Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Hello, Yeyote mwenye Available Torrents za Games za Ps3 na Ps4 asaidie Kushare
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu Habari ya Asubuhi, Wataalamu Wa IT, Hivi Ukiacha Tor ni App gani nyingine naweza kutumia kutumia kuaccess Twitter kupitia PC?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Twitter Account inauzwa ina 80,456 Followers kwa TSh. 1,300,000 tuu! Maongezi yapo wale watu wa Blogs na wanaopenda Twitter Account zenye watu wengi tuwasiliane....
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari wakuu, Fundi alinifungia Dish la Azam nikawa napata Channels kama kawaida tatizo likawa ukiwa unaangalia Channels za HD inatokea kama Scratches hivi mara kwa mara ingawa picha inakuwa...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari za muda huu naomba kuuliza kuhusu any desk je ukiwa unarusha au kurushiwa kitu unakatwa MB kama vile tu ukiwa unadownload mfano ukirushiwa nyimbo ya MB 10 utakatwa MB hzo hzo au utakuwa...
0 Reactions
3 Replies
799 Views
Mwenye ujuzi anifahamishe tafadhari. Nawasilisha
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natumia simu (sio simu ya Android) aina ya Oking 1712. Nimesahau password niliyokuwa naitumia. Naombeni msaada wenu wa ku-unlock bila kui-flash. Inawezeka?
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu kuna hizi mashine ya kufulia nguo nimewahi ziona Kariakoo bei ziko around 400k mpka 500k. Kwa waliowahi zitumia vipi ubora wake? Matumizi yake ya umeme yakoje? Naweza kununua kwa kuanzia au...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari, zenu wana jf nulikuwa na kifaa cha anycast m3 plus nilikuwa natumia kwenye tv yangu ya Sunda inch 24 nilitumia kwa mda mfupi kama wiki mbili hivi ikaanza shida ya kubadilisha kibatani...
1 Reactions
9 Replies
982 Views
Wakuu, simu tajwa hapo juu inatatizo la kutoleta majina pindi nitumiwapo sms, yaani majina nimesave lakin mtu akinitumia sms jina haliji inakuja namba tu. Msaada kwenye tuta wakuu.
0 Reactions
6 Replies
971 Views
Poleni na msiba wa kiongozi wetu mpendwa wakuu.Nmefungua account juzi na leo nashangaa naingia wananiambiwa account yangu imezuiliwa nikiangalia hakuna content mbya niliyopost. Nawezaje...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Rejea kichwa cha habari, Ningependa kujua kama nina mini supermarket zangu na nataka kuziwekea mfumo huo, ili Loyal customer wangu wawe wana top up cards na kuswipe tu badala ya kutembea na cash...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Jamani ndugu zangu .. Nimewakutanisha hapa ili tujadili kitu kimoja ambacho nahisi nahitaji msaada wenu wa hali na mali... Mimi ni kijana ambaye nimejikita katika kujenga brand yangu kupitia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari za leo. Nimeweza kupata mahali CorelDRAW Graphics Suite 2020 v22.2.0.532 na CorelDRAW Technical Suite 2020 v22.1.0.517. Installation inakubali kabisa kwa kutumia serial keys...
1 Reactions
7 Replies
523 Views
Wakuu hii mashine inaitwaje na matumizi yake exactly ni yapi hasa migodini natanguliza shukrani Mods naomba mrekebisehe kichwa hapo juu kisomeke INAITWAJE.
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wale wanangu wa Netflix nakuletea mzigo huu hapa. Pata Netflix iliyofanyiwa mambo (Cracked) ambayo hutahitajika kulipia ni Bando lako tuu. Price: Tsh. 5,000/= Call/Sms: 0689 292 800 WhatsApp...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Kila nikijaribu kujiunga Na Twitter inagomea penye namba ya simu, hata aileti maelezo yoyote
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Natafuta hicho kifaa hapo juu PC yangu imezingua. Tafadhali anaefahamu wapi naweza kupata anijulishe.
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wadau, ngoja niende moja kwa moja kwenye mada. IP Adress (Internet Protocol) ni anwani ambayo device mfano simu au computer inakua nayo pindi inapokua imeunganishwa na intaneti hivyo mtu...
12 Reactions
276 Replies
48K Views
Wakuu salamu. Naomba kuuliza ni software zipi zinatumika kutengeneza hizi banners kwenye picha. Yaani picha inakuwa na maandishi pamoja na logo ya taasisi husika. Software zipi ndio hutumika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom