kuelekezana setting mhimu na za lazima kweny simu zetu hasa hasa kweny upande wa setting za siri...
2 Reactions
94 Replies
13K Views
Back
Top Bottom