Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Msaada tutani wazee natufuta hiyo kitu juu
0 Reactions
4 Replies
522 Views
Ipi nzuri kati ya hizi?
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Nina Hard disk ya GB 500 imekuwa RAW ghafla na nikijaribu kuiformat inasema cant Format hata kwakutumia disk managment any other solution msaada plz [emoji1430][emoji1430][emoji1430]
0 Reactions
2 Replies
534 Views
Wakuu kwema? Nina Samsung hapa a10s android 10, ina zaidi ya mwaka. Ni ghafla kuanzia bluetooth, hotspot na wi-fi zote haziwaki. Nimejaribu kurestore simu lakini bado hakuna kitu. Cc...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
BOOTSTRAP 4 INTRODUCTION Hello Coders, Leo nimeona ni share na newbies wanaoanza careers zao kama front end developers Course hii inakuhitaji uwe na angalau basic knowledge ya HTML ,CSS na...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Msaada hapo nataka kununua simu kati ya hizo ipi nzuri zaid kati ya hizo na bei zake zipoje? Hiyo Samsung a71 5g ni mtumbaa laini moja. Naomba ushauri
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajamvi,laptop yangu nimeinstal window 10 tangu muda tu.Ila ilipojiupdate tu,ikawa inakaa kama dk 5 au 10 inajishutdown.Ndo inafanya hivyo muda wote. Nimejaribu kutafuta solution online mfano...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Baada ya LG kutangaza mwanzo wa mwaka huu kuwa wanauza mobile division yao imefatia kufunga biashara hyo ya simu mwezi huu ujao baada ya kukosa wa kuwauzia. Hvyo wanafunga kabisa biashara hyo ya...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Msaada anayejua program ya kulock folder kwenye computer. Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari! 🖐️ Natumai mu wazima nimepata matatizo ya kushindwa kufuta majina hasa yanayo nambia read-only contact from whatsapp naomba msaada kwa yeyote anayejua kwani hunikera sana sio siri...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba msaada nina CD ya oxford nikiikop (setup) kwenye flash ili niweke kwenye pc nyingine isiyo na mlango wa CD inaistall frsh ila nikifungua inaniambia niinsert CD. Help me guys
0 Reactions
2 Replies
650 Views
Habari wadau naweza pata apps inayofanya kazi kama hii gps Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Natafuta laptop nzur nitumie vigezo gan na affordable nishaurn plz ipi itanifaaa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari za muda huu wakuu! Mimi blogger na Kuna tatizo linanisumbua naomba msaada weny wenye ujuzi please Kuna baadhi ya post zangu zina onyesha maandishi ya kiarabu ambayo mimi sikuyaweka na hata...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Wadau, naomba kuuliza, ni file extension gani ambayo video inaplay kwenye deki?
0 Reactions
4 Replies
992 Views
MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU MADA HII Habari ndugu zangi , Kama kichwa kinavyouliza hapo , ningependa kujua ni kwa namna gani kupata subscribers wengi na viewers wengi kwenye you tube ...
4 Reactions
244 Replies
102K Views
Naitaji kununua gaming motherboard ya intell inayosapiti intell processor generation ya 6 tafadhar kama unaweza niambia wapi napata nijuze pia kama unaweza niuzia hata wewe sawa niko online 24hrs...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Ni jinsi gani naweza kuweka database yangu online ili kila mtu mwenye credentials aweze ku-access na ku-retrieve data
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Simu yangu ni kipad aina ya tecno T528 ina ingia facebook ,google, ni sehemu gani nitumie?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari wadau Tv flat screen iliopasuka kioo inaweza kutengenezwa?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom