Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nikitaka niweze Ku provide fiber niwe internet provider Kwa kijiji kidogo mfano nyumba 200.. Natakiwa nifanyeje..? Nianzie wapi?
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari, Niende moja kwa moja kwenye mada, Miezi miwili nyuma niliingia mtandaoni kupatana na kukutana na samsung m31,ambayo niliipenda na kumtafuta mhusika maana sikuwa na hela yote 500k,maana...
4 Reactions
54 Replies
11K Views
Wadau. Kama wewe ni developer au unamiliki application nafikiri utakuwa unasumbuka sana na tatizo la ama kupata matangazo ya facebook au admob. hata kama yakipatikan ni nadra sana kudumu kwa muda...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari Wana JF, Leo tutaendelea na mada yetu ya akili bandia upande wa afya. Tutaangazia nyanja mbalimbali za afya ambapo akili bandia AI hufaunya kazi na nini matazamio yake siku za mbeleni...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Baada ya Vodacom kuidindisha TCRA na kukomaa na vifurushi vipya ,swala la kutemana nalo halina mjadala. Nimesajili line ya ttcl lakini simu nayotumia ni ya voda. Nafanyeje ili niweze tumia line...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habar wadau!!! Naomben mnisaidie hii issue nimekaa chin nimefikiria nikaona hii mbinu yaweza juna bora zaid ili kumanage mafile ktk pc sasa shida ni kuimplement . Shida yangu ni moja tu nataka...
0 Reactions
4 Replies
695 Views
Wana JF naomba mnisaidie jinsi yakurudisha account yangu ya Facebook maana kila nikijaribu kuingia inaomba msimbo wa kuidhinisha katika uingiaji tatizo linalo nisumbua msimbo hautumwi kwenye namba...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wapendwa, mwenye kujua naomba anisaidie jinsi ya kutambua mambo yafuatayo kwenye simu ya Samsung M31S. 1. KUWA ni mpya na haijawahi kutumika 2. Ni original 3. Used au 4. Refurbished/Copy...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Poleni wandugu kwanza. Ni kwamba kuna kazi nafanya na laptop yangu ya siku nyingi Acer Quad Core 8gb ram. Sasa shughuli nyingine masaa 18 inachapa mzigo nazima nusu saa. Halafu inapiga masaa...
4 Reactions
75 Replies
41K Views
Kuna mtu nimempipia simu ikapokelewa lakin hakuongea nikakata simu,baada ya kukata simu ikaingia text inayoonesha. Connected,A,EXPW:ON,[URL="http://maps.google.com/maps?q=-3.379723,36.669060&t=m...
1 Reactions
3 Replies
890 Views
Habarini wanaJF Jana usiku jokofu langu limezimika ghafla but sijafahamu tatizo ni nini, na nina utundu kidogo na mambo ya umeme. Naombeni ushauri wa mawazo na maoni pia. Ahsante
0 Reactions
11 Replies
9K Views
naomba kujuzwa nitajuaje hii simu ni original na hii ni copy? na pili simu ambazo ni copy unaweza kuroot?
0 Reactions
43 Replies
13K Views
Wakuu wa mambo haya nisaidieni namna ya kujua Aplifier inatakiwa itumie input power volt ngapi kwa kutumia multimeter na namna ya kujua kuwa Amplifier imetoa watt ngapi na inatakiwa nitumie spiker...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Asee wadau hiyo paid video view, kuna mtu alishaitumia yani ni kama website flani hivi wanakwambia uangalie video harafu wenyewe wanakuwa kila ukiangalia video ya dakika wanakulipa, sasa je ni...
5 Reactions
19 Replies
5K Views
Wadau kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, ni mara ya pili sasa nanunua charger kampuni ya Oraimo, Mara ya kwanza nimenunua nikatumia kama miaka miwili alafu ikafa charger na kufa kwake kichwa cha...
2 Reactions
107 Replies
46K Views
Kampuni ya teknolojia ya LG imetangaza jana Jumatatu itasitisha uzalishaji wa simu janja. Kampuni hiyo kubwa ya teknolojia imetangaza kuwa imekuwa ukipata hasara kwa kipindi Cha Muda mrefu...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Title haina maelezo sana ila uzi ni wa homework. Yeyote anayejiamini atatoa homework ili watu wajifunze kupitia homework kufanywa na ukishafanya basi tupia solution yako. usianze ushamba wa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarini wanandugu kama kichwa kinavyojieleza naomba kufahamishwa namna bora yakuondoa google account kwenye simu ikiwa nimesahau password za hiyo email Naamini nitapata msaada katika hili
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Nimejiunga Telegram nashindwa jinsi ya kuitumia, naomba maelekezo. Nimekuwa nikifuatilia mambo mbalimbali naambiwa ingia Telegram utapata, lakini niingie sizipati. Nipeni maelekezo on how to use...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Njia rahisi zaidi ya kuelewa uhusiano kati ya Akili bandia (AI), Machine Learning (ujifunzaji wa mashine), na Deep Learning (ujifunzaji wa kina) ni kama ifuatavyo. -Kujifunza kwa mashine...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom