Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hope mna do poa. Recently nilikuwa nasikiliza DW KISWAHILI ilikuwa ijumaa mchana. Nilisikia kuhusu Safaricom kwa kushirikiana na Huawei na Nokia wanampango wa kuanzisha 5G kwa miji mikubwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamani habari za wakati wana jf nimeibiwa cm Aina ya TECNO K7 fingerprint na IMEI ya hiyo cm ipo nifanyenyeje msaada tafadhari?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nina simu aina ya T-Smart 4G niliyonunua Tigo Shop. Betri yake haifanyi kazi hivyo nimekuwa natafuta Betri bila Mafanikio Naomba msaada wa kujua kama kuna Sehemu kuna hizo Betri.
2 Reactions
16 Replies
5K Views
http://revenuebrust.com/?refcode=16220 Habarini wanajamvi, Hichi kitu kimetrend sana mtandao wa whatsapp mi nikaona nichukue link nithibitishe kwa JF, nikweli mtu anatengeneza pesa kupitia...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau Hii simu itakuwa na tatizo gani maana ukidownload app ya WhatsApp baada ya siku mbili lazima WhatsApp igome,nimejaribu kuclear kechi,data,restart,na hata kurestore factory...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu Naomba Msaada wa kuipata housing ya Hii laptop HP Notebook ilianguka ikaharibika upande mmoja na pia keyboard baadhi ya button hazifunction. Kama Kuna mtu anaweza kuwa na housing yake nzurii...
0 Reactions
0 Replies
512 Views
Habarin za alfajiri wana tech wa JF. Katika kusoma kwangu maswala ya umeme tangu o level had six na hadi sasa nimekuwa DIY (do it yourself) wa umeme hiz terms mbili nimekuwa nikizikariri na...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Za mda huu wadau wajf Ningependa kuwataarifu wale wasiojua kuhusu utapeli wa pyramid scheme huu mchezo unakuwa siku mpaka siku mpaka sasa wabongo ndo wanaanzisha wakishirikiana na wanigeria...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Toka wiki iliyopita simu inaniletea Manyanga haya je kuna yeyote anaweza nisaidia kutatua?
1 Reactions
46 Replies
3K Views
Hamjambo humu ndani, naomba kuelimishwa tatzo lililo nipata ili nijue pakuanzia . Subwoofer yangu aina ya AILIPU tangu ninunue ina miaka 4 ila tangu wiki ilio pita imenza tatzo la kupoteza bass...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika enzi hii ya teknolojia, kila siku tunaona mabadiliko mapya katika maendeleo mapya. Kasi ya kuvutia tunayoona, haswa katika teknolojia ya mawasiliano inashangaza sana. Na hapa ndipo 5G...
6 Reactions
19 Replies
4K Views
Vp wakuu! Nina pc yangu ya Window 10. Mm nataka niireset ila nacho hitaji ni hiyo window 10 ibaki isifutike. Kwa yeyote anayejua namna ya kureset pc bila kufuta window plz naomba anisaidie...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Watu wengi husumbuka sana wanapoandika ujumbe kwenye mtandao wa WhatsApp kutokana na hali kwamba herufi huwa na uzito sawa wa rangi katika hali ya kawaida. Aidha, mtindo wake huwa mmoja. Je...
12 Reactions
36 Replies
11K Views
Zijue kampuni za simu na NCHI zinazozimiliki. 1. Samsung-Korea Kusini 2. Tecno-China 3. Huawei-China 4. Lenovo-Hongkong 5. Nokia-Finland 6. Blackberry-Canada Tupieni nyingine
7 Reactions
49 Replies
12K Views
Nimechoka lipia king'amuzi amna anaejua ujanjaujanja
0 Reactions
2 Replies
443 Views
Nmechek youtube nkaona kuna kitu kinaitwa exagear kwamba unaweza run program za computer kama virtual dj au fl studio ukaweza tumia kweny smartphone ila kwang inagoma je kun mjuzi humu anisaidie.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Yaani huwezi amini tovuti ya dit ilivyo na muonekano mbaya vile mpaka keroo yaan nilitaka kuappy chuo kikubwa kama kila nikaongeze ujuzi kwenye programming ila baada ya kuona tovuti yao haina...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Msaada wa kutengeneza DVR Dahua njia 32 imeungua IC mbili zenye namba. 3PEAK TP8485E BDJs
1 Reactions
0 Replies
350 Views
Eti wadau naombeni hii ni App gani ya music naona ni ya iphone?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Naomba kutoa wito kwa jeshi la polisi kutumia program ya kuedit picha ya photoshop kumvua nguo zote mtuhumiwa aliyerekodi mkanda husika. hapa chini nawawekea video tutorial ya kufanya kazi...
9 Reactions
45 Replies
6K Views
Back
Top Bottom