Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nahitaji msaada whatsupp app yangu ilianza kunisumbua kam one week ago ilikua haifanyi kazi yani haileti sms wala haitumi kwa data mode hadi utumie wi_fi ndo inakubali nikaamua nifute nikadownload...
0 Reactions
5 Replies
954 Views
Heshimayenu wakuu, Kwa mwenye kujua jinsi gani nitaweza kuondoa admnstrator password tafadali naombeni msaada, ikiwa ni step by step au ikiwa kuna software ambayo napaswa ku-download yote...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habarini wapendwa, nahitaji kupata API za NIDA kwa yeyote ambaye amewahi kuzipata naombeni procedures
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hizi huduma ni za muhimu sana ila mara nyingine zinaweza kukusababishia usumbufu ambao unaweza kujutia kuzitumia Mara kwa mara nimekuwa nikituma hela kutoka Airtel kwenda TTCL. Kama mara 3 hivi...
0 Reactions
4 Replies
761 Views
Wakuu habari! Naomba mwenye template nzuri ya blog anisaidie
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakubwa Heshima yenu katika pitapita zangu huko Twitter nimekutana na hizi picha mbili Yakwanza ni original photo ambayo imechukuliwa kwa sim na ya pili ni baada ya kuwekewa filter kiukweli...
1 Reactions
4 Replies
907 Views
Hi, Nahitaji motherboard ya HP Probook 430 G2. Kama unayo au kuna Mtu unaweza nilink nae nitashukuru. Contact: 0745 09 09 05 (whatsapp/calls)
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Salaam wakuu. Nikifungua App yangu ya Telegram sehemu ya Msg nakuta Screen imegawika katikati kati ya Chat na Contacts kitu ambacho mwanzoni hakikuwepo, ilikuwa nikifungua nakuta Chats tu, sasa je...
0 Reactions
0 Replies
649 Views
Poleni kwa majukumu waungwana; Katika harakati za kufanya Windows shopping, nimekutana na hii TV, brand ya TOSHIBA, 40 inch, LED, FHD, siyo smart Tv, ambayo pamoja na mambo mengine, ina ports 2...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hii ni game kongwe ya Call of duty wakija na mtindo mpya wa Battle royale, kutoka kutoka kampuni ya ACTIVISION, game ya style hii ndio mtindo unaopendwa kwa nyakati hizi sababu unaweza kucheza na...
7 Reactions
44 Replies
6K Views
Nlkuwa na angalia movie kwenye PC yang then charge adapter ilkuwa nyuma ya screen kama cm 15 iv baada ya mda kutoka kidg na rud after 30mn nakuta screen ime pungua mwanga sana fund aka niambia n...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina week ya pili sasa toka nilipofanya major update ya windows 10. Kwakweli sijaielewa naona haiko poa kama ilivyokiwa awali. Kuna minor changes kwemye UI pia nazo sijazielewa pia. Vipi wenzangu...
0 Reactions
9 Replies
985 Views
Hivi unaweza kuinstall Decoder mbili kwenye TV moja. Naomba maujuzi
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu. Natumai kwenye jukwaa hili wapo baadhi ya member ambao ni wataalam wa mambo mbali mbali ya kiufundi electronics, sasa mwenzenu kwa bahati mbaya leo hii mchana wakati nafungulia...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari mtandao wa twitter ulikuwa una sumbua katika simu yangu nikaona nijaribu kudelete kisha niinstall tena lakin ajabu kila nikijaribu kuinstall haukubali katika simu wala pc naomba msaada...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Hawa jamaa sijui watapunguza tena vifurushi vya chuo navyo mpaka wapi maana sasa wasiwasi umeniingia baada ya kupata hii meseji[emoji848][emoji848][emoji848][emoji24] Sent from my cupboard...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Ninatumia OPPO F1 PLUS inayotumia android version ya 5.1,hii simu niliagiza kutoka CHINA iikuja ikiwa tayari installed GOOGLE SERVICE Changamoto yake ni kwamba inagoma kujiupdate yenyewe...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari zenu wanajukwaa, poleni na pilikapilika za hapa na pale za kutafuta mkate wa kila siku. bila kupoteza muda niende kwenye mada. vifaa vyetu vya mawasiliano vinaweza kukabiliwa na malware...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Simu yangu inaandika "betery low temperature" Kisha inazima je tatizo nini
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari za sasa hivi wakuu. Msaada PC yangu inagoma kuleft click. Kwaiyo nikahamua kutumia external mouse nayo imeanza kumisbehave inaji double click sometimes msaada jamani nashindwa kufanya kazi
0 Reactions
2 Replies
447 Views
Back
Top Bottom